Kande.tambi.ndizi za kupika ambazo hazjawekwa nyama.na viazi vya kupikwa ambavyo havina nyama..yan huwa nakula ila sishibi kabisa mpaka vipate ushirkiano...,,,kama ni tambi basi uniwekee na viazi vilivyoungwa vizur vikatiwa na nyama....kama unataka ndizi nile nishibe basi iwe ndizi nyama au ndizi samak hapo nitashiba sio ndizi tu plain...kande ndio kabisa sishibi labda zipikiwe kwa nazi