Uvamizi wa Clouds: Nape amjia juu Makonda

Nape sasa amechanganyikiwa kabisa mamlaka ya kuchunguza jinai kama anavyosema ameyapata wapi? hahahaha
 
Mbunge wa Mtama, Nape Moses Nnauye amemjia juu kwa mara nyingine Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa kusema kwamba hakuunda kamati ya kumchunguza yeye, bali aliunda kamati ya kuchunguza tukio la kuvamiwa kwa kituo cha utangazaji cha Clouds Media Group.

Nape ameyasema hayo mapema leo asubuhi kupitia ukurasa wake wa Twitter, ambapo alieleza kwamba, kama kiongozi huyo alikuwa ni mmoja wa wavamizi wa kituo hicho, basi hayupo juu ya sheria.

“Niliunda kamati kuchunguza tukio la kuvamiwa kituo cha utangazaji sio kumchunguza RC. Kama RC alikuwa mmoja wa wavamizi, hayuko juu ya sheria,” aliandika Nape

Alipoulizwa kwanini Waziri wa Habari aunde kamati ya uchunguzi wa tukio la uvamizi badala ya kamati hiyo kuundwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Nape alijibu kwa kuuliza swali kama kila kamati inaundwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Majibu haya ya Nape yamekuja ikiwa ni saa chache baada ya kuulizwa ni yapi maoni yake kuhusu kauli ya Makonda kwamba hakuwa akifahamu mipaka yake ya kazi ndio sababu alikwenda kuunda tume ya kumchunguza.

Kauli ya Nape kuhusu kuunda kamati imekuja ikiwa ni takribani saa 24 tangu Makonda aliposema kuwa aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo aliunda kamati ya kumchunguza.

Makonda alisema hayo jana, ambapo alidai kuwa kamati iliyoundwa na Waziri isingeweza kumhoji kwa sababu haikuwa na uwezo huo kutokana na wajumbe wa kamati hiyo kutofahamu mambo yanayohusiana na masuala ya uvamizi.

CHANZO: Swahili Times

- Ndio maana Wazee kina Mangula wataendelea kututawala hili TAifa mpaka mwisho wa Dunia, Vijana waliopewa kidogo wapo busy kupigana vita na huku Media zetu zikishangilia bila kujua hivi vita ni kwa gharama ya Vijana na uongozi wa Taifa, keep it up haya sasa nendeni kwa MAkonda mumuulize na yeye ana lipi la kusema kuhusu hii kauli, Jumapili Kijana mwingine Askofu naye atajikita kwenye hivi vita hewa, Mungu aibariki Tanzania

le Mutuz
 
Yani watu wote wenye akili zao timamu wangeacha kubishana na huyu bashite
Kwanza hata hoja za maana hana
Anaropokaropoka tu
Ila gwajima lazima ampe za mbavu jumapili
 
Sasa si kuna wapigania 'uhuru'? Uliona wapi wapigania uhuru waoga?
We ndio coward kwani nape hakujitokeza hadi akatimuliwa??? Boniface jacob je?? Msukuma??? Tundu lisu hadi TLS imeamua kupeleka kesi mahakamani?? gwajima je hadi analipuka vile hadharani bila uoga?? BUT WJAT HAS CHANGED TOKA HAWA WOTE WAPAMBANE NA MAKONDA HADHARANI??

Hakuna coward labda huyo mwajiri wa makonda ndio coward wa kuchukua maamuzi magumu yanayomfanya huyo kilaza mwenzio kupata kiburi otherwise wanaume walishajitokeza hao waoga nyuma ya keyboars umebaki wwe tu
 
Mbunge wa Mtama, Nape Moses Nnauye amemjia juu kwa mara nyingine Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa kusema kwamba hakuunda kamati ya kumchunguza yeye, bali aliunda kamati ya kuchunguza tukio la kuvamiwa kwa kituo cha utangazaji cha Clouds Media Group.

Nape ameyasema hayo mapema leo asubuhi kupitia ukurasa wake wa Twitter, ambapo alieleza kwamba, kama kiongozi huyo alikuwa ni mmoja wa wavamizi wa kituo hicho, basi hayupo juu ya sheria.

“Niliunda kamati kuchunguza tukio la kuvamiwa kituo cha utangazaji sio kumchunguza RC. Kama RC alikuwa mmoja wa wavamizi, hayuko juu ya sheria,” aliandika Nape

Alipoulizwa kwanini Waziri wa Habari aunde kamati ya uchunguzi wa tukio la uvamizi badala ya kamati hiyo kuundwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Nape alijibu kwa kuuliza swali kama kila kamati inaundwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Majibu haya ya Nape yamekuja ikiwa ni saa chache baada ya kuulizwa ni yapi maoni yake kuhusu kauli ya Makonda kwamba hakuwa akifahamu mipaka yake ya kazi ndio sababu alikwenda kuunda tume ya kumchunguza.

Kauli ya Nape kuhusu kuunda kamati imekuja ikiwa ni takribani saa 24 tangu Makonda aliposema kuwa aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo aliunda kamati ya kumchunguza.

Makonda alisema hayo jana, ambapo alidai kuwa kamati iliyoundwa na Waziri isingeweza kumhoji kwa sababu haikuwa na uwezo huo kutokana na wajumbe wa kamati hiyo kutofahamu mambo yanayohusiana na masuala ya uvamizi.

CHANZO: Swahili Times

Nape siyo intelligent man!
 
Nape sasa hivi hana impact amebaki mkiwa kama mtoto yatima,ile jeuri na kiburi chote kwisha,Mungu ni wetu sote malipo ni hapa hapa Duniani.mateso ya nafsi anayoyapata ni zaidi ya moto wa jehanam.
 
Iv inakuaje mtu avamiwe bila kupata mchubuko, pia aliyevamiwa asiende kutoa ripoti polisi mda huo huo?
 
Nape kwenye issue ya Makonda ulikurupuka ukiamini unammaliza Makonda, kumbe unajimaliza.
Ona Sasa unavyotangatanga kujibu
 
- Ndio maana Wazee kina Mangula wataendelea kututawala hili TAifa mpaka mwisho wa Dunia, Vijana waliopewa kidogo wapo busy kupigana vita na huku Media zetu zikishangilia bila kujua hivi vita ni kwa gharama ya Vijana na uongozi wa Taifa, keep it up haya sasa nendeni kwa MAkonda mumuulize na yeye ana lipi la kusema kuhusu hii kauli, Jumapili Kijana mwingine Askofu naye atajikita kwenye hivi vita hewa, Mungu aibariki Tanzania

le Mutuz
Wenzako wanaombwa wasigeuzwe Maji sasa wewe unamchokoza utaamshiwa DUDEEEEE
 
Makonda amecheza kete yake vizuri jana.
Nape ni bora angekaa kimya tu,vinginevyo ni kama anamjibu Rais aliemfukuza kazi.
Nape anapaswa kukubali kuwa kuna maisha baada ya uwaziri,Kina Muhongo walitemwa lakini walirudi kutokana na kukaa kwao kimya japo walijua wameonewa

Akae kimya ili arudi kwenye ulaji??

Taifa LA wajinga sana hilo

Siku hao mazombi wakija kujitambua itakua sheshe

Mtu haruhusiwi kukosoa Serikali

Mjinga mmoja anaburuza watu mil50

Punguwan
 
Samia Hana interest na hiyo issue ya Bashite, hivyo Nape hawezi kufanya chochote.

Wabongo tuna laana ya ushabiki mpaka tunashindwa kuona uhalisia.
Uhalisia gani.

Halafu unaposema eti fulani hana interest na hiyo issue...

Are we talking about some kind of a game sport or criminal offense?

Does Criminal offenses needs Presidential interest to be investigated?
 
Makonda jasiri, anajiamini, si muoga, si muongo, si mzushi, si mnafiki, si mzandiki kama wengi wetu hapa, ma cowards, tunasema huku tumejificha katika id feki tukimuacha Mexons akitaabika na kuhangaika na familia yake sisi tukifurahia kuzusha, kuzitekenya nafsi zetu na kucheka. Wengine ni wanafiki kupindukia, maisha yetu tunamtegemea Makonda, tukibadilidha vi ID tunajifanya tunajua kuchonga. Kama sisi si waoga, kama sisi si wanafiki, kama sisi si wazushi na tuko tayari 'kuikomboa' nchi kama tunavyodai kwa nini tunajificha? Nchi haikombolewi na wanaojificha, bali wanaokwenda front. Hakuna nini wala nini, hatujielewi na ni maneno matupu tu. Makonda shujaa, anatenda yanaonekana na anasema na kuwataja pasipo kupepesa macho. Aibu kwetu, aibu cowards!
Heheheeeeeee ogopa Mungu na teknolojia
 
Uhalisia gani.

Halafu unaposema eti fulani hana interest na hiyo issue...

Are we talking about some kind of a game sport or criminal offense?

Does Criminal offenses needs Presidential interest to be investigated?
Huna akili

IMG_20220219_073845.jpg
 
Uhalisia gani.

Halafu unaposema eti fulani hana interest na hiyo issue...

Are we talking about some kind of a game sport or criminal offense?

Does Criminal offenses needs Presidential interest to be investigated?
Upo nchi gani? Tz kesi za namna hiyo Kama raisi Hana interest basi jua kuwa hakuna kesi.
 
Back
Top Bottom