Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Kwa miaka zaidi ya 60 ya uhuru watanzania leo bado wanagombania maji na mifugo huko maporini.
Halafu anatokea mmtu mmoja aliyelewa madaraka anasema eti CCM ndiyo chama pekee chenye kuwaletea maendeleo watanzania?
UVCCM tafadhali acheni kuwakejeli watanzania. Endeleeni kula matunda yatokanayo na jasho la watanzania.
Chonde chonde acheni dhihaka, tuwacheni na machungu yetu.