WILLAFRICA
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 4,027
- 932
Laana ya ufisadi!
hii nguvu inayotumika kumsafisha Lowasa ni kwa maslahi ya nani?
Malumbano yanayoendelea ni katika kukua kwa demokrasia ndani ya chama. Siasa si uadui kama ilivyo ndani ya CHADEMA
Lowasa ni mwanasiasa muoga
Mbona nyie mmetoa tamko acheni na wengine watoe matamko yao.Tunatoa wito kwa Chama cha Mapinduzi kupiga marufuku matamko yote yanayoendelea nchini na kuwachukulia hatua wale wote wanaotangaza nia ya kugombea Urais kabla ya wakati na tunamuomba Mh. Mwenyekiti wa Chama ndugu Jakaya Mrisho Kikwete kukemea hali hii kwa nguvu zake zote ili kukisalimisha Chama na kuwepo kwa utii wa Kikatiba. Kuachwa kwa hali kama hii itakuza migogoro na makundi ndani ya Chama.
Imetolewa na Komredi Heri Hoza ni Kada wa muda mrefu wa UVCCM na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya baraza la Umoja wa Vijana wa ccm Mkoa wa Morogoro. Pia ni Mwenyekiti wa CCM wa tawi jipya la Chuo Kikuu huria (Morogoro branch).
...Hapo kwenye red ni typing error au?UVCCM MORO YAMTOLEA UVIVU MALECELA
Kutokana na malumbano yanayoendelea kati ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzi hususani Jumuiya ya Umoja wa vijana (UVCCM) kutokana na matamko yanayoendelea kutolewa.
Ni jambo la kushangaza sana kumuona Mzee Mashuhuri na nguli wa Chama cha Mapinduzi Waziri Mkuu Mstaafu na Makamu Mwenyekiti wa CCM Mstaafu kumuunga mkono kijana aliyekiuka katiba ya Chama cha Mapinduzi na kanuni za Umoja wa Vijana Paul Makonda kutokana na kauli yake ya kuudanganya Umma kuwa tamko alilolitoa la kumkashifu Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa NEC ndugu Edward Lowassa kuwa ni la Umoja wa Vijana.
Mkuu najua huu ni mtazamo wako, lakini naomba nipingane na wewe kama ilivyo jadi yetu CCM kuwa na mawazo tofauti tofauti. Lowassa ni Kiongozi muoga kama unavyosema. Lowasa ni mtu wa maamuzi magumu siku zote, na maamuzi magumu hayafanywi na muoga.
...kumbe CCM bado inakua au imekua bila demokrasia?Malumbano yanayoendelea ni katika kukua kwa demokrasia ndani ya chama. Siasa si uadui kama ilivyo ndani ya CHADEMA
mbona wewe ulipotoa kashfa kwa kiongozi wako wa chama enzi hizo akiwa naibu katibu mkuu hukuchukuliwa hatua? halafu kwa kosa hilo hilo la zitto kukashifu uongozi yamemkuta.......
Chadema itakufa kabla ya CCM
mbona wewe ulipotoa kashfa kwa kiongozi wako wa chama enzi hizo akiwa naibu katibu mkuu hukuchukuliwa hatua? halafu kwa kosa hilo hilo la zitto kukashifu uongozi yamemkuta.......
Chadema itakufa kabla ya CCM
buku7 vs buku7. lmaoMkuu najua huu ni mtazamo wako, lakini naomba nipingane na wewe kama ilivyo jadi yetu CCM kuwa na mawazo tofauti tofauti. Lowassa ni Kiongozi muoga kama unavyosema. Lowasa ni mtu wa maamuzi magumu siku zote, na maamuzi magumu hayafanywi na muoga.