• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Serikali na TISS ikichunguze kitengo cha UVCCM, kinaandaa viongozi wa kitaifa wasio na maadili, ficho la wahalifu

Q

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Messages
17,889
Points
2,000
Q

Quinine

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2010
17,889 2,000
Katibu Mkuu wa CCM Dr. Bashiru Ally, Katibu Mkuu mstaafu ndugu Yusufu Makamba, Spika mstaafu Pius Msekwa na viongozi mbalimbali wa dini kwa nyakati tofauti wamejitokeza kukemea vitendo vinavyofanywa na viongozi hasa vijana wenye umri mdogo kuwa wanaenda kinyume na maadili ya jamii.

Akiungana na Katibu Mkuu Spika wa bunge mstaafu na aliyekuwa Makamu Mkiti wa CCM Pius Msekwa amesema,
“Katibu Mkuu yuko sahihi. Sisi wakati wetu tulikuwa na vyuo vya chama kwa ajili hiyo. Kulikuwa na chuo cha Kivukoni ambacho kilianzishwa tangu wakati wa uhuru kwa madhumuni ya kuwaandaa viongozi baada ya uhuru.”

Naye katibu mkuu wa zamani wa CCM, Yusuf Makamba amesema viongozi wengi vijana wa sasa hawana staha, adabu na heshima.

“Ukitoa hoja zako, kwa sababu hawana staha na hawana adabu, hawana heshima watakufuatilia wewe. Ndiyo maana siku hizi tunaogopa kuzungumza na vyombo vya habari,” alisema Makamba.

2057984_IMG-20141102-WA0010.jpg

Ukiacha RC Makonda anayejadiliwa sana, viongozi wengine vijana ambao wengi ni wakuu wa wilaya, wamekuwa wakishutumiwa kwa kuwaweka rumande watumishi wa umma, wananchi na wengine kukwaruzana na wawekezaji na watendaji wa serikali.

Wengi wa vijana hawa (wanaokemewa) ni zao la Jumuiya ya Umoja wa vijana wa CCM UVCCM. Maadili yanayofundishwa ndani ya UVCCM ya leo ya kina Shaka ni tofauti kabisa na maadili yaliyokuwa yanafundishwa na UVCCM iliyowazaa kina Kikwete, Lowassa, ni tofauti na UVCCM ya kina Guninita, kina Nchimbi, Nape na kadhalika.

Ukipandacho ndicho ukivunacho.

Miaka ya hivi karibuni imekuwa ni jambo la kawaida kukuta mitandaoni vijana wakiandika maandishi ya hatari ya kudhuru binadamu mengine ya kuhatarisha usalama wa nchi bila kuchukuliwa hatua na vyombo vya usalama, na ukifuatilia aliyeandika utaambiwa ni kiongozi wa UVCCM mkoa au wilaya, hawa ndio viongozi wanaotegemewa pengine kuwa marais au mawaziri.

Jamii imekuwa ikikemea vitendo hivi bila mafanikio, bila viongozi wa Chama na serikali kuingilia kati, badala yake wameonekana wakiongezewa vyeo. Matokeo yake wanajawa na viburi na kupelekea kutenda vitendo vya ajabu katika jamii.

Siku hizi ukitaka kudhuru kimbilia UVCCM, ukitaka kutukana kimbilia UVCCM, ukitaka kuanzisha gazeti la kutukana na kukashifu kimbilia UVCCM hakuna chombo chochote kitakachokuuliza, nje ya hapo utashukiwa kama mwewe.

2058265_IMG_20190512_213530.jpg

Vitendo hivi vikiachwa bila kukemewa tutazalisha taifa la ajabu sana siku zijazo, hawa vijana wanaoachwa wafanye watakavyo kuna siku ndoto zao hazitatimizwa na chama watazitafuta nje ya chama.

Ni wito kwa viongozi mbalimbali, wazee, wastaafu, viongozi wa dini, vyombo vya serikali na jamii kwa ujumla, kujitokeza waziwazi kukemea vitendo hivi, tuwaunge mkono makatibu wa CCM, Askofu Shoo, Freeman Mbowe, Msekwa, Waziri wa Afya Ummy, walioanzisha vita hii kukemea vitendo vinavyofanywa na viongozi vijana vilivyo kinyume na maadili ikiwemo, ubaguzi, uonevu, kuingilia taaluma na fani za watu kwenye maeneo wanayoyaongoza.

Kitengo cha usalama wa Taifa, TISS kina wajibu wa kuchunguza viongozi wa kitaifa wanaoandaliwa, taifa likipata kiongozi asiye na maadili, atakayeliharibu taifa TISS hawatakwepa lawama. Chama cha Mapinduzi kwa upande wake hakinabudi kuhakikisha vijana wake hawakiuki maadili na kama kitengo kiafuata katiba yake na malengo ya kuanzishwa kwake.
 
N

Ndugu wa Trump

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2016
Messages
963
Points
1,000
N

Ndugu wa Trump

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2016
963 1,000
Katibu Mkuu wa CCM Dr. Bashiru Ally, Katibu Mkuu mstaafu ndugu Yusufu Makamba, Spika mstaafu Pius Msekwa na viongozi mbalimbali wa dini kwa nyakati tofauti wamejitokeza kukemea vitendo vinavyofanywa na viongozi hasa vijana wenye umri mdogo kuwa wanaenda kinyume na maadili ya jamii.

Akiungana na Katibu Mkuu Spika wa bunge mstaafu na aliyekuwa Makamu Mkiti wa CCM Pius Msekwa amesema,
“Katibu Mkuu yuko sahihi. Sisi wakati wetu tulikuwa na vyuo vya chama kwa ajili hiyo. Kulikuwa na chuo cha Kivukoni ambacho kilianzishwa tangu wakati wa uhuru kwa madhumuni ya kuwaandaa viongozi baada ya uhuru.”

Naye katibu mkuu wa zamani wa CCM, Yusuf Makamba amesema viongozi wengi vijana wa sasa hawana staha, adabu na heshima.

“Ukitoa hoja zako, kwa sababu hawana staha na hawana adabu, hawana heshima watakufuatilia wewe. Ndiyo maana siku hizi tunaogopa kuzungumza na vyombo vya habari,” alisema Makamba.

Ukiacha RC Makonda anayejadiliwa sana, viongozi wengine vijana ambao wengi ni wakuu wa wilaya, wamekuwa wakishutumiwa kwa kuwaweka rumande watumishi wa umma, wananchi na wengine kukwaruzana na wawekezaji na watendaji wa serikali.

Wengi wa vijana hawa (wanaokemewa) ni zao la Jumuiya ya Umoja wa vijana wa CCM UVCCM. Maadili yanayofundishwa ndani ya UVCCM ya leo ya kina Shaka ni tofauti kabisa na maadili yaliyokuwa yanafundishwa na UVCCM iliyowazaa kina Kikwete, Lowassa, ni tofauti na UVCCM ya kina Guninita, kina Nchimbi, Nape na kadhalika.

Ukipandacho ndicho ukivunacho.

Miaka ya hivi karibuni imekuwa ni jambo la kawaida kukuta mitandaoni vijana wakiandika maandishi ya hatari ya kudhuru binadamu mengine ya kuhatarisha usalama wa nchi bila kuchukuliwa hatua na vyombo vya usalama, na ukifuatilia aliyeandika utaambiwa ni kiongozi wa UVCCM mkoa au wilaya.

Jamii imekuwa ikikemea vitendo hivi bila mafanikio, bila viongozi wa Chama na serikali kuingilia kati, badala yake wameonekana wakiongezewa vyeo. Matokeo yake wanajawa na viburi na kupelekea kutenda vitendo vya ajabu katika jamii.

Siku hizi ukitaka kudhuru kimbilia UVCCM, ukitaka kutukana kimbilia UVCCM, ukitaka kuanzisha gazeti la kutukana na kukashifu kimbilia UVCCM hakuna chombo chochote kitakachokuuliza, nje ya hapo utashukiwa kama mwewe.

Vitendo hivi vikiachwa bila kukemewa tutazalisha taifa la ajabu sana siku zijazo, hawa vijana wanaoachwa wafanye watakavyo kuna siku ndoto zao hazitatimizwa na chama watazitafuta nje ya chama.

Ni wito kwa viongozi mbalimbali, wazee, wastaafu, viongozi wa dini, vyombo vya serikali na jamii kwa ujumla, kujitokeza waziwazi kukemea vitendo hivi, tuwaunge mkono makatibu wa CCM, Askofu Shoo, Freeman Mbowe, Msekwa, Waziri wa Afya Ummy, walioanzisha vita hii kukemea vitendo vinavyofanywa na viongozi vijana vilivyo kinyume na maadili ikiwemo, ubaguzi, uonevu, kuingilia taaluma na fani za watu kwenye maeneo wanayoyaongoza.
Nimefurahi kuwa unatambua kuwa viongozi wote wa kitaifa huaandaliwa na uvccm, Haya sawa hizo kasoro tutazifanyia kazi
 
mpimamstaafu

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
3,766
Points
2,000
mpimamstaafu

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
3,766 2,000

Hivi ni lazima wakuu wa wilaya na mikoa watoke uvccm? kwanini wasitafutwe watu wenye maadili na umri wa kati?
 
M

magu2016

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2017
Messages
1,534
Points
2,000
M

magu2016

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2017
1,534 2,000

View attachment 1095222

Ni wito kwa viongozi mbalimbali, wazee, wastaafu, viongozi wa dini, vyombo vya serikali na jamii kwa ujumla, kujitokeza waziwazi kukemea vitendo hivi, tuwaunge mkono makatibu wa CCM, Askofu Shoo, Freeman Mbowe, Msekwa, Waziri wa Afya Ummy, walioanzisha vita hii kukemea vitendo vinavyofanywa na viongozi vijana vilivyo kinyume na maadili ikiwemo, ubaguzi, uonevu, kuingilia taaluma na fani za watu kwenye maeneo wanayoyaongoza. Kitengo cha usalama TISS kina wajibu wa kuchunguza viongozi wa kitaifa wanaoandaliwa.
Yaani tuwaunge mkono wakina Mbowe na Askofu Shoo kweli??!! No way!! Haitawezekana hata siku moja!
 
A

Akili 7

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2019
Messages
362
Points
500
A

Akili 7

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2019
362 500
Katibu Mkuu wa CCM Dr. Bashiru Ally, Katibu Mkuu mstaafu ndugu Yusufu Makamba, Spika mstaafu Pius Msekwa na viongozi mbalimbali wa dini kwa nyakati tofauti wamejitokeza kukemea vitendo vinavyofanywa na viongozi hasa vijana wenye umri mdogo kuwa wanaenda kinyume na maadili ya jamii.

Akiungana na Katibu Mkuu Spika wa bunge mstaafu na aliyekuwa Makamu Mkiti wa CCM Pius Msekwa amesema,
“Katibu Mkuu yuko sahihi. Sisi wakati wetu tulikuwa na vyuo vya chama kwa ajili hiyo. Kulikuwa na chuo cha Kivukoni ambacho kilianzishwa tangu wakati wa uhuru kwa madhumuni ya kuwaandaa viongozi baada ya uhuru.”

Naye katibu mkuu wa zamani wa CCM, Yusuf Makamba amesema viongozi wengi vijana wa sasa hawana staha, adabu na heshima.

“Ukitoa hoja zako, kwa sababu hawana staha na hawana adabu, hawana heshima watakufuatilia wewe. Ndiyo maana siku hizi tunaogopa kuzungumza na vyombo vya habari,” alisema Makamba.

View attachment 1095222

Ukiacha RC Makonda anayejadiliwa sana, viongozi wengine vijana ambao wengi ni wakuu wa wilaya, wamekuwa wakishutumiwa kwa kuwaweka rumande watumishi wa umma, wananchi na wengine kukwaruzana na wawekezaji na watendaji wa serikali.

Wengi wa vijana hawa (wanaokemewa) ni zao la Jumuiya ya Umoja wa vijana wa CCM UVCCM. Maadili yanayofundishwa ndani ya UVCCM ya leo ya kina Shaka ni tofauti kabisa na maadili yaliyokuwa yanafundishwa na UVCCM iliyowazaa kina Kikwete, Lowassa, ni tofauti na UVCCM ya kina Guninita, kina Nchimbi, Nape na kadhalika.

Ukipandacho ndicho ukivunacho.

Miaka ya hivi karibuni imekuwa ni jambo la kawaida kukuta mitandaoni vijana wakiandika maandishi ya hatari ya kudhuru binadamu mengine ya kuhatarisha usalama wa nchi bila kuchukuliwa hatua na vyombo vya usalama, na ukifuatilia aliyeandika utaambiwa ni kiongozi wa UVCCM mkoa au wilaya, hawa ndio viongozi wanaotegemewa pengine kuwa marais au mawaziri.

Jamii imekuwa ikikemea vitendo hivi bila mafanikio, bila viongozi wa Chama na serikali kuingilia kati, badala yake wameonekana wakiongezewa vyeo. Matokeo yake wanajawa na viburi na kupelekea kutenda vitendo vya ajabu katika jamii.

Siku hizi ukitaka kudhuru kimbilia UVCCM, ukitaka kutukana kimbilia UVCCM, ukitaka kuanzisha gazeti la kutukana na kukashifu kimbilia UVCCM hakuna chombo chochote kitakachokuuliza, nje ya hapo utashukiwa kama mwewe.

Vitendo hivi vikiachwa bila kukemewa tutazalisha taifa la ajabu sana siku zijazo, hawa vijana wanaoachwa wafanye watakavyo kuna siku ndoto zao hazitatimizwa na chama watazitafuta nje ya chama.

Ni wito kwa viongozi mbalimbali, wazee, wastaafu, viongozi wa dini, vyombo vya serikali na jamii kwa ujumla, kujitokeza waziwazi kukemea vitendo hivi, tuwaunge mkono makatibu wa CCM, Askofu Shoo, Freeman Mbowe, Msekwa, Waziri wa Afya Ummy, walioanzisha vita hii kukemea vitendo vinavyofanywa na viongozi vijana vilivyo kinyume na maadili ikiwemo, ubaguzi, uonevu, kuingilia taaluma na fani za watu kwenye maeneo wanayoyaongoza.

Kitengo cha usalama wa Taifa, TISS kina wajibu wa kuchunguza viongozi wa kitaifa wanaoandaliwa, taifa likipata kiongozi asiye na maadili, atakayeliharibu taifa TISS hawatakwepa lawama.
Ccm ilikuwa zamani hii ya sasa siyo ,kolimba alisema imepoteza dira
Nyerere alisema inanuka na yupo tayari kuiama kwani siyo baba wala mama yake .

Rostam alisema kuna siasa uchwara .kikwete alisema ata uwezi acha glass mezani na ukabaki salama

Eti sasa kuna ccm mpya, ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni.
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
69,742
Points
2,000
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
69,742 2,000

2058012_FB_IMG_1557654286139.jpg
 
Ng'wanapagi

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Messages
8,744
Points
2,000
Ng'wanapagi

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2013
8,744 2,000
Uzi umemlenga Makonda lkn kiini cha yote ni Ukuu wa Mkoa.
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
69,742
Points
2,000
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
69,742 2,000
Yaani tuwaunge mkono wakina Mbowe na Askofu Shoo kweli??!! No way!! Haitawezekana hata siku moja!
Ungekuwa na mzazi kama huyu ungekubali wahuni wampige ngwala ?
2058014_IMG-20141102-WA0010.jpg
 
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
27,422
Points
2,000
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
27,422 2,000
Ni hivi iko wazi, hao kina Pius Msemwa, Makamba nk wasitake kujifanya hawajui tumefika je hapa. Msingi wa yote haya ni katiba inayomfanya rais kuwa juu ya katiba na sheria, matokeo yake tabia au udhaifu binafsi wa rais ndio hugeuka kuwa sheria za nchi. Kwa hili wakilaumu wao wenyewe kushindwa kufanyia marekebisho katiba.

Tume kwanini hao uvccm wanafanya wayafanyayo sasa? enzi za kina Pius Msekwa ccm haikuwa na ushindani mkubwa toka kwa wapinzani, ila ilipofika wakati wa awamu ya JK Tabia hii ya uvccm ndio ilisimikwa wazi. Kwanza JK aliingia madarakani kwa kutumia mbinu chafu ya kuchafua wengine na hii mbinu ya kuchafuana ikawa ndio mbinu rasmi ya kulinda na kupata madaraka. Ilipofika 2010, JK alizidiwa kwa hoja na Slaa, akawa hana jinsi zaidi ya kutumia madaraka yake ya urais, na hapa ndipo alipoingiza rasmi matumizi ya vyombo vya dola kuilinda ccm. Kwakuwa JK aliingia madarakani kwa mbinu chafu ya kuchafuana, mbinu hii ikaonekana ni msaada sahihi kwani hata vyombo vya dola vilishageuzwa kuwa sehemu ya tabia hii chafu. Hapa ndio tulipoona akina Mwigulu wakiendesha siasa chafu kabisa za ukatili mpaka kufikia mabomu kutupwa kwenye mkutano wa wapinzani na vyombo vya dola vikaishia kuleta blabla. Kwenye midahalo tukaona uvccm wakishindwa hoja na kuishia kutukana, na wote waliokuwa mahiri wa kutukana wakapandishwa vyeo. Wakati huo akina Makamba na Msekwa wako kimya.

Akaja Magufuli naye akashinda kwa mbinu hizo hizo zenye msukumo wa siasa chafu. Wakati JK anaaga alisisitiza kabisa Magufuli awaangalie vijana waliokipigania chama. Na kweli Magufuli akawapa wengi madaraka lakini kwa amri kali zaidi za kumnyoosha yoyote kwenye kile kinachoitwa kunyoosha nchi. Hapa vyombo vya dola ndio vikafunga ndoa rasmi na ccm tena katika kulinda siasa chafu. Hapa vijana hawa wa uvccm ndio wakawa wamepata pembe, wanamtukana na kumdhalilisha yoyote kwani wana baraka rasmi za rais. Na yote haya yanachangiwa na kwamba ccm na mwenyekiti wake haina uwezo wa kushawishi kisiasa bali mabavu, na yule anayeweza kutumia mabavu na kudhalilisha ndio anaonekana kwenda na kasi ya mwenyekiti. Hivyo huyo makamba, msekwa nk waelewa wao pia ni sehemu ya tatizo wanalolipigia kelele.
 
Bams

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
7,803
Points
2,000
Bams

Bams

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
7,803 2,000
Mnazunguka mbuyu.

Kwa nini hamsemi ukweli? Hakuna nchi yenye vijana wote wenye busara na hekima, wenye uelewa na weledi. Kila nchi ina vijana wazuri na wa hovyo. Vijana wa hovyo ni sehemu ya jamii. Utofauti wa kwetu hapa na mataifa mengine, nchi nyingine vihana wa hovyo hawapewi madaraka, hapa kwetu wale wa hovyo wanateuliwa washike madaraka, na wanapongezwa kwa kufanya mambo ya hovyo.

Kiongozi anapotaka watu wa kumsaidia kwa nafasi mbalimbali za uongozi, huchunguza na kuwateua wale walio na hekima, busara, weledi, maarifa na uelewa mzuri.

Kwa nini Rais wetu awateue vijana wasio na maadili, upeo mdogo, kiburi, waonezi, wasio na elimu wala weledi, bali kwa kuangalia vigezo viwili tu - ukada na ubabe?

Hawa vijana hawakujiteua. Mara ngapi, tumemsikia Rais akimsifia Makonda, Gambo au Hapi, ambao wote ukiwachunguzwa, wamekosa busara, hekima na weledi?

Hawa wanaowalaumu hawa vijana viongozi, kwa nini wasizungumze na anayewateua ili anapoteua aangalie vigezo vya uongozi badala ya ubabe na unafiki wa kujipendekeza kwa watawala?
 
Said Stuard Shily

Said Stuard Shily

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2017
Messages
1,223
Points
2,000
Said Stuard Shily

Said Stuard Shily

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2017
1,223 2,000
Kwa hiyo nyie mnamuandaa mdude kuwa waziri mkuu wa nchi hii???
 
VAPS

VAPS

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Messages
3,545
Points
2,000
VAPS

VAPS

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2012
3,545 2,000
Hapo wote wanazunguka mbuyu, tatizo sio CCM ,ni ccm mpya ya mzee baba, anatoa baraka kwa wenye viburi, dhuluma,kuunga juhudi hata kwa garama ya damu ya binadamu,rushwa ya wazi nk.Hakika hakuna aliye salama.
 
Ramadhan James

Ramadhan James

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Messages
1,747
Points
2,000
Ramadhan James

Ramadhan James

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2015
1,747 2,000
Katibu Mkuu wa CCM Dr. Bashiru Ally, Katibu Mkuu mstaafu ndugu Yusufu Makamba, Spika mstaafu Pius Msekwa na viongozi mbalimbali wa dini kwa nyakati tofauti wamejitokeza kukemea vitendo vinavyofanywa na viongozi hasa vijana wenye umri mdogo kuwa wanaenda kinyume na maadili ya jamii.

Akiungana na Katibu Mkuu Spika wa bunge mstaafu na aliyekuwa Makamu Mkiti wa CCM Pius Msekwa amesema,
“Katibu Mkuu yuko sahihi. Sisi wakati wetu tulikuwa na vyuo vya chama kwa ajili hiyo. Kulikuwa na chuo cha Kivukoni ambacho kilianzishwa tangu wakati wa uhuru kwa madhumuni ya kuwaandaa viongozi baada ya uhuru.”

Naye katibu mkuu wa zamani wa CCM, Yusuf Makamba amesema viongozi wengi vijana wa sasa hawana staha, adabu na heshima.

“Ukitoa hoja zako, kwa sababu hawana staha na hawana adabu, hawana heshima watakufuatilia wewe. Ndiyo maana siku hizi tunaogopa kuzungumza na vyombo vya habari,” alisema Makamba.

View attachment 1095222

Ukiacha RC Makonda anayejadiliwa sana, viongozi wengine vijana ambao wengi ni wakuu wa wilaya, wamekuwa wakishutumiwa kwa kuwaweka rumande watumishi wa umma, wananchi na wengine kukwaruzana na wawekezaji na watendaji wa serikali.

Wengi wa vijana hawa (wanaokemewa) ni zao la Jumuiya ya Umoja wa vijana wa CCM UVCCM. Maadili yanayofundishwa ndani ya UVCCM ya leo ya kina Shaka ni tofauti kabisa na maadili yaliyokuwa yanafundishwa na UVCCM iliyowazaa kina Kikwete, Lowassa, ni tofauti na UVCCM ya kina Guninita, kina Nchimbi, Nape na kadhalika.

Ukipandacho ndicho ukivunacho.

Miaka ya hivi karibuni imekuwa ni jambo la kawaida kukuta mitandaoni vijana wakiandika maandishi ya hatari ya kudhuru binadamu mengine ya kuhatarisha usalama wa nchi bila kuchukuliwa hatua na vyombo vya usalama, na ukifuatilia aliyeandika utaambiwa ni kiongozi wa UVCCM mkoa au wilaya, hawa ndio viongozi wanaotegemewa pengine kuwa marais au mawaziri.

Jamii imekuwa ikikemea vitendo hivi bila mafanikio, bila viongozi wa Chama na serikali kuingilia kati, badala yake wameonekana wakiongezewa vyeo. Matokeo yake wanajawa na viburi na kupelekea kutenda vitendo vya ajabu katika jamii.

Siku hizi ukitaka kudhuru kimbilia UVCCM, ukitaka kutukana kimbilia UVCCM, ukitaka kuanzisha gazeti la kutukana na kukashifu kimbilia UVCCM hakuna chombo chochote kitakachokuuliza, nje ya hapo utashukiwa kama mwewe.

Vitendo hivi vikiachwa bila kukemewa tutazalisha taifa la ajabu sana siku zijazo, hawa vijana wanaoachwa wafanye watakavyo kuna siku ndoto zao hazitatimizwa na chama watazitafuta nje ya chama.

Ni wito kwa viongozi mbalimbali, wazee, wastaafu, viongozi wa dini, vyombo vya serikali na jamii kwa ujumla, kujitokeza waziwazi kukemea vitendo hivi, tuwaunge mkono makatibu wa CCM, Askofu Shoo, Freeman Mbowe, Msekwa, Waziri wa Afya Ummy, walioanzisha vita hii kukemea vitendo vinavyofanywa na viongozi vijana vilivyo kinyume na maadili ikiwemo, ubaguzi, uonevu, kuingilia taaluma na fani za watu kwenye maeneo wanayoyaongoza.

Kitengo cha usalama wa Taifa, TISS kina wajibu wa kuchunguza viongozi wa kitaifa wanaoandaliwa, taifa likipata kiongozi asiye na maadili, atakayeliharibu taifa TISS hawatakwepa lawama.
Una hoja hapa lakini hili linapaswa kushughulikiwa n Usalama wa Chama Cha Mapinduzi sio wa Taifa!
 
Cham Bee

Cham Bee

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2015
Messages
3,479
Points
2,000
Cham Bee

Cham Bee

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2015
3,479 2,000
Hivi ni lazima wakuu wa wilaya na mikoa watoke uvccm? kwanini wasitafutwe watu wenye maadili na umri wa kati?
Maadili walikuwa nayo temporary walipopata tonge yakayeyuka.Kwenye njaa kila mtu huwa na unyenyekevu.
 
Forum statistics

Threads 1,404,462
Members 531,617
Posts 34,454,262
Top