UVCCM Kuanzisha Mapinduzi Forum (MF) sawa na JF?

Status
Not open for further replies.
Nasubiri ianzishwe NIIPIGE PINI nitahakisha haipati wateja wenye akili timamu labda hao wasiojitambua kuwa wanakufa na lichama lao! Wanajf tupo vitani! Vita ni vita mraa tutahakikisha magamba liseva lao halifanyi kazi!

Taaluma yangu yote nataka kujitolea kuwaokoa watz dhidi ya sera mufilisi za lichama hili! Mungu ibariki tz, mungu ibariki jf
Ipo tayari, just follow the link

Chama Cha Mapinduzi Forum
 
Nasubiri ianzishwe NIIPIGE PINI nitahakisha haipati wateja wenye akili timamu labda hao wasiojitambua kuwa wanakufa na lichama lao! Wanajf tupo vitani! Vita ni vita mraa tutahakikisha magamba liseva lao halifanyi kazi!

Taaluma yangu yote nataka kujitolea kuwaokoa watz dhidi ya sera mufilisi za lichama hili! Mungu ibariki tz, mungu ibariki jf
Imeshaanzishwa mkuu, nenda post namba 3 MTM ameshaweka link yake
 
i checked the page but user interface is so 1996 da nikama mnaigeria amefungua masaa mawili yaliyopita ale vichwa kiaina
sasa wewe unatafuta bifu aisee....

I saw too many links which to me are ratther destructive and divert attention za forum yenyewe, but i am sure they will consult invisible and his team to help build thier forum

I am going to be a member there, na ntatumia jina langu (MTM ni majina yangu matatu) kamili na ntawaambia ninayosema humu - pa kupongezwa watapongezwa, pa kukosolewa basi watakosolewa
 
Another deadly move from CCM

Watu wangi wanaotumia mtandao kidogo wanakua wamepanuka kimawazo, Watu wa aina hii hawakubaliani na uozo wa CCM!
They have to look for ways to limit membership for interlectuals otherwise mods watabaki kuwa na kazi moja ya ku delete Posts zinazoikosoa CCM.

Hata mimi mwanaccm nitaweza kuanika uovu wa chama chetu. mpaka sasa sioni lolote la kuisifia CCM. ila nina mengi ya kuisifia CHADEMA japo mimi sio mwanachadema

Unachosema ni kweli kabisa mkuu.Mimi mwenyewe ni mwanaccm lkn nakerwa na viongozi wabovu na walafi tulionao ndani ya chama.CCM ikiondoa uozo uliopo hata kelele za hapa jf zitapungua kwa kiwango kikubwa sana.Sasa ona hata watu wenyewe wanaojifanya wako mstari wa mbele kutaka kurejesha imani ya chama kwa watanzania ni wale wale wanaochangia kukiboa chama kwani hawapendwi na wanaccm wenye uelewa mkubwa ktk mambo ya siasa.

Kama hawatakuwa wanafuta post za watu huko basi nadhani hiyo ndio itakuwa fursa nzuri ya kufikisha mawazo yetu ambayo tumekuwa hatuna pa kuyafikisha.Nashauri ccm itumie watu wasafi kujisafisha na si wanaoitia doa ccm.
 
Nasubiri ianzishwe NIIPIGE PINI nitahakisha haipati wateja wenye akili timamu labda hao wasiojitambua kuwa wanakufa na lichama lao! Wanajf tupo vitani! Vita ni vita mraa tutahakikisha magamba liseva lao halifanyi kazi!

Taaluma yangu yote nataka kujitolea kuwaokoa watz dhidi ya sera mufilisi za lichama hili! Mungu ibariki tz, mungu ibariki jf

mchangiaji hapo juu kashaleta link,nimeingia kwenye c.mapinduzi forum nkaona ajabu,yani wameweka kila kitu ,kama vyama vya siasa,forum za viongoz wote n.k Ningependekeza iitwe Government forums maana kule wameweka mambo ya kiserikali yote badala ya chama. Ajabu!
 
Hawana jipya kwanza imekaa kizamani,na sasa ni ya Serikali au ya ccm maana kila kitu cha Serikali wameweka mle yaani!!!zero brain
 
Asante mkuu kwa link nimefika huko. Inaboa mbaya mbofu! Domain yenyewe inaonekana wamepangishwa au wamebebwa na Forum Jar ambao sijui ni akina nani. Tayari wananchi wameshaanza kuwashuhulikia humo humo kwenye blogu yao!

I love Chama Cha Majuha!

Nani nimetoka huko punde, kuna post nne na zote zinaong'ong'a ccm. nadhani they are about to taste the medicine of their own. Sijui kama watasalimika mwaka huu
 
Kwa kile ambacho CCM wanaamini kuwa JF inamilikiwa na CHADEMA na kuwa tishio kwa Chama tawala kama ambavyo Mwenyekiti msaidizi wa Chama Pius Msekwa alivyosema,na baada ya Hussein Bashe kukiri kuwa ataitumia Jamii Forum kukusanya maoni ya wananchi kuelekea kuifanya UVCCM irejeshe heshima yake na ku-appeal kwenye public.

Ameshauriwa kutoitumia JAMIIFORUM na badala yake amwage mamluki waweze kuizamisha JF kwenye tundu la choo i mean ifutwe ama member ambao ni mamluki watoe michango isiyoendana na hadhi ya Ma great thinkers.

Kwenye kikao cha siri kilichofanyika Bagamoyo wamekubaliana waanzishe forum yao na waendelee kumpa support MICHUZI.

More to follow.


Mungu wangu,hivi ndivyo CCM ilivyochoka,kujisafisha ni kazi,ukiumwa na nyoka ukiguswa na unyasi unaruka kupita maelezo. Hivi bado wanafikra kuwa JF ni CDM mimi kwa muono wangu nafikiri viongozi wote wapigwe chini mapema sana,JF ni mahali ya watu wote bila ya kubagua itikadi ya chama chochote wameona JF ndio mahali pazuri pa kutoa maoni,ushauri madukuduku na mbadala wa kuondoa maovu ya aina yote katika jamii, sasa wasifikirie kuanzisha forum ambayo wanataka kuficha uchafu wa CCM hawataweza kuipiku JF humu hapendwe mtu/chama ni ukweli tu na haki, hata hao CDM wakiharibu huwa wanapewa vidonge ukiona unasemwa sana ujue iko haja ya kujirekebisha utashangiliwa tu, CCM chukueni formula ya Mpira kinachotakiwa ni magoli TU,watanzania wanachotaka ni maisha mazuri na uongozi bora na si kingine na haya ndio magoli yenyewe,sio mtindo wa CCM na utawala wake, Viongozi na wanachama wenye nguvu wanakula mali ya umma na lasilimali zetu mpaka wanajitapikia kwenye masuti yao,hakuna anayekubali, mtasakamwa mpaka mng'oke. Na hii haina muda mrefu maana jinsi mnavyo jipa rangi nyingi kama kinyonga katika kukomesha maovu,dhuluma,wizi,ukandamiza wa kila aina watanzania wanawaangalia tu,mtashangaa kinachotekea na kupotea kabisa katika ramani ya Siasa Tanzania,EEEEEEEEE Mungu tupe nguvu,ujasiri uliotukuka na kila aina ya mbinu kuishinda hii vita dhidi ya mbinu na kinga ya magamba.
 
Mimi naunga mkono sana CCM kuwa na forum yao, pia ningependa chadema wawe na yao kama vile ambavyo professional bodies nyingi zinazo kwa sasa

Napenda hivyo ili jamii forums ibaki kwa wale griti thinkaz wenye kudare talk openly bila kuogopa victimizations za vyama vyao....

Nawatakia heri hasa wale waliotumwa kuja kuchafua hewa huku kwamba waende wakajenge kwao, huku waache wenye mapenzi mema

Nakushauri utembelee au ujiunge na FOS (Friends of Slaa Forum) kupitia wanabii forum
 
Hawa UVCCM wacheza wenyewe na MAPAPA wao kamwe hawatawaona WanaJF humo labda watampata yule jamaa wao anayejiita MALARIASUGU huko.
 
haitakuwa tofauti na michuz blog.

members ni mashosti na mabishosti wanaoingia club saa 6 usiku wa manane na kutoka saa 12 asubuhi.
 
Hawa majuha wanatapatapa,wanaiga kila wanachokiona kinavutia,wanalalamika kila uchao,wanazusha,wanavuana magamba yanawashinda maana wote magamba matupu.mkuu ndo ovyoooooo!
 
Haya waje tu maana hata jina lao limepoteza maana "mapinduzi" ya kitu gani? Bora waje na Magamba forums lakini wakiambiwa ukweli hata huko mwisho wa siku watasema CDM imetuvamia, maana wao wanataka kusifiwa tu na si kukosolewa wataikimbia tu
 
Bure kabisa, yaani hayo ndo Jk alikua akisema mnayajua tuliyoyaongea na wameanza kuyafanyia kazi....ni aibu chama kikubwa kama ccm kuanzisha forum mbovu kama ile, hata ni bora wangeipa jina la Magamba forum coz ndo saizi yao. teh
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom