Vijana wa Arusha wasaidiwe kama kundi maalum

kidaganda

JF-Expert Member
Aug 26, 2013
2,991
2,564
Kuna haja kama jamii kuwaangalia upya vijana wa Arusha hasa wa kipindi hiki. Kuna vitu wanafanya japo mwengine watasema ni usasa ila naona kama kuna shida na wanahitaji ushauri kuwarudisha kwenye hali ya kawaida kwa mambo wanayoyafanya mfano:

1. Uvaaji
2. Ongea yao(lugha)
3. Uendeshaji wa pikipiki
4. Ulevi

Hayo ni mchache tu nafikiri wengi tumekutana na video clips nyingi tu vijana wa mkoa huu kama mtu unafikiria vizuri na unawapenda kuna haja ya kuwatreat kama special group.

Kuna haja kama jamii kuwaangalia upya vijana wa Arusha hasa wa kipindi hiki..Kuna vitu wanafanya japo mwengine watasema ni usasa ila naona kama kuna shida na wanahitaji ushauri kuwarudisha kwenye hali ya kawaida kwa mambo wanayoyafanya mfano

1.Uvaaji
2.Ongea yao(lugha)
3.Uendeshaji wa pikipiki
4.Ulevi

Hayo ni mchache tu nafikiri wengi tumekutana na video clips nyingi tu vijana wa mkoa huu kama mtu unafikiria vizuri na unawapenda kuna haja ya kuwatreat kama special group..

Wapumbavu hawa
 
Nimependa swaga la hao kwa video.. vile hawana time wanaishi kivyao.. hawaonekani wa twigo so ni okei tu kwangu

Haya umeandika anza kuelewesha wengine hatuvioni unavyodai..
Kwanza je, wakoje na wasaidiweje uonavyo wewe?
Hii hapa nyingine ukienda youtube huko utakutana na mengi..
 
Arusha, Chuga, AR, Rchuga, Chugastan (kwa wadudu) just to mention a few, ni mkoa tofauti sana na mikoa mingine hapa tz, kwa hyo lazima ukifika utashangaa tu, ila wao hawatakushangaa maana watajua tu we ni soro umetoka mamikoa mengine huko, kwa kifupi chuga ni nchi nyingine ndani ya tanzania, tunatakiwa tupewe uhuru wetu tuwaachie tanzania yenu, we dont belong to tanzania, tupo na nyie kimakosa sana.
 
Kuna haja kama jamii kuwaangalia upya vijana wa Arusha hasa wa kipindi hiki..Kuna vitu wanafanya japo mwengine watasema ni usasa ila naona kama kuna shida na wanahitaji ushauri kuwarudisha kwenye hali ya kawaida kwa mambo wanayoyafanya mfano

1.Uvaaji
2.Ongea yao(lugha)
3.Uendeshaji wa pikipiki
4.Ulevi

Hayo ni mchache tu nafikiri wengi tumekutana na video clips nyingi tu vijana wa mkoa huu kama mtu unafikiria vizuri na unawapenda kuna haja ya kuwatreat kama special group..

Unateseka ukiwa wapi?
 
Hii ni kauli ya kipumbavu na kijuha kabisa.
 
Kuna haja kama jamii kuwaangalia upya vijana wa Arusha hasa wa kipindi hiki..Kuna vitu wanafanya japo mwengine watasema ni usasa ila naona kama kuna shida na wanahitaji ushauri kuwarudisha kwenye hali ya kawaida kwa mambo wanayoyafanya mfano

1.Uvaaji
2.Ongea yao(lugha)
3.Uendeshaji wa pikipiki
4.Ulevi

Hayo ni mchache tu nafikiri wengi tumekutana na video clips nyingi tu vijana wa mkoa huu kama mtu unafikiria vizuri na unawapenda kuna haja ya kuwatreat kama special group..

Arif achanaga na sisi
 
Back
Top Bottom