Idd hashim
Member
- Jan 4, 2013
- 79
- 17
Shekh mmoja aliletewa pensi na rafikiye wa oman kwa ajili ya kuvalia na kanzu! Siku moja alisahau kuivaa akavaa kanzu tupu ,akiwa anapata udhu alikunja kanzu mpaka kiunoni wenzake wakamuuliza e bwana vp mbona hivyo? Akawajibu mambo ya oman hayo! Salale kumbe hajavaa pensi!