Uvamizi wa Clouds: Nape amjia juu Makonda

Uvamizi wa Clouds: Nape amjia juu Makonda

Makonda jasiri, anajiamini, si muoga, si muongo, si mzushi, si mnafiki, si mzandiki kama wengi wetu hapa, ma cowards, tunasema huku tumejificha katika id feki tukimuacha Mexons akitaabika na kuhangaika na familia yake sisi tukifurahia kuzusha, kuzitekenya nafsi zetu na kucheka. Wengine ni wanafiki kupindukia, maisha yetu tunamtegemea Makonda, tukibadilidha vi ID tunajifanya tunajua kuchonga. Kama sisi si waoga, kama sisi si wanafiki, kama sisi si wazushi na tuko tayari 'kuikomboa' nchi kama tunavyodai kwa nini tunajificha? Nchi haikombolewi na wanaojificha, bali wanaokwenda front. Hakuna nini wala nini, hatujielewi na ni maneno matupu tu. Makonda shujaa, anatenda yanaonekana na anasema na kuwataja pasipo kupepesa macho. Aibu kwetu, aibu cowards!
Ni Jasiri gani anayeogopa hata kujibu tuhuma zinazomkabili?
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Mwataka mjue ID zao ili muwateke?
 
kabombe umenena yaliyo sahihi!
Silence is the best weapon!
FUSO Uhanaharakati utamponza Nape!
@domokaya,ukiacha madhaifu mengine hasa swala la vyeti,Makonda ni mtu Jasiri,Focused and Consistent!
 
Makonda jasiri, anajiamini, si muoga, si muongo, si mzushi, si mnafiki, si mzandiki kama wengi wetu hapa, ma cowards, tunasema huku tumejificha katika id feki tukimuacha Mexons akitaabika na kuhangaika na familia yake sisi tukifurahia kuzusha, kuzitekenya nafsi zetu na kucheka. Wengine ni wanafiki kupindukia, maisha yetu tunamtegemea Makonda, tukibadilidha vi ID tunajifanya tunajua kuchonga. Kama sisi si waoga, kama sisi si wanafiki, kama sisi si wazushi na tuko tayari 'kuikomboa' nchi kama tunavyodai kwa nini tunajificha? Nchi haikombolewi na wanaojificha, bali wanaokwenda front. Hakuna nini wala nini, hatujielewi na ni maneno matupu tu. Makonda shujaa, anatenda yanaonekana na anasema na kuwataja pasipo kupepesa macho. Aibu kwetu, aibu cowards!
Heee!! Wewe ndio makonda mbona unatoa matusi tu tumia busara kidogo nape naye ni jembe ndani ya ccm waulize wakina mzee lowasa
 
Makonda jasiri, anajiamini, si muoga, si muongo, si mzushi, si mnafiki, si mzandiki kama wengi wetu hapa, ma cowards, tunasema huku tumejificha katika id feki tukimuacha Mexons akitaabika na kuhangaika na familia yake sisi tukifurahia kuzusha, kuzitekenya nafsi zetu na kucheka. Wengine ni wanafiki kupindukia, maisha yetu tunamtegemea Makonda, tukibadilidha vi ID tunajifanya tunajua kuchonga. Kama sisi si waoga, kama sisi si wanafiki, kama sisi si wazushi na tuko tayari 'kuikomboa' nchi kama tunavyodai kwa nini tunajificha? Nchi haikombolewi na wanaojificha, bali wanaokwenda front. Hakuna nini wala nini, hatujielewi na ni maneno matupu tu. Makonda shujaa, anatenda yanaonekana na anasema na kuwataja pasipo kupepesa macho. Aibu kwetu, aibu cowards!

Mkuu,

Unawaelewa wapuliza filimbi "whistlebolwers"?

Kaka ...
 
Tatizo la Nape amezoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi amebugi kugusa mboni ya jicho ya mwenye nchi akae kimya tu akubali matokeo. Bashite hv ss ni jeshi kubwa kuliko hata Faru joni.
 
Hahahaha Nape Moses Nauye!
Mzee wa Kukurupuka. Duh yaani hata saa 24 hazijapita toka RC DSM kuhojiwa na Star TV, yeye tayari kajibu. Sijui anawashwa na nini! Toka atumbuliwe anamsongo wa mawazo hali inayopelekea kuongea ongea ili moyo wake upumue.
 
Nape, don’t personalise ministerial duties as if the assignments and duties you executed during your reign were branded yours personally. They weren’t! Completely wrong dude! The said committee, despite its questionable legality and integrity, was constituted in the aegis of government ministerial docket powers not as an individual known by the name Nape Moses Nnauye. Actually trying to construe the said committee as having been constituted in the personal capacity/efforts of a person heading the ministry in question erodes even the entire of the little left integrity of the ministerial docket bearer at the time and the committee altogether.
 
Mzee wa Kukurupuka. Duh yaani hata saa 24 hazijapita toka RC DSM kuhojiwa na Star TV, yeye tayari kajibu. Sijui anawashwa na nini! Toka atumbuliwe anamsongo wa mawazo hali inayopelekea kuongea ongea ili moyo wake upumue.
Hahahaha, busara na hekima ni muhimu sana..,
 
Makonda jasiri, anajiamini, si muoga, si muongo, si mzushi, si mnafiki, si mzandiki kama wengi wetu hapa, ma cowards, tunasema huku tumejificha katika id feki tukimuacha Mexons akitaabika na kuhangaika na familia yake sisi tukifurahia kuzusha, kuzitekenya nafsi zetu na kucheka. Wengine ni wanafiki kupindukia, maisha yetu tunamtegemea Makonda, tukibadilidha vi ID tunajifanya tunajua kuchonga. Kama sisi si waoga, kama sisi si wanafiki, kama sisi si wazushi na tuko tayari 'kuikomboa' nchi kama tunavyodai kwa nini tunajificha? Nchi haikombolewi na wanaojificha, bali wanaokwenda front. Hakuna nini wala nini, hatujielewi na ni maneno matupu tu. Makonda shujaa, anatenda yanaonekana na anasema na kuwataja pasipo kupepesa macho. Aibu kwetu, aibu cowards!
Domokaya,wakati dingi ni mh serikali???
 
Hahahaha, busara na hekima ni muhimu sana..,
Naona mpaka atakapo rudishwa kwenye Cabinet. Sisi wananchi hatujui machungu yake moyoni haya anayoongea ni impact tu kutolewa kwenye u waziri.
 
Nimepokea maoni mengi toka kwa marafiki zangu na wadauwengine mitandaoni wakitaka nitoe maoni yangu baada ya kile kinachoitwa Majibu ya Makonda kwa tuhuma zinazomkabila,

Bahati mbaya kwangu mimi ni mmoja ya watu waliosombwa na upepo nikajikuta nafuatilia kwa kina sana kipindi chote cha mahojiano pale Startv jana, na kimsingi nilishaweka kando mjadala huu kwamba sitamjadili kiumbe huyu ambaye si ndege wala mnyama, yani ni popoooo! Lakini nimelazimika kujadili hili kwa maslahi ya jamii ya marafiki zangu inayonizunguka mitandaoni, ukweli ni kuwa nyinyi ndio waajiri wangu, nyinyi ndio mmenifikisha hapa nilipo, siwezi kuwaangusha nakuwalalia, Nimeamua kulichambua hili kwa vina vyote.

Jambo Muhimu ni kwamba Startv walimpa uwanja muhimu ambao Daudi Bashite ataujutia katika maisha yake kwakushindwa kuutumia,

Daud Albert Bashite jana alikuwa na nafasi fupi na rahisi sana, Swali la kwamba Utata wa jina lake na vyeti vyake altakiwa kujibu tu kwamba:

"Hapana wanaosema mimi Daud Albaet Bashite na kwamba niliiba cheti sio kweli, Mimi ni Paul Christian Makonda, ushahidi wa vyeti ni huu, Cheti cha kuzaliwa hiki hapa, (ananyanyua na kutuonyesha), Cheti cha Darasa la Saba ni hiki (ananyanyu na kutuonyesha), Cheti cha kidato cha nne hiki (ananyanyua na kutuonyesha), Cheti cha kidato cha sita hiki (ananyanyua na kutuonyesha), na Cheti cha Chuo hiki (ananyanyua na kutuonyesha) na vyeti vyote tungeviona vimeandikwa Paul Christian Makonda". Mjadala huu ungekufa kifo cha kahaba.

Hoja ya pili kubwa ungekuwa kwenye swali lililohusu kuvamia kituo cha Clouds Tv, hili huyu kijana angekuwa kafundwa lilikuwa ishu ndogo ya maneno machache sana, angejibu, "Naomba radhi, nilighafirika kama binadamu, namuomba radhi Rafiki na kaka yangu Ruge na Kusaga, pia nawaomba radhi vyombo vya habari na wamiliki wa vyombo vya habari na mwisho nawaomba radhi Watanzania".

Lakini kinyume chake blabla nyiiiingi kibri na majivuno vinayozidi kumpeleka shimoni....

Hoja ya tatu kubwa ni umiliki wa mali tofauti na kipato chake, hili wala asingeliacha lielee tu kwakuwa nyuma yake linatuhuma nzito kwake, angekwenda studio na nyaraka toka tume ya maadili ya viongozi ikiwa na orodha ya mali zake ambapo dunia ingeshuhudia mali zake zote zikiwa kwenye orodha hiyo, na zaidi angeongezea tu kwa kuweka nyaraka za umiliki wa mali hizo ambazo kimsingi haziendani na mshahara wake wa ukuu wa mkoa usiozidi
6,800,000/=, angetwambia tu ni biashara gani nyingine anafanya katika ardhi ya Tanzania au nje ya Tanzania.

Mtazamo wangu naweza kusema kwamba, katika nadharia ya Sayansi ya siasa na utawala, Umma unapokuandama katika baya, hakuna chombo au mamlaka inayoweza kukutetea ukateteeka, isipokuwa ni umma huo kukuhukumu wenyewe, upe umma unachotaka.

Naaam Kufuatia kashifa inayomkumba mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda ambaye jina lake halisi ni " imedhihirika jana katika mahojiano pale Startv kuwa ni Daudi Albert Bashite, kuna mambo mengi yanajitokeza na yataendelea kujitokeza. Kuna nadharia inayothibitisha kwa 100% kwamba madai haya yanaukweli kwa kila nukta. Na hata vyanzo jadidi vinathibitisha hili.

Sasa kunaibuka kundi kubwa la watu wajinga na wengine kuwa fuata mkumbo na wachache wenye akili ni wanafiki wa kutupwa juu ya hili. Kipo kikundi kidogo hiki kinaonyesha kimetopea kwenye ujinga na huenda shibe yao inatokana na matumizi sahihi ya ujinga wao mbele ya welevu wachache wanafiki kupindukia. Kikundi hiki kimeibuka na hoja kwamba Makonda ni mchapa kazi hivyo kashfa inayomkumba haimpunguzii sifa ya utumishi kama mkuu wa mkoa, kibaya zaidi kikundi hiki kinainasibisha tuhuma hii na kile kinachoitwa vita dhidi ya madawa ya kulevya ambayo kimsingi Makonda hana mamlaka ya kupambana nayo kwakuiongoza au hata kuisemea tu.

Lakini lipo kundi lingine ni kubwa hili linaimbishwa tu nyimbo vyeti vya Makonda feki, vyeti feki, Makonda kaghushi nk.... Hili kundi ni rahisi tu, ni elimu tu ya dharula inawatosha, hawa nitawapa elimu hapa hapa ada yako ni bando lako tu.

Vyeti vya Paul Christian Makonda ni vyeti HALISI vinavyotambuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia baraza la mitihani la Taifa. Hivyo Paul Makonda hana kosa la kughushi vyeti. Hana kosa la kuwa na vyeti feki. Kwa minajiri hiyo, Paul Makonda mkuu wa mkoa wa Dar hatuhumiwi kwakuwa na vyeti feki.

Tuhuma za Paul Makonda ni KUIBA vyeti halali vilivyotolewa na baraza la mitihani ambavyo ni mtu anayeitwa Paul Christian nakutumia kujipatia ajira kwa njia za udanganyifu... Hili ni kosa la jinai. Kisheria Makonda anastahili kufikishwa mahakamani kwa makosa makuu matatu. 1. Kuiba vyeti, 2. Kumdanganya mwajiri (ikulu) na 3.Kujipatia ajira na kulipwa pesa ya umma kinyume na utaratibu.

Kosa la kwanza, baraza la mitihani linatakiwa kumshitaki kwakuiba cheti kisicho chake, kosa la pili anatakiwa kushitakiwa na ikulu kwakumdanganya mwajiri wake (rais), hili ni kosa linaloangukia kwenye sheria ya usalam wa taifa. Makonda hapa amehatarisha usalama wa taifa anatakiwa kufikishwa mahakamani wakuhatarisha usalama wa taifa na maisha ya rais kwa ujumla. Kosa hili laweza kuingizwa kwenye uhaini ambalo adhabu yake ni kifo.

Kosa la tatu ni kujipatia ajira na kulipwa mamilioni ya wa tanzania kinyume na utaratibu, hili ni kosa linaloangukia chini ya sheria ya TAKUKURU,

Makonda ameajiriwa na serikali tangu 2015 kama mkuu wa wilaya akilipwa mshahara unaokadiliwa kuwa ni wa Shilingi 4,800,000 mara miezi 12 = 76,800,000 HASARA.

Mwaka 2016 aliteuliwa kuwa mkuu wa mkoa ambapo mshahara wake unakadiliwa kuwa ni kati ya 6,800,000 mara miezi 16= 108,800,000 HASARA.

108,800,000 + 76,800,000= 185,400,000 JUMLA.

Hiyo ni kodi ya umma imeliwa na mtu asiyestahili, achilia mbali eneo aliloumiza wananchi kwakutenda kinyume na taratibu za nchi. Pesa hiyo ingetumika kujenga madara ya shule zaidi ya kumi na kunusuru uhaba wa madarasa katika shule nyingi jiji Dar es Salaam.

Tunaposema anahitaji kuwajibishwa hatumaanishi kule kutumbuliwa tu,bali kufikishwa mbele ya mahakama ili haki iweze kutendeka zaidi. Katika nchi ambako vyombo vya ulinzi na usalama vipo huru, Makonda kwa sasa alistahili kuwa ameshakamatwa na kufikishwa mahakamani, Kamanda Siro kamishina wa Polisi Dar kiutendaji ndie mwenye dhamana ya kumkamata Makonda bila kusubiri amri toka mahali popote pale kwakuzingatia makosa na sababu nilizoeleza hapo juu, lakini katika hali ya kustaajabisha Makonda ameweza kuondoka nchini kanakwamba hii ni Banana Republic. Waziri wa Utawala Bora Mama Angela Kairuki ndie mwenye dhamana na TAKUKURU, Kwa nadharia hii ya Makonda ilitakiwa TAKUKURU wamkamate bila kusubiri amri toka mahali popote pale ilimradi watimize malengo yao ya kupambana na rushwa za aina hii ya Makonda, lakini leo Makonda anabadilisha vikombe vya kahawa pale Bondeni kanakwamba ametoka Banana Republic.

Bado vyombo hivi havijachelewa na havizuiwi na sheria yoyote, kwakutumia sheria ya polisi wa kimataifa (Interpol) wanaweza kuchukua hatua dhidi ya Makonda hukohuko alipo... Tumeamua kujenga taifa lenye nidhamu na uwajibikaji, nchi haiongozwi kwa mazoe, na hili Rais wetu ameliweka wazi,ni wakati sasa wa watu wa aina ya Makonda washughulikiwe bila kuangalia usoni au historia yao.

Wapo wanaolichukulia kosa la Makonda kama kosa dogo linalostahili kupotezewa ama achwe tu aendelee na kazi, lakini niwaabieni kosa la makonda ni kubwa na nihatari kuliko madawa ya kulevya, ni hatari kubwa kwa mjibu wa sheria ya usalama wa taifa, kuidanganya ikulu ni sawa na jaribio la mauaji kwa rais au uhaini... Huyu ameidanganya ikulu kwa miaka mitatu mfululizo, ikulu yenye macho 365/4, ameaminiwa na rais kwa kiwango kikubwa. Huyu anaingia kwenye sheria ya kuhatarisha usalama wa taifa.

Kama rais akiamua kutumia mamlaka yake kikatiba na kisheria,anaweza kumfukuza nchini yani kumuondolea uraia wake hapa Tanzania kwa kosa hilo.... Ni kosa linalodhoofisha umakini wa ikulu na idara ya usalama wa Taifa, Makonda amedhalilisha mamlaka ya Rais.

Video hii hapa chini ni sawa kabisa na mahojiano ya jana pale Startv ambapo watozi walikuwa wakimuuliza swali hili yeyw anajibu mambo mengine kabisa kama yupo ndotoni...

Jambo Muhimu naomba niwaase vijana waliomadarakani iwe kwakuteuliwa au kwa kuchaguliwa, watu hawa mfano wa Daudi Albert Bashite na Mrisho Gambo, bado ni vijana wadogo, bado wanamaisha marefu nje ya madaraka, Mteule wao hana cha kupoteza yeye muhula wake ukiisha anarudi Chato kulima na kufuga, wao bado wataendelea kuyatafuta maisha Dar na Kwingine... Vijana muifikirie kesho mkiitazama jama watu msio na madaraka wala kinga. Mzee Saidick Meck Said kaacha alama ya Utumishi karudi kulima, sio mjinga yule na nyinyi mkawa wajanja, Dundia ni nyuzi 360°.

Kabla ya mtu, kulikuwa na mtu, na baada ya mtu, kuna mtu!

Na Yericko Nyerere
 
Mimi nafikiri waziri Wa mambo ya ndani ndiye mwenye mamlaka ya kiunda uchunguzi ikiwa wananchi wake au office yoyote imevamiwa!!!maana yeye kwenye kamati hiyo ataweka investigative persons ambao hawa wataenda kutoa ushaihidi mahakamani!!by the way eti uvamizi??yani tukio limetokea ijumaa then video inarushwa jumapili?this is crazy !!it happens only in Tanzania MTU anaripoti uvamizi after two days ya events!!acheni biashara yenu mbovu!!
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Back
Top Bottom