UVCCM Singida wakerwa na Shonza na Mwampamba

Jana katika kipindi cha redio moja mkoani singida,m/kiti wa UVCCM mkoa wa Singida ametoa TAMKO kuwa haiwezekani vijana wageni waliofukuzwa CHADEMA na kuingia ccm wakapewa kipaumbele cha kutembezwa kila kona kufanya mikutano wakati kuna vijana wa UVCCM ambao wana uwezo mkubwa kuliko hao vijana,

Pia M/kiti wa uvccm wilaya ya Iramba amekemea mateka hao ambao wamekuja CCM kufuata pesa afu wapewe heshima ya kutumia jasho letu kwa kufanya mikutano kitu ambacho kinatuvunja moyo sisi tulio kipigania chama cha dhidi ya chadema,

CCM iwasitopishe shonza na mtela kabla hatujaamua kuondoka CCM coz inaonekana hatuna uwezo wa kufanya mikutano mikubwa ila vijana wa CHADEMA ndo wenye uwezo wa kutembezwa kwenye mikutano.

Chanzo standard radio singida.

cc.
Ritz zomba Mingoi @ze maccopolo chama
 
Last edited by a moderator:
Shonza ni kama 3bomba pc moja kwa kila tendo moja.
 
Hata wazee walioiasisi na kuijenga CCM wanaonea aibu kitendo cha CCM kuwasujudu hao mateka.

Nasema hapa, hawa vijana wakiendelea kukumbatiwa utatokea mpasuko mkubwa ndani ya chama kati ya wanaopenda kuendesha chama kwa kubwabwaja na wale wanaopenda kujenga hoja zinazofanya taswira ya chama ivutie.
 
CCM wamepata mtaji mkubwa wa kisiasa na wanautumia hasa.

Lakini kwa mtaji huu wanakuwa wanajenga nyumba kwenye msingi wa tope.

Najiuliza long term impact ya siasa za hivi, nashindwa kuona.

Kwangu mimi naona ile effect ya F za Civics na Maths za Nape Form IV. Lakini kutakuwa na tatizo kubwa zaidi kwa viongozi wake wanaovumilia cheap politics za hivi.
 
Hayo si maneno ya UVCCM Singida. Propaganda za cdm. Hiyo ndio siasa, unamtumia mtu aliyekuwa ndani yao kutoa siri na madudu yanayofanywa ndani ya cdm. Hiyo ndio mikakati ya kisiasa. Nani angejua kama Dr. Padri Slaa amejikopesha milioni 140 za walipa kodi wa Tanzania kwa shughuli zake binafsi? Kutokana na hawa akina shonza na intelejensi zilizopo ndani ya cdm, tuna habari za uhakika ndani ya cdm si shwari.
 
Jana katika kipindi cha redio moja mkoani singida,m/kiti wa UVCCM mkoa wa Singida ametoa TAMKO kuwa haiwezekani vijana wageni waliofukuzwa CHADEMA na kuingia ccm wakapewa kipaumbele cha kutembezwa kila kona kufanya mikutano wakati kuna vijana wa UVCCM ambao wana uwezo mkubwa kuliko hao vijana,

Pia M/kiti wa uvccm wilaya ya Iramba amekemea mateka hao ambao wamekuja CCM kufuata pesa afu wapewe heshima ya kutumia jasho letu kwa kufanya mikutano kitu ambacho kinatuvunja moyo sisi tulio kipigania chama cha dhidi ya chadema,

CCM iwasitopishe shonza na mtela kabla hatujaamua kuondoka CCM coz inaonekana hatuna uwezo wa kufanya mikutano mikubwa ila vijana wa CHADEMA ndo wenye uwezo wa kutembezwa kwenye mikutano.

Chanzo standard radio singida.
wenzenu wamefuata perdiem, nasikia huko night moja dola 80.
 
Seriously... hebu wekeni namba za hao mavuvu hapa...
Msg 400 na ushee zitawanyamazisha...
 
Shonza na mwenzie wamepeleka sera ya matusi CCM kusaidia kuua umaarufu wao wenyewe. Watakapokuja kugundua hilo ni too late na mwisho wao mzuri ndo utakapokua umewadia sawiaaaa. Yawezekana wakati CDM inajipanua wigo wake kimajimbo zaidi wenzetu CCM wanabuni mbinu mpya za kuiba kura. Sidhani kama 2015 kwa kasi ambayo CDM wanaenda nayo wataweza kuwakuta. Suluhu yao ya mwisho ni kuiba kura hawana la zaidi. Siasa ngumu sana ukiwa na mtaji wa magamba na siasa chafu za kupandikiza chuki za kidini na matusi na kejeli bila kutoa suluhu za mambo nyeti yanayoikabili jamii ya mtanzania wa sasa.
 
Mhhhh! Washakuwa mateka!!!! Kufukuzwa nomaaaa!!!! huku ulikofukuzwa hutakiwi na huko ulikokimbilia wanakupiga vita.
Ni laana ya kutukana baba zao hiyo. Kutoka moyoni mwangu, nawasikitikia sana hawa watoto.
 
Seriously... hebu wekeni namba za hao mavuvu hapa...
Msg 400 na ushee zitawanyamazisha...
Hivi "uchunguzi" wa zile za makinda umeshakamilika? Maana naona kimya. Au ulikuwa upepo tu.
 
UVCCM Singida msilalamike tu,chukeni hatua.Mwambieni Nape kama ataendelea kutumia jasho lenu kwa ajili ya mateka mtawaacha wenyewe wakijenge chama.Kwa hili hapahitaji busara Uvccm wote mnaonekana si kitu maana masalia yamechukua namba
 
Hayo si maneno ya UVCCM Singida. Propaganda za cdm. Hiyo ndio siasa, unamtumia mtu aliyekuwa ndani yao kutoa siri na madudu yanayofanywa ndani ya cdm. Hiyo ndio mikakati ya kisiasa. Nani angejua kama Dr. Padri Slaa amejikopesha milioni 140 za walipa kodi wa Tanzania kwa shughuli zake binafsi? Kutokana na hawa akina shonza na intelejensi zilizopo ndani ya cdm, tuna habari za uhakika ndani ya cdm si shwari.
Angalia busara za watu mliowachukua. Mtela hata hajitambui nafasi yake na mipaka yake ameanza kutoa matamko kwa kila mtu:
quote_icon.png
By Mtela Mwampamba

5. Namtaka Msajili wa vyama aeleze kwanini asichukuliwe hatua kwa kushindwa kchukua hatua baada ya kauli ya Dr Slaa kuuthibitishia Umma wa watanzania kuwa chama chake kinatumia ruzuku kukopeshana na yeye Slaa ni mmoja wa wanufaika wa mkopo huo.
Mtela mwampamba
Anatoa agizo kwa msajili wa vyama vya siasa. Hatoi ushauri bali agizo.

Ana mamlaka gani juu ya Msajili wa vyama vya siasa? Hajui mipaka yake? Au ukiwa kwenye jukwaa la CCM wewe una mamlaka juu ya wote? Sijui kama ndivyo mambo yalivyo.
quote_icon.png
By Mtela Mwampamba
6. Kwakua sheria ya uanzishwaji wa Ofisi ya Mkaguzi wa Hesabu za serikali inahusu ukaguzi wa fedha zote ambazo ni mali ya Umma, Naomba CAG aeleze watanzania kwanini hakagui hesabu za vyama vya siasa vinavyopata ruzuku kama anavyokagua Halmashauri za Wilaya na Manispaa au Mashirika ya Serikali?

Tunataka utaratibu wa ukaguzi kwa hesabu za ruzuku za vyama kama ilivyo kwa Halmashauri na mashirika. Ifike mahala tujue vyama vya siasa vinavyopata hati safi na chafu katika kutumia kodi zetu watanzania.
Mtela mwampamba
1. Mwampamba hujui kama hesabu hizi zinakaguliwa? Hujui kuwa CAG anajua kila linaloendelea kuhusu fedha hizo za ruzuku?
2. Lakini mbona huendi mbali na kudai maelezo ya mabilioni yaliyotumika na CCM kwenye kampeni iliyopita ikiwemo za kuhuonga wapiga kura?
3. Mwampamba wewe ni nani mpaka utoe matamko hadharani ya kumwamuru na si kumshauri CAG?

quote_icon.png
ByMtela Mwampamba
7. Kwakua Bunge ndio msimamizi Mkuu wa Hesabu za Serikali kupitia Kamati zake za Hesabu, Naomba Kamati ya Uongozi ya Bunge, Wenyeviti wa Kamati za Hesabu , waeleze kwanini hawakagui matumizi ya vyama wakati vinatumia ruzuku ambayo ni kodi ya wananchi?
Mtela mwampamba
Tena Mwampamba unaonekana kuchemka: hujui kama matumizi ya vyama yanakaguliwa, na bado unataka kutusadikisha kuwa unajua mambo ya ndani kabisa ya CHADEMA wakati hili ndilo lingepaswa kuwa la kwanza kulijua.

Halafu kama kawaida yako ya kutojifahamu, unatoa maagizo na sio ushauri kwa bunge na Wenyeviti wa Kamati za Hesabu wakupe maelezo.

Yaani kwa mamlaka haya uliyojipa wewe ndio Mwenyekiti wa CCM na wewe ndio Rais wa nchi hii.

Ndio maanda wenye akili ndani ya CCM tayari wameanza kuona kuwa kuna shida.

Na kweli kuna shida sana juu ya vijana hawa Shonza na Mwampamba.

CCM ignore this at your own risk.​

Hivi "uchunguzi" wa zile za makinda umeshakamilika? Maana naona kimya. Au ulikuwa upepo tu.

mwenyewe nasuburia kukamatwa maana niliandika nyingi sana. Makinda hakujib, but ndigai alijibu...
 
Hata wazee walioiasisi na kuijenga CCM wanaonea aibu kitendo cha CCM kuwasujudu hao mateka.

Nasema hapa, hawa vijana wakiendelea kukumbatiwa utatokea mpasuko mkubwa ndani ya chama kati ya wanaopenda kuendesha chama kwa kubwabwaja na wale wanaopenda kujenga hoja zinazofanya taswira ya chama ivutie.

Ila inaonyesha CCM kuna ela nyingi za kuchezea maana "kazi" waliofanya kina Mwampamba, hakya nani ukimlipa sana labda buku....

Kusema milioni 140 tu anatukuzwa kiasi hicho!!!
 
MwanaCCM yeyote mwenye akili timamu lazima achukizwe na hii system mpya ya ccm kutukana hadharani kupitia hawa mateka.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Jana katika kipindi cha redio moja mkoani singida,m/kiti wa UVCCM mkoa wa Singida ametoa TAMKO kuwa haiwezekani vijana wageni waliofukuzwa CHADEMA na kuingia ccm wakapewa kipaumbele cha kutembezwa kila kona kufanya mikutano wakati kuna vijana wa UVCCM ambao wana uwezo mkubwa kuliko hao vijana,

Pia M/kiti wa uvccm wilaya ya Iramba amekemea mateka hao ambao wamekuja CCM kufuata pesa afu wapewe heshima ya kutumia jasho letu kwa kufanya mikutano kitu ambacho kinatuvunja moyo sisi tulio kipigania chama cha dhidi ya chadema,

CCM iwasitopishe shonza na mtela kabla hatujaamua kuondoka CCM coz inaonekana hatuna uwezo wa kufanya mikutano mikubwa ila vijana wa CHADEMA ndo wenye uwezo wa kutembezwa kwenye mikutano.

Chanzo standard radio singida.

NA HUO NI MWANZO TU!! nilijua kwa uhakika sana kwamba masalia shonza na mpambwa hawana muda; mfumo mfu wa CCM lazima utawakataaa tu;
 
Wanajnipanga kuja kukanusha wait and see......Hili wanalifanya siri lakini hata Yatokanayo na Mkutano wa UVCCM moja ya vitu ambavyo vililalamikiwa ni hili lakina Shonza na Mwampamba.ngoja waanze kuzunguka mikoani uone!
 
Jana katika kipindi cha redio moja mkoani singida,m/kiti wa UVCCM mkoa wa Singida ametoa TAMKO kuwa haiwezekani vijana wageni waliofukuzwa CHADEMA na kuingia ccm wakapewa kipaumbele cha kutembezwa kila kona kufanya mikutano wakati kuna vijana wa UVCCM ambao wana uwezo mkubwa kuliko hao vijana,

Pia M/kiti wa uvccm wilaya ya Iramba amekemea mateka hao ambao wamekuja CCM kufuata pesa afu wapewe heshima ya kutumia jasho letu kwa kufanya mikutano kitu ambacho kinatuvunja moyo sisi tulio kipigania chama cha dhidi ya chadema,

CCM iwasitopishe shonza na mtela kabla hatujaamua kuondoka CCM coz inaonekana hatuna uwezo wa kufanya mikutano mikubwa ila vijana wa CHADEMA ndo wenye uwezo wa kutembezwa kwenye mikutano.

Chanzo standard radio singida.

Wanazunguka kwa kazi maalum ya kumtukana DR. Slaa nyie hamuiwezi hiyo.....!!!!!!!
 
Back
Top Bottom