UVCCM Singida wakerwa na Shonza na Mwampamba

UVCCM Singida wakerwa na Shonza na Mwampamba

Kweli Mtela bado ni mwiba. Mtu asiye na madhara hawezi kujadiliwa kias hiki. Cdm mnmpaisha sana Mtela.
 
Kumbe vijana wakongwe wenye chama chao wanawalia ''timing'' tu!! Duh, inabidi shonza na Mtela wawe careful, else watalipuliwa ....@ mchami
 
Mawazo alitoka wapi na anafanya nini, acheni ushamba wenu waache vijana wafanye kazi.

Mawazo na Millya hawakufukuzwa CCM, bali wao waliifukuza CCM
Wakati Mwampamba na Shonza wao walitimuliwa bila aibu kutoka Chadema na sasa eti ni lulu CCM,
Hii maana yake UVCCM wote hakuna alie bora kuliko Matapishi haya ya Chadema hii inaonekana baada ya vijana hawa kupita kila Mkoa kuhubiri ushuzi na Mwigulu ambae anawakubali eti ni majembe
Kweli CCM ni Majanga
 
Hawa jamaa walipandikizwa ndani ya Chadema. Kama mnakumbuka lengo lilikuwa viongozi wote wa mikoa wa BAVICHA wawe mapandikizi/mashushu wa CCM/serikali. bahati mbaya walishitukiwa na kusababisha mgogoro sana ndani ya chadema. Kwa hiyo hao ni waajiriwa wa CCM or serikali. Ni bahati mbay sana CCM inajichanganya na kuwapeleka majukwaani badala ya kuwapumzinsha na kuwatoa kwenye limelight mpaka muda muafaka. Mmesahau akina ludovick na naamini wapo wengi wa aina hii.
 
Jana katika kipindi cha redio moja mkoani singida,m/kiti wa UVCCM mkoa wa Singida ametoa TAMKO kuwa haiwezekani vijana wageni waliofukuzwa CHADEMA na kuingia ccm wakapewa kipaumbele cha kutembezwa kila kona kufanya mikutano wakati kuna vijana wa UVCCM ambao wana uwezo mkubwa kuliko hao vijana,

Pia M/kiti wa uvccm wilaya ya Iramba amekemea mateka hao ambao wamekuja CCM kufuata pesa afu wapewe heshima ya kutumia jasho letu kwa kufanya mikutano kitu ambacho kinatuvunja moyo sisi tulio kipigania chama cha dhidi ya chadema,


CCM iwasitopishe shonza na mtela kabla hatujaamua kuondoka CCM coz inaonekana hatuna uwezo wa kufanya mikutano mikubwa ila vijana wa CHADEMA ndo wenye uwezo wa kutembezwa kwenye mikutano.

Chanzo standard radio singida.

CDM ni majembe tu,makapi tunayotupa ndo lulu kwa magamba,yaani.Njoo na wewe tukufundishe kumiliki jukwaa.
 
Back
Top Bottom