PreGE2025 UVCCM wanatamani Tundu Lissu aachiwe ili wapambane nae kwenye kampeni za uchaguzi Mkuu 2025

PreGE2025 UVCCM wanatamani Tundu Lissu aachiwe ili wapambane nae kwenye kampeni za uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Lissu hapambani na mifugo hiyo sio level yake.. Yeye anapqmbana na mmiliki
 
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Ndugu Faris Buruhani asema vijana wa chama hicho wanatamani Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu aachiwe ili wapambane nae kwenye kampeni za uchaguzi Mkuu 2025

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ki

Lissu afanye kampeni ya nini wakati chama chake hakitashiriki uchaguzi? Kuishinda CCM ht tume itoke Ulaya si rahisi ni ndoto za alinacha
 
Back
Top Bottom