Uundaji wa speakers, subwoofer boxes

wicalumtata

JF-Expert Member
Oct 29, 2013
329
109
Nilianza uundaji Wa box za Spika za sub woofer kwa ajil ya magari, nyumbani na maukumbini, natumia MDF Kama materials ya kuundia box, rangi na Leather kwa decoration.

WP_20160324_004.jpg
 
Dah subwoofer yangu imeharibika mkuu, napata shida kweli yani.
Sijui utanisaidiaje
 
Umejaliwa kumbe muda si mrefu tutatengeneza bidhaa za aina hii na kuzipa nembo ya made in tz
 
Ilikuwa 2015
 

Attachments

  • InstagramCapture_b9d21665-f0b7-4d27-9db7-3c07dfd11105 1.jpg
    InstagramCapture_b9d21665-f0b7-4d27-9db7-3c07dfd11105 1.jpg
    53.6 KB · Views: 262
Sub woofer za nyumbani, zipo ktk viwango to tofaut tofaut, nyingi mnazoziona zinakuwa na spika ndogo 5, na Kubwa 1, ILA naweza kuunda ikiwa na spika ndogo 2 na Kubwa 1, Hilo linatokana na hitaji lako na mfuko Wako, kila design Ina gharama yake, ILA zipo ambazo design Ni moja Tu na zinafanana kwa idadi za Spika, kasoro ukubwa wa nguvu na spika ya bassi , sabufa zote zina sehemu ya frash, memory card port na fm radio, PIA zipo ktk analogy volume control na digital control kupitia remote, sauti zake zipo vizuri Sana. Mdundo mzuri Sana kulingana na op amp nazotumia kuwa vizuri PIA, kwa salio iringa mjin na jiran, karibuni namba zangu Ni 0755680562
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom