controler
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 1,562
- 361
Naomba mwenye ile picha inayoonyesha wazee wazima wa CCM wakimpiga matofali kamanda mmoja wamwekee huyu ndugu hapa.
Kwa heshma na taadhima nawakilisha.
Cc. Chabruma
Naomba mwenye ile picha inayoonyesha wazee wazima wa CCM wakimpiga matofali kamanda mmoja wamwekee huyu ndugu hapa.
EL ni chaguo la mungu hakuna wa kumzuiya.
Malecela amefilisika kiakili, ajitambue kwa sasa anatakiwa kuwa na busara na kuwa makini na siasa za maji taka. Nyazifa alipata tangu uhuru zinamlinda na vijana ambao ndio taifa la leo wanategemea kuchota hazina yake .Kumuhukumu Lowasa hazarani inaonyesha dhahili Mzee huyo alivyo na akili mgando.Wewe Malechela mbona Nyerere alikufukuza kazi ulipokuwa Uingereza? We Mzee uache watu wenye wide mind spectrum walumbane, wewe hata familia yako uliiterekeza ukapoteza dira mpaka mahuti zikawakuta.Mbona Membe,Sita Huwashambuliipoint!!!- uvccm morogoro mko sahihi.