UVCCM Arusha hapatoshi!

UVCCM na wakuu wake tunatoa honyo ya kuwa hatutakuwa tayari kusikia wanakuja Arusha kwa lengo la kupambana na lowassa kwani kama hilo litatokea hatutasita kujibu mapigo
 
c.c.m kwisha habari yake, jana walikuwa na mkutano eneo la pugu kajiungeni sheli (ukonga) wanampokea Dr. kafumu kwa ushindi na kurejea nyumbani pugu, watu walikuwa wachache hata hamsini hawafiki, wengi ni wakina mama isitoshe most of them ni viongozi wa shina,matawi na kata. c.c.m aibu tupu Dr kafumu hata wakazi wa pugu awajajitokeza pamoja na kutangaza sana ujio wake.
Kama nadanganya nipo tayari kukosolewa wakuu. Magamba kazi kwenu.
 
hoa, ndio wanawaleta wapiga kura wapya hapo arusha, wanajiimalisha kwa uchaguzi wa madiwani
 
Ya UVCCM Arusha yanaonyesha ni aina gani ya future eladers we should expect from CCM

ni sawa na vicheche fulani hivi
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu mwenye uchungu na nchi hii ambaye hanufaiki kwa namna yoyote ambaye anaishabikia sisiyem. Absolutely no body!
 
Wanajf niko Hapa Monduli, nimekutana na msafara wa magari, costa na Hiace zimejaza vijana wa ccm na bendera zimefungwa kwenye magari, ndo nikauliza kuna nini leo? Wenyeji wameniambia vijana wanaenda Arusha town kuzindua matawi baadae kuna mkutano wa hadhara, nasikia vijana wamesombwa kutoka Babati, karatu, Manyara na maeneo mengine ya Arusha kwena mjini kuhudhuria mkutano.
Sasa mimi nacho jiuliza kwanini Uvccm inawasomba vijana kutoka kila kona kufanikisha ufunguzi wa matawi Arusha mjini, au wanataka kuwaonyesha watanzania kwamba bado ccm inapendwa na vijana. Ama kweli ccm maji shingoni.

Stroy za UVCCM kuzisikia zinaleta mpaka kinyaa
 
Muulize Nape hilo swali lako
 
Hapa jengo la mkoa la ccm kwa upande nyuma nimekuta gari la matangazo la Triple A linawaburudisha vijana wachache wenye nyuso za furaha ya kulazimishwa. ccm na haya mambo ya siasa za Arusha zitawasumbua kichwa mpaka basi, poleni magamba!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hao waliotolewa M'nduli kama hawana baraka za Legwanani Mkuu aka EL, watafute kabisa kazi ya ulinzi maana kurudi ni ngumu na kazi ni kuwa Akwii mtaani!
 
CCM watafute muarobaini wa matatizo yao ya ndani. Wanahitaji kurudisha umoja na upendo miongoni mwao kabla ya kusema wanadumisha kitu ambacho ndiyo kinaishia. Napenda Tanzania iliyoungana yenye watu wanaopendana wanaoshirikiana wote keki ya taifa.
 
For I was hungry and you gave me something to eat, I was thirsty and you gave me something to drink. Njaa na uroho wa madaraka utawamaliza hawa vijana
 
CCM watafute muarobaini wa matatizo yao ya ndani.
kwa kweli hapa ndipo ugonjwa wa CCM ulipo. wao kwa ujinga wao wanadhani kuna watu wanawaonea wivu kwa vile ni chama tawala, kumbe tatizo liko ndani mwao.

kwa mfano wakiambiwa wao ni "mafisadi" badala ya kujibu hoja wao wanakazana kukanusha kwamba CCM si mafisadi bali watu waliomo ndani ya CCM ndiyo mafisadi. Sasa tofauti kati ya CCM na waliomo CCM ni nini? hapo ndipo wanapoachana na vijana kwani kwa asili vijana hupenda kuambiwa ukweli 'wanoutaka" hata kama ukweli huo unawaudhi wanaousema!!

Hivi CCM wakisema kwamba hawana tena hadhi ya kuongoza hii nchi ila wanahitaji kujipanga upya wakiwa nje ya uongozi (2015?) kitawapata kitu gani kwa chama chao.
 
c.c.m kwisha habari yake, jana walikuwa na mkutano eneo la pugu kajiungeni sheli (ukonga) wanampokea Dr. kafumu kwa ushindi na kurejea nyumbani pugu, watu walikuwa wachache hata hamsini hawafiki, wengi ni wakina mama isitoshe most of them ni viongozi wa shina,matawi na kata. c.c.m aibu tupu Dr kafumu hata wakazi wa pugu awajajitokeza pamoja na kutangaza sana ujio wake.
Kama nadanganya nipo tayari kukosolewa wakuu. Magamba kazi kwenu.
Mkuu habari yako haina mashiko,, mimi nilikuwepo Pugu, mbona watu walikuwa kisado? check picha hii
 
Wanajf niko Hapa Monduli, nimekutana na msafara wa magari, costa na Hiace zimejaza vijana wa ccm na bendera zimefungwa kwenye magari, ndo nikauliza kuna nini leo? Wenyeji wameniambia vijana wanaenda Arusha town kuzindua matawi baadae kuna mkutano wa hadhara, nasikia vijana wamesombwa kutoka Babati, karatu, Manyara na maeneo mengine ya Arusha kwena mjini kuhudhuria mkutano.
Sasa mimi nacho jiuliza kwanini Uvccm inawasomba vijana kutoka kila kona kufanikisha ufunguzi wa matawi Arusha mjini, au wanataka kuwaonyesha watanzania kwamba bado ccm inapendwa na vijana. Ama kweli ccm maji shingoni.
CDM wanatakiwa wakiona hivi basi na wao wanaelekea vijijini kufungua vituo vyao...! Ili wanaporudi wakute na CDM imeshawakomba vijijini..! Yaani game itakuwa tamu kweli...!
 
tena wawe macho, vinginevyo watashughulikiwa na akina mong'oo wa arusha!..wasilete uporipori wao mjini bana!

wewe jimmy, acha madharau! Kwani watu wa porini hawana haki ya kuja mjini? Wewe umetokea wapi?! Almost watu wa mjini wametoka vijijini!!!
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom