sio lazima awe waziri,aende zake akalime korosho tuYaani akalie kimya ujinga ili arejeshwe kwenye uwaziri? Akili gani hizi?
Ndio maana anawapa za uso kila wakati kwa kuwa hauhitaji huo uwaziri wenu!sio lazima awe waziri,aende zake akalime korosho tu
Ulijuaje kama hukuifuatilia? Do you love him?tunawajua tabia zenu ma gay bottom na ndugu yenu aliekua kwenye intavyuu jana asubuhi kwenye tv ya kikuda isiokua na mvuto
Mbunge wa Mtama, Nape Moses Nnauye amemjia juu kwa mara nyingine Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa kusema kwamba hakuunda kamati ya kumchunguza yeye, bali aliunda kamati ya kuchunguza tukio la kuvamiwa kwa kituo cha utangazaji cha Clouds Media Group.
Nape ameyasema hayo mapema leo asubuhi kupitia ukurasa wake wa Twitter, ambapo alieleza kwamba, kama kiongozi huyo alikuwa ni mmoja wa wavamizi wa kituo hicho, basi hayupo juu ya sheria.
“Niliunda kamati kuchunguza tukio la kuvamiwa kituo cha utangazaji sio kumchunguza RC. Kama RC alikuwa mmoja wa wavamizi, hayuko juu ya sheria,” aliandika Nape
Alipoulizwa kwanini Waziri wa Habari aunde kamati ya uchunguzi wa tukio la uvamizi badala ya kamati hiyo kuundwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Nape alijibu kwa kuuliza swali kama kila kamati inaundwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Majibu haya ya Nape yamekuja ikiwa ni saa chache baada ya kuulizwa ni yapi maoni yake kuhusu kauli ya Makonda kwamba hakuwa akifahamu mipaka yake ya kazi ndio sababu alikwenda kuunda tume ya kumchunguza.
Kauli ya Nape kuhusu kuunda kamati imekuja ikiwa ni takribani saa 24 tangu Makonda aliposema kuwa aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo aliunda kamati ya kumchunguza.
Makonda alisema hayo jana, ambapo alidai kuwa kamati iliyoundwa na Waziri isingeweza kumhoji kwa sababu haikuwa na uwezo huo kutokana na wajumbe wa kamati hiyo kutofahamu mambo yanayohusiana na masuala ya uvamizi.
CHANZO: Swahili Times
You couldnt be more rightMwenye mbuzi anaonekana kama hajielewi flan mbuzi kaenda mbali anatia aibu sasa
Tatizo la Nape ni kuchunguza badala ya kuratibu zoezi hilo.Mbunge wa Mtama, Nape Moses Nnauye amemjia juu kwa mara nyingine Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa kusema kwamba hakuunda kamati ya kumchunguza yeye, bali aliunda kamati ya kuchunguza tukio la kuvamiwa kwa kituo cha utangazaji cha Clouds Media Group.
Nape ameyasema hayo mapema leo asubuhi kupitia ukurasa wake wa Twitter, ambapo alieleza kwamba, kama kiongozi huyo alikuwa ni mmoja wa wavamizi wa kituo hicho, basi hayupo juu ya sheria.
“Niliunda kamati kuchunguza tukio la kuvamiwa kituo cha utangazaji sio kumchunguza RC. Kama RC alikuwa mmoja wa wavamizi, hayuko juu ya sheria,” aliandika Nape
Alipoulizwa kwanini Waziri wa Habari aunde kamati ya uchunguzi wa tukio la uvamizi badala ya kamati hiyo kuundwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Nape alijibu kwa kuuliza swali kama kila kamati inaundwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Majibu haya ya Nape yamekuja ikiwa ni saa chache baada ya kuulizwa ni yapi maoni yake kuhusu kauli ya Makonda kwamba hakuwa akifahamu mipaka yake ya kazi ndio sababu alikwenda kuunda tume ya kumchunguza.
Kauli ya Nape kuhusu kuunda kamati imekuja ikiwa ni takribani saa 24 tangu Makonda aliposema kuwa aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo aliunda kamati ya kumchunguza.
Makonda alisema hayo jana, ambapo alidai kuwa kamati iliyoundwa na Waziri isingeweza kumhoji kwa sababu haikuwa na uwezo huo kutokana na wajumbe wa kamati hiyo kutofahamu mambo yanayohusiana na masuala ya uvamizi.
CHANZO: Swahili Times
Mkuu jina lako linatisha!Nape alikuwa waziri wa habari. Moja ya kituo chake cha habari kilivamiwa,nani angeunda tume? Mi ninachoona hapa ni kujaribu kufifisha hoja ya vyeti ambayo ndiyo yenye madhara kuliko hiyo ya uvamizi.
You couldnt be more right
Na unadhani ni rahisi kupata support ya mkuu wa kaya,?mie naitamani ila naipataje sijui,hivyo bado jamaa ni extraordinary kwangu.Hakuna mtu yeyote anaweza kuogopa kitu chochote as long as anakuwa supported na Mkuu wa Kaya.
Ameshindwa kufanya tukio la dk 1 tu la kuzama ndani na kumuonesha Mwandishi cheti chake cha FIV kama si uoga niniMakonda jasiri, anajiamini, si muoga, si muongo, si mzushi, si mnafiki, si mzandiki kama wengi wetu hapa, ma cowards, tunasema huku tumejificha katika id feki tukimuacha Mexons akitaabika na kuhangaika na familia yake sisi tukifurahia kuzusha, kuzitekenya nafsi zetu na kucheka. Wengine ni wanafiki kupindukia, maisha yetu tunamtegemea Makonda, tukibadilidha vi ID tunajifanya tunajua kuchonga. Kama sisi si waoga, kama sisi si wanafiki, kama sisi si wazushi na tuko tayari 'kuikomboa' nchi kama tunavyodai kwa nini tunajificha? Nchi haikombolewi na wanaojificha, bali wanaokwenda front. Hakuna nini wala nini, hatujielewi na ni maneno matupu tu. Makonda shujaa, anatenda yanaonekana na anasema na kuwataja pasipo kupepesa macho. Aibu kwetu, aibu cowards!
Muhongo alitemwa lini? Na nani alimtema!?Makonda amecheza kete yake vizuri jana.
Nape ni bora angekaa kimya tu,vinginevyo ni kama anamjibu Rais aliemfukuza kazi.
Nape anapaswa kukubali kuwa kuna maisha baada ya uwaziri,Kina Muhongo walitemwa lakini walirudi kutokana na kukaa kwao kimya japo walijua wameonewa
Makonda jasiri, anajiamini, si muoga, si muongo, si mzushi, si mnafiki, si mzandiki kama wengi wetu hapa, ma cowards, tunasema huku tumejificha katika id feki tukimuacha Mexons akitaabika na kuhangaika na familia yake sisi tukifurahia kuzusha, kuzitekenya nafsi zetu na kucheka. Wengine ni wanafiki kupindukia, maisha yetu tunamtegemea Makonda, tukibadilidha vi ID tunajifanya tunajua kuchonga. Kama sisi si waoga, kama sisi si wanafiki, kama sisi si wazushi na tuko tayari 'kuikomboa' nchi kama tunavyodai kwa nini tunajificha? Nchi haikombolewi na wanaojificha, bali wanaokwenda front. Hakuna nini wala nini, hatujielewi na ni maneno matupu tu. Makonda shujaa, anatenda yanaonekana na anasema na kuwataja pasipo kupepesa macho. Aibu kwetu, aibu cowards!