Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 14,016
- 27,589
hapana nduguUmerogwa mzee
hapana nduguUmerogwa mzee
Shida ni njaa chama kimejaza vijana wahovyo,wajinga,wapumbavu,malofa hawana plan B ya maishaKwa miaka zaidi ya 60 ya uhuru watanzania leo bado wanagombania maji na mifugo huko maporini.
Halafu anatokea mmtu mmoja aliyelewa madaraka anasema eti CCM ndiyo chama pekee chenye kuwaletea maendeleo watanzania?
UVCCM tafadhali acheni kuwakejeli watanzania. Endeleeni kula matunda yatokanayo na jasho la watanzania.
Chonde chonde acheni dhihaka, tuwacheni na machungu yetu.
View attachment 2718313
Ndio ccm yenyewe
Ukiona mdogo wako amejiunga uvccm ujue kama familia mmepata hasaraShida ni njaa chama kimejaza vijana wahovyo,wajinga,wapumbavu,malofa hawana plan B ya maisha