Nadhani huyo mwenyekiti wa UVCCM singida anaona mbali zaidi ya Nnauye Jr,Mwigulu Nchemba,nk. CCM inaharibiwa na watu wake wenyewe,Jana katika kipindi cha redio moja mkoani singida,m/kiti wa UVCCM mkoa wa Singida ametoa TAMKO kuwa haiwezekani vijana wageni waliofukuzwa CHADEMA na kuingia ccm wakapewa kipaumbele cha kutembezwa kila kona kufanya mikutano wakati kuna vijana wa UVCCM ambao wana uwezo mkubwa kuliko hao vijana,
Pia M/kiti wa uvccm wilaya ya Iramba amekemea mateka hao ambao wamekuja CCM kufuata pesa afu wapewe heshima ya kutumia jasho letu kwa kufanya mikutano kitu ambacho kinatuvunja moyo sisi tulio kipigania chama cha dhidi ya chadema,
CCM iwasitopishe shonza na mtela kabla hatujaamua kuondoka CCM coz inaonekana hatuna uwezo wa kufanya mikutano mikubwa ila vijana wa CHADEMA ndo wenye uwezo wa kutembezwa kwenye mikutano.
Chanzo standard radio singida.
Jana katika
kipindi cha redio moja mkoani singida,m/kiti wa
UVCCM mkoa wa Singida
ametoa TAMKO kuwa haiwezekani vijana wageni waliofukuzwa CHADEMA na
kuingia ccm wakapewa kipaumbele cha kutembezwa kila kona kufanya
mikutano wakati kuna vijana wa
UVCCM ambao wana uwezo
mkubwa kuliko hao vijana,
Pia M/kiti wa
uvccm wilaya ya Iramba
amekemea mateka hao ambao wamekuja CCM kufuata pesa afu wapewe heshima
ya kutumia jasho letu kwa kufanya mikutano kitu ambacho kinatuvunja moyo
sisi tulio kipigania chama cha dhidi ya chadema,
CCM iwasitopishe shonza na mtela kabla hatujaamua kuondoka CCM coz
inaonekana hatuna uwezo wa kufanya mikutano mikubwa ila vijana wa
CHADEMA ndo wenye uwezo wa kutembezwa kwenye mikutano.
Chanzo standard radio singida.
Nadhani huyo mwenyekiti wa UVCCM singida anaona mbali zaidi ya Nnauye Jr,Mwigulu Nchemba,nk. CCM inaharibiwa na watu wake wenyewe,
Jana katika kipindi cha redio moja mkoani singida,m/kiti wa UVCCM mkoa wa Singida ametoa TAMKO kuwa haiwezekani vijana wageni waliofukuzwa CHADEMA na kuingia ccm wakapewa kipaumbele cha kutembezwa kila kona kufanya mikutano wakati kuna vijana wa UVCCM ambao wana uwezo mkubwa kuliko hao vijana,
Pia M/kiti wa uvccm wilaya ya Iramba amekemea mateka hao ambao wamekuja CCM kufuata pesa afu wapewe heshima ya kutumia jasho letu kwa kufanya mikutano kitu ambacho kinatuvunja moyo sisi tulio kipigania chama cha dhidi ya chadema,
CCM iwasitopishe shonza na mtela kabla hatujaamua kuondoka CCM coz inaonekana hatuna uwezo wa kufanya mikutano mikubwa ila vijana wa CHADEMA ndo wenye uwezo wa kutembezwa kwenye mikutano.
Chanzo standard radio singida.
Acheni Uzushi ndugu zangu Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa sgd hajasema na hakumbuki kusema chochote juu ya Shoza.......any way naona siasa za Majitaka bado zinaendelea.
Huu mtandao ganiChukua ya mtela ni S.0443/ 0843
Jana katika kipindi cha redio moja mkoani singida,m/kiti wa UVCCM mkoa wa Singida ametoa TAMKO kuwa haiwezekani vijana wageni waliofukuzwa CHADEMA na kuingia ccm wakapewa kipaumbele cha kutembezwa kila kona kufanya mikutano wakati kuna vijana wa UVCCM ambao wana uwezo mkubwa kuliko hao vijana,
Pia M/kiti wa uvccm wilaya ya Iramba amekemea mateka hao ambao wamekuja CCM kufuata pesa afu wapewe heshima ya kutumia jasho letu kwa kufanya mikutano kitu ambacho kinatuvunja moyo sisi tulio kipigania chama cha dhidi ya chadema,
CCM iwasitopishe shonza na mtela kabla hatujaamua kuondoka CCM coz inaonekana hatuna uwezo wa kufanya mikutano mikubwa ila vijana wa CHADEMA ndo wenye uwezo wa kutembezwa kwenye mikutano.
Chanzo standard radio singida.
ni kweli :rockon:kuna haja ya chadema pia kuangalia watu waliotoka ccm je wana sifa za kuwa cdm
- :rockon: