mie siombi lolote cous wanazidi kujipendekeza wao wanafaidi wengi wanaumia hivi uvccm ni chama cha vijana au ujinga vema kwa ccm
Hawa vijana inasemeekana walitokea huko Iringa kwenye chuo cha CCM ambako walikuwa kwenye mafunzo ya jinsi ya kuiba kura kwenye uchaguzi mkuu ujao; walipokuwa wanarudi makwao ndio wakakumbana na dhahama hiyo!!