Kitandu Nkoru
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 901
- 985
Unajua wanaenda fanyia nn unashangaa ndyo unakua chizi$40,000 kwa gumba moja la mguuni tu,nikiwapa magumba yote mawili nakula $80,000,ulizia hawachukui na gumba za mikononi mkuu?na ofisi zao zipo hapohapo mjini...
inafikirisha eti.Unajua wanaenda fanyia nn unashangaa ndiyo unakua chizi
Hahhahahahamambo mengine kutiana majaribuni tu[emoji16][emoji16][emoji16].
hivi toka unazaliwa umeshawahi kuona kazi ya kidole gumba cha mguuni kweli!!!mkononi ni kutype ktk smartphone[emoji23]
Pesa nyingi sana hiyo, n Kama Mil. 131 per 1 toe$40,000 kwa gumba moja la mguuni tu,nikiwapa magumba yote mawili nakula $80,000,ulizia hawachukui na gumba za mikononi mkuu?na ofisi zao zipo hapohapo mjini?
Wakuu nauli kutoka Mbezi hadi Harare bei gani,nataka kukopa nauli ya kwenda tu wakati wa kurudi nitarudi na RR yangu.
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Hamna Hamna utakuwa uko karibu na salary ya Zamani ya Sedio Mane$40,000 kwa gumba moja la mguuni tu,nikiwapa magumba yote mawili nakula $80,000,ulizia hawachukui na gumba za mikononi mkuu?na ofisi zao zipo hapohapo mjini?
Wakuu nauli kutoka Mbezi hadi Harare bei gani,nataka kukopa nauli ya kwenda tu wakati wa kurudi nitarudi na RR yangu.
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
hahahah si wengine tunachezea soka, hivyo muhimu sana kwenye kupiga madochimambo mengine kutiana majaribuni tu[emoji16][emoji16][emoji16].
hivi toka unazaliwa umeshawahi kuona kazi ya kidole gumba cha mguuni kweli!!!mkononi ni kutype ktk smartphone[emoji23]
Watajua wao wanataka wafanyie nini kama wanaenda kuvichemsha wale watajua wenyewe mimi wanipe tu mpunga wanguUnajua wanaenda fanyia nn unashangaa ndyo unakua chizi
mambo mengine kutiana majaribuni tu[emoji16][emoji16][emoji16].
hivi toka unazaliwa umeshawahi kuona kazi ya kidole gumba cha mguuni kweli!!!mkononi ni kutype ktk smartphone[emoji23]
Zipo hadi video we unasema fake news? zinatembea whatsup toka juziFake news
Changamkia fursa mkuuHii si ya kukosa