Uvaaji wa nguo za mtumba ni umasikini uliopitiliza

Kajeba

JF-Expert Member
Oct 15, 2020
826
1,965
Habari JF

Hii pia haina ubishi, uvaaji wa nguo za mtumba hapa Tanzania ni indicator ya masikini wa kiwango cha juu

Haiwezekani mtu mwenye pesa kushindwa kununua nguo mpya ambayo haijavaliwa na mtu yoyoyte

Inakuaje mtu unapesa ukanunue nguo aliyovaa mtu kaacha mijasho yake humo, kama ndio underwear mabaki yake humo ni aibu mimi kuyasema hapa

Uvaaji nguo za mtumba ni umasikini uliopitiliza
 
Duka gani la mtumba linanguo ya laki 1?
Njoo karume mkuu ujione bei ya mtumba grade 1
Nguo za mtumba nyingi ukienda dukani ni zaidi ya laki.

Achana na haya madude yanayopauka kabla hayajafuliwa
 
Habari JF

Hii pia haina ubishi, uvaaji wa nguo za mtumba hapa Tanzania ni indicator ya masikini wa kiwango cha juu

Haiwezekani mtu mwenye pesa kushindwa kununua nguo mpya ambayo haijavaliwa na mtu yoyoyte

Inakuaje mtu unapesa ukanunue nguo aliyovaa mtu kaacha mijasho yake humo, kama ndio underwear mabaki yake humo ni aibu mimi kuyasema hapa

Uvaaji nguo za mtumba ni umasikini uliopitiliza
Aliyekwambia nguo Za mitumba ni bei rahis ni Nani?
Umeangalia mitumba ipi?
 
Hizo nguo za dukani zenyewe ndizo zinaleta umaskini mkubwa sana.

Nguo gani kama tissue paper?Unavaa shati mara moja tu ukifua kinakuwa kituko hata mwenye mtumba anakucheka kuwa mwenzetu mbona unanunua mitumba ya mia mbili mia mbili!Halafu unakuta shati umenunua elfu 40.

Viatu vya dukani unanunua laki na nusu pair unaivaa miezi miwili au mitatu kinaanza kubanduka soli,huu ni upuuzi kama upuuzi mwingine wowote.
Kama hela zimekuzidi bora uwagawie maskini walemavu na wagonjwa utapata thawabu kuliko kununua kiatu cha thamani unakivaa siku 3 tu na mapesa yako yote yanaenda kwa matajiri wachina matapeli.
Utalaaniwa wewe vaa mitumba
Habari JF

Hii pia haina ubishi, uvaaji wa nguo za mtumba hapa Tanzania ni indicator ya masikini wa kiwango cha juu

Haiwezekani mtu mwenye pesa kushindwa kununua nguo mpya ambayo haijavaliwa na mtu yoyoyte

Inakuaje mtu unapesa ukanunue nguo aliyovaa mtu kaacha mijasho yake humo, kama ndio underwear mabaki yake humo ni aibu mimi kuyasema hapa

Uvaaji nguo za mtumba ni umasikini uliopitiliza
 
Habari JF

Hii pia haina ubishi, uvaaji wa nguo za mtumba hapa Tanzania ni indicator ya masikini wa kiwango cha juu

Haiwezekani mtu mwenye pesa kushindwa kununua nguo mpya ambayo haijavaliwa na mtu yoyoyte

Inakuaje mtu unapesa ukanunue nguo aliyovaa mtu kaacha mijasho yake humo, kama ndio underwear mabaki yake humo ni aibu mimi kuyasema hapa

Uvaaji nguo za mtumba ni umasikini uliopitiliza
Huo ni mtazamo hasi.
Mimi nimenunua mtumba Uingereza nikiwa mwanafunzi, na wengi tu walikuwa wananunua, hata wazungu.
 
Ni kweli mtoa mada uko sahihi.. mimi niliacha kuvaa mitumba muda sana. Sio kwamba nina hela sana hapana, ila sitaki kujiendekeza kwenye hilo.

Mtu anajitetea sijui mtumba grade 1, mwisho wa siku mtumba ni mtumba na kujifariji et nguo za dukani ni fake au mbovu ni ujinga maana hata huo mtumba at first place ulikuwa dukani.
Kinachotutesa wengi ni umaskini wa kushindwa kuafford vitu vyenye quality dukani then tunaishia kuabudu mitumba!
 
Habari JF

Hii pia haina ubishi, uvaaji wa nguo za mtumba hapa Tanzania ni indicator ya masikini wa kiwango cha juu

Haiwezekani mtu mwenye pesa kushindwa kununua nguo mpya ambayo haijavaliwa na mtu yoyoyte

Inakuaje mtu unapesa ukanunue nguo aliyovaa mtu kaacha mijasho yake humo, kama ndio underwear mabaki yake humo ni aibu mimi kuyasema hapa

Uvaaji nguo za mtumba ni umasikini uliopitiliza
Habari JF

Hii pia haina ubishi, uvaaji wa nguo za mtumba hapa Tanzania ni indicator ya masikini wa kiwango cha juu

Haiwezekani mtu mwenye pesa kushindwa kununua nguo mpya ambayo haijavaliwa na mtu yoyoyte

Inakuaje mtu unapesa ukanunue nguo aliyovaa mtu kaacha mijasho yake humo, kama ndio underwear mabaki yake humo ni aibu mimi kuyasema hapa

Uvaaji nguo za mtumba ni umasikini uliopitiliza
Kuna nguo nyingine walikufa nazo mwilini, nyinge zina sperms zao za kutosha, zingine zinaramani ya jasho la K zao, halafu dada zetu wanasagura sagura kwa fujo.
 
Back
Top Bottom