Ukorofi (undava), sikuwa na ubinadamu, kutokuheshimu wazazi na yeyote yule watu pekee niliokuwa nawaona wa maana kwangu na kuwanyenyekea ni wanaoniuzia bange.
Where did we meet? Iringa, Mtwara or Dar es Salaam?Deceiver i know you
Hii imeka vipi?pis moja ilikuwa 100 mimi nauza 1000.
Nilipata mzigo wa kwanza kwa elfu 50 na nikapata faida mara mbili
Miche 20 anza nayo, mbegu fata Tabora.
But not safe for your life kabisa.
Pis moja ya bange unauziwa shilingi mia inakuwa ni kadogo nilichokuwa nakifanya naenda kuzigunga mwenyewe mapis marefu ili nivutie wateja wangu maana wauzaji tulikuwa wengi na sikuwa na shida na mahela mengi kihivyo.Hii imeka vipi?
Katika umri wa miaka 17 tu nilishika million 4 cash za kwangu mwenyewe sijahongwa na mwanamke, sijapewa urithi, sijakaba, wala sijatumua nguvu. Akili tu.Hujatueleza mafanikio yako mkuu.Pamoja na harakati zako je nini cha maana ulikipata?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikua unaunganisha ngapi ili kupata huo urefu wa mfuko wa suruali na kupata faida?Pis moja ya bange unauziwa shilingi mia inakuwa ni kadogo nilichokuwa nakifanya naenda kuzigunga mwenyewe mapis marefu ili nivutie wateja wangu maana wauzaji tulikuwa wengi na sikuwa na shida na mahela mengi kihivyo.
Sasa unaipaki kwa urefu wa mfuko wa suruali ya shule ili ukiiwekea isionekane, sasa hii ikawa inanipunguzia mapato.
Ilikuwa ni hofu tu ungeendelea ingekuwa tiba nzuri ya consciousness.Mkuu kuna siku za mwanzo wakati kila nikiwaona kina wiz khalifa na snoop Dogg wanavyosifia mmea na Mimi nikashawishika kununua.
Nikanunua, nikatoa mbegu na vijiti yale majani nikayasaga kiganjani kama navyoonaga wengine wanavyofanya, kwavile nlikuwa siwezi kuweka kwenye rizla nlichofanya nilinunua sigara nikatoa tumbaku yote alafu ndio nikaingiza bangi humo.
Nikaenda shambani kuivuta, ghafla nikasikia "PAAAA!!!!!" Kama kitu kimepasuka kwenye bangi, ule moshi wake uliumiza koo langu, basi nikaahirisha zoezi nikarudi geto.
Basi geto nmefika nikajilaza kitandani, bwana bwana wee, damu nahisi ikaanza kupita kwa spidi sana kwenye mishipa ya machoni, nilihisi kabisa Leo macho yangu yanapasuka na ntakua kipofu.
Nikanawa nawa na maji angalau kwa mbali ile hali ikapungua kwa mbali ila hali hii ilidumu kwa mwaka unakuta kila wiki lazima kuna siku nahisi damu inapita kwa kasi machoni hasa nikiwa nimeingia kitandani basi nakesha hadi saa nane ndio macho yanatulia.
Sina hamu tena na bange, Je hii ilisababishwa na nini mtaalam
Mkuu sijui umeelewa vizuri, damu ilikuwa inapita kwa kasi sana machoni, ni maumivu makali sana, sasa ningeendeleaje aisee, kwanini ilipasuka paaah! Anyway kwa sigara haijawahi kunipa shida kabisa.Ilikuwa ni hofu tu ungeendelea ingekuwa tiba nzuri ya consciousness.
Hata sigara ukiianza kwa mara ya kwanza kabisa utaona mwili kama sip wako unavuta kila sehemu na kadri unavyopiga pafu ndio joints zinaachia.
Bange kwa mtu anayeanza anatakiwa avute sehemu anayoweza kulala hapohapo kwa sababu ule moshi wake una nguvu unavyopita njia ya hewa.
Ungevuta alafu ungelala ukaamka tena ukavuta alafu unakuwa na pipi kifua zile zinafanya koo liwe jepesi unavyovuta hewa inakua ya bariiidi.
Ule ubaridi ungepelekea kuwa na kichwa chepesi na hasira za muda mfupi sasa itakubidi ulale japo usingizi hautakuwa nao.
Umelewa nilichokuliza?,sijakuliza Kama ulikua unasokotewa au laa ,nimekuliza ulikua unaunganieha pisi ngapi izo za shilling mia Hadi kupata huo urefu wa suruali ?sijuitunaelewana!!Nasokota mwenyewe.
Hayo mahesabu yakuunganisha pisi hayakuwepo.Umelewa nilichokuliza?,sijakuliza Kama ulikua unasokotewa au laa ,nimekuliza ulikua unaunganieha pisi ngapi izo za shilling mia Hadi kupata huo urefu wa suruali ?sijuitunaelewana!!
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Waambie, tena wa-tag kabisa.Hii ni kitu gani?
Mtu anajisifia kuuza bangi....
Si ndio hawa hawa wanawauzia watoto wetu madawa ya kulevya.....
Mods mlengesheni huyu kwa vyombo husika akakae mahali stahili. Ushahidi wa kutosha tunao