Uuzaji Bange ulivyonibadilisha tabia

Wewe kama sio "bulakifaya" (in Mahushi's voice) badi utakuwa ulihusiwa na Tangaro uache mibangi kule Serengeti East au Mochwari! hahahhha

Hujasema yote, sema mpaka Kinampanda Madukani ulipokuwa unauza na kununua kwa kina Gift, Mayunga na Benasta! maana ulikuwa unasambaza mpaka Tumaini sekondari kule Chepo


Ukibisha naweka na picha! hahahhaaaa

Zasiku nyingi mwana? hahaha
 
Nitunzie kau-anonymous kangu mkuu.

Zile moments za Kinampanda acha kabisa nazikumbuka mno, ya Tumaini sitaki kuyasema watanijua. 😂
 
Nitunzie kau-anonymous kangu mkuu.

Zile moments za Kinampanda acha kabisa nazikumbuka mno, ya Tumaini sitaki kuyasema watanijua. 😂
𝙷𝚊 𝚑𝚊 𝚑𝚊 𝚑𝚊 𝚒𝚝𝚊𝚋𝚒𝚍𝚒 𝚗𝚒𝚖𝚜𝚊𝚕𝚒𝚖𝚒𝚎 𝙱𝚘𝚗𝚣𝚘!
 
Kwa nini kuendelea na biashara hii DeWitts

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kukamatwa na Sungusungu Nzega walinitia fimbo nyingi sana walihakikisha sitembei vizuri wiki nzima ile haikutosha baada ya kurudishwa nyumbani nikaanza tiba shule nilisimama.

Nilianza msoto wa miezi kama sita sitoki kwenda kokote mwenyewe, na silali mwenyewe. Hii haikutosha washikaji waliokuwa wanakuja kuniona Rais wao wakapigwa stop.

Baadaye ikaja suluba naamshwa saa 11 nakimbizwa hadi jeshini na mjomba ili tu mwili utoe sumu, jioni napelekwa bustani ya jela na mzee kulima na ni lazima hakuna ombi.

Siku moja nikamdindia mjomba maeneo ya ilipo Nyamagana sec sasa hivi kulikuwa na kipori flani hivi nikajaribu kumtingisha alinifumua kiasi kwamba nikawa nikimuona natetemeka. Toka hapo nikanyoosha maelezo na nilikuja kuomba kwenda shule mwenyewe.
 
Golden rule of drug traffickers is don't cheat if you cheat you're dead!

Kwa Tanzania you need to be able to trust people and this cost lots of them.
 
Umekuwa na tabia gani ambayo haukuwa nayo kabla?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huu mchezo nitakuja niufanye siku, maana huku kitaa kuna watumiaji wengi sana.

Vipi upatikanaji wa mbegu?

Na nilime kiasi gani atleast nione faida


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huu mchezo nitakuja niufanye siku, maana huku kitaa kuna watumiaji wengi sana.

Vipi upatikanaji wa mbegu?

Na nilime kiasi gani atleast nione faida


Sent from my iPhone using JamiiForums
Miche 20 anza nayo, mbegu fata Tabora.
But not safe for your life kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…