Diwani Mtarajiwa
Member
- Feb 3, 2010
- 19
- 0
Vijana wa CCM waliokuwa wakitoka Iringa kwenye kambi maalumu ya Uvccm taifa wamepata ajali mbaya jioni hii huku hali zao zikitajwa kuwa mbaya na sasa wapo katika hospitali ya wilaya Igunga baada ya kupatiwa huduma ya kwanza na wasamaria wema hii nim ajali ya tatu katika siku tatu mfululizo katika eneo la Igunga na Nzega