PreGE2025 UVCCM Singida wafanya dua ya kumuombea Rais Samia

PreGE2025 UVCCM Singida wafanya dua ya kumuombea Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,450
Reaction score
5,278

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kaiwada ameongoza maelfu ya vijana mkoani Singida katika dua ya kumuombea Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: Wenyeviti wa Mitaa Jimbo la Temeke waungana kumuombea dua Rais Samia kwa lengo la kumtakia afya njema

Kawaida amewasihi Watanzania kuendelea kumuombea Rais Dkt. Samia katika uongozi wake.

CloudsDigital
 
Kukosekana kuwa na vyama vyenye utaratibu ndio kunakotupelekea kufika huku.
Mama kuwa makini na sifa hizi za kijinga hawa watu sio wazuri kwako zaidi ya kuona kwao ni fursa.

Katika dini ya wkristo yapo maneno yasemayo SIYO KILA ASEMAE BWANA BWANA ATAURITHI UFALME WA MBINGUNI; maana yake ni kwamba sio kila wanaokusififia wanayonia nia madhubuti juu yako la hasha, wengine nia zao ni kupata madaraka, wengine wanakufumba macho ili uwaamini kumbe hawaaminiki hata kidogo; JK aliwahi kusema ukiambiwa changanya na za kwako.

Mama mapimbio haya yatakuharibia. Kuwa nao makini haya ni makupe tu kama kupe wengine
 
✳️ UVCCM YAFANYA DUA KUMUOMBEA RAIS DKT. SAMIA

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kaiwada (MCC) ameongoza maelfu ya vijana mkoani Singida katika dua ya kumuombea Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Kawaida amewasihi Watanzania kuendelea kumuombea Rais Dkt. Samia katika uongozi wake.

#KazinaUtuTunasongaMbele
#TunazimaZoteTunawashaKijani
 
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kaiwada (MCC) ameongoza maelfu ya vijana mkoani Singida katika dua ya kumuombea Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Kawaida amewasihi Watanzania kuendelea kumuombea Rais Dkt. Samia katika uongozi wake.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hivi wakati wa Nyerere,Mwinyi,Mkapa,Kikwete, hadi Magufuri waomba dua walikuwa wapi,au siasa zimebadilika siku hizi
 
Back
Top Bottom