Qatar ni nchi adui wa Israel-Benjamin Netanyahu!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,134
Reaction score
7,684
Waziri Mkuu wa Israeli Netanyahu ameitaja Qatar hadharani kama nchi "yenye uadui".

Maoni yangu: Kauli hii inaashiria mabadiliko makubwa rasmi katika uundaji wa diplomasia. Qatar imekuwa mpatanishi muhimu katika mazungumzo ya kikanda kwa muda mrefu, kwa hivyo kuyaita kama uadui kunaashiria mabadiliko yanayowezekana katika njia za mawasiliano ya moja kwa moja na juhudi za upatanishi zinazoendelea. Ninafuatilia maendeleo haya ya kidiplomasia kwa karibu kwa ajili yenu nyote

Mwanzoni wakati operations za Palestina na Syria niliona Israel wana haki ya kujilinda ila kwa sasa!! Hapana, this is too much!

Israel inafanya mashariki ya kati kusiwe na amani, katoka kwa Iran, juzi Uturuki, leo Qatar. Israel sasa ina shida...!!
Waarabu mmarekani aliweza kuwafunika kuhusu israel,ila inapoelekea watashtukia mchezo na wataanza kuiunga mkono palestina,hii vita ilipofikia ilitosha kabisa kuwa imeisha ila paka kakaza fuvu,angejiuliza sapoti waliyokua wanaipata kutoka nchi za ulaya kwanini sasa hivi awazipati!
 
Mwanzoni wakati operations za Palestina na Syria niliona Israel wana haki ya kujilinda ila kwa sasa!! Hapana, this is too much!

Israel inafanya mashariki ya kati kusiwe na amani, katoka kwa Iran, juzi Uturuki, leo Qatar. Israel sasa ina shida...!!
Netanyau na serikali yake ya mrengo mkali wana pressure ya uchaguzi, lazima watafute adui mpya haraka haraka Ili kuhamisha mijadala muhimu ya wapiga kura.

Kabla ya October 7,2023 Utawala wa Netanyau uliruhusu Qatar kutoa mabilioni ya Dola kwa Hamas Ili kuwasaidia kuendesha utawala wao huko Gaza lengo likiwa ni kuleta mgawanyiko miongoni mwa Wapalestina hasa upande wa serikali ya Fattah huko West bank, wakiamini mgawanyiko kwa Wapalestina utaua kabisa ndoto za za kuundwa kwa Taifa la Palestine.

zitto junior
 
Mwanzoni wakati operations za Palestina na Syria niliona Israel wana haki ya kujilinda ila kwa sasa!! Hapana, this is too much!
Kwa sababu tu uelewa wako mdogo ndiyo unaona hivyo!!

Israel inafanya mashariki ya kati kusiwe na amani, katoka kwa Iran, juzi Uturuki, leo Qatar. Israel sasa ina shida...!!
Qatari wanaunga mkono Magaidi wa Hamas lazima tu hao ni adui!!
 
🚨Waziri Mkuu wa Israeli Netanyahu ameitaja Qatar hadharani kama nchi "yenye uadui".

Maoni yangu: Kauli hii inaashiria mabadiliko makubwa rasmi katika uundaji wa diplomasia. Qatar imekuwa mpatanishi muhimu katika mazungumzo ya kikanda kwa muda mrefu, kwa hivyo kuyaita kama uadui kunaashiria mabadiliko yanayowezekana katika njia za mawasiliano ya moja kwa moja na juhudi za upatanishi zinazoendelea. Ninafuatilia maendeleo haya ya kidiplomasia kwa karibu kwa ajili yenu nyote….
Huyu kila nchi ya middle east ni adui yake na nashangaa wanaomuunha mkono. Akimalizana na hao itafuata saudi arabia, itakuja egypt, maana turkey nao tayari na hata hao UAE na kila nchi
 
Hizo ni ndoto zako wewe tu lakini ukweli waarabu ni adui si kwa Wayahudi tu hata kwa waafrika!!

Angalia wana yote za ndugu zetu walioko huko uarabuni utashangaa sana likitokea Bumunda linaunga mkono waarabu!!
 
Kwani waisrael sio adui wa afrika? Ulishwahi kusona lengo na zionist? Ndiyo maana kuna wayahudu wengi wanapinga serikali ya Israel na last week walikuwa white house na trump. Unaweza ingia mtandaoni uone hao wayahudi wanaopinga na kwanini wanapinga
 
Hizo ni ndoto zako wewe tu lakini ukweli waarabu ni adui si kwa Wayahudi tu hata kwa waafrika!!

Angalia wana yote za ndugu zetu walioko huko uarabuni utashangaa sana likitokea Bumunda linaunga mkono waarabu!!
Huwa nafikiria sana we jamaa Huwa unatumia kiungo gani cha mwili wako kufikiria Kwasababu hujawahi kuelewa unachoelekezwa kuhusu middle east.
 
Kwani waisrael sio adui wa afrika?
Israel si adui wa afrika kama ulivyoaminishwa na Wafuga Midevu na Majini wenzako!!
Ulishwahi kusona lengo na zionist?
Ujinga uliomezeshwa na waarabu ndiyo unaokusumbua!!

Ndiyo maana kuna wayahudu wengi wanapinga serikali ya Israel na last week walikuwa white house na trump. Unaweza ingia mtandaoni uone hao wayahudi wanaopinga na kwanini wanapinga
Ndiyo maana nasema wewe ni Mjinga sana na ukinga wako ndiyo unakusumbua sana!!

Jiulize huko Iran wote wanaunga mkono utawala wa Ayatollah? Kuna watu wengi sana tu wanapinga utawala wa Ayatollah na wengi wao waliuwawa kikatili na watawala je hilo unalisemeaje?

Tumia akili zako vizuri Mungu amekupa bure uzitumie!!
 
Huwa nafikiria sana we jamaa Huwa unatumia kiungo gani cha mwili wako kufikiria Kwasababu hujawahi kuelewa unachoelekezwa kuhusu middle east.
Mimi si Bumunda la kuelekezwa kama wewe!! Mimi ninajitambua na nina akili timamu mimi siyo Mwarabu-koko kama wewe!!
 
Israel si adui wa afrika kama ulivyoaminishwa na Wafuga Midevu na Majini wenzako!!

Ujinga uliomezeshwa na waarabu ndiyo unaokusumbua!!

Ndiyo maana nasema wewe ni Mjinga sana na ukinga wako ndiyo unakusumbua sana!!

Jiulize huko Iran wote wanaunga mkono utawala wa Ayatollah? Kuna watu wengi sana tu wanapinga utawala wa Ayatollah na wengi wao waliuwawa kikatili na watawala je hilo unalisemeaje?

Tumia akili zako vizuri Mungu amekupa bure uzitumie!!
Yani unaongea kwa mihemko kwa sababu hufuatilii mambo. Israel na Zionist ni hatari kwa dunia nzima sio Afrika tu. Kwa hiyo hao jews waliokuwa white house juzi wao wamehaminishwa na nani? Kwanini wanapinga serikali yao?

View: https://m.youtube.com/shorts/fmOiA0ttH-8
Jipe nafasi ya kuwa huru, wasome hao watu tazama matamko yao kwenye vyombo vyao ndipo utaelewa. Ukiendeshwa na mihemko huwezi kuona.
Mimi sio Mwislamu na nilikuwa nawaunga mkono mpaka nilipoanza kuwachimba kuwasoma.
Hawa watu ni evil na ndio maana miaka hiyo huko kote ulaya walikuwa wanafukuzwa. Hao watu wameteseka sana huko ulaya kwa kufukuzwa kila walipokwenda kwa sababu ya mambo yao ya ajabu. And by the way, kuna tofauti kati ya Jews na Zionists. Serikali ya Israel inaendesha na Zionists. Jews ni dini, Zionist ni political movement
 
Yani unaongea kwa mihemko kwa sababu hufuatilii mambo. Israel na Zionist ni hatari kwa dunia nzima sio Afrika tu. Kwa hiyo hao jews waliokuwa white house juzi wao wamehaminishwa na nani? Kwanini wanapinga serikali yao?
Uzuri nimekuuliza hao wanapinga utawala wa Ayatollah huko Iran wewe huwaoni bali kwa kuwa umemezeshwa uongo na waarabu nawe ukaufakamia bila kujua!!

Jipe nafasi ya kuwa huru, wasome hao watu tazama matamko yao kwenye vyombo vyao ndipo utaelewa. Ukiendeshwa na mihemko huwezi kuona.
Mimi sio Mwislamu na nilikuwa nawaunga mkono mpaka nilipoanza kuwachimba kuwasoma.
Hawa watu ni evil na ndio maana miaka hiyo huko kote ulaya walikuwa wanafukuzwa. Hao watu wameteseka sana huko ulaya kwa kufukuzwa kila walipokwenda kwa sababu ya mambo yao ya ajabu. And by the way, kuna tofauti kati ya Jews na Zionists. Serikali ya Israel inaendesha na Zionists. Jews ni dini, Zionist ni political movement
Umejazwa CHUKI za kijinga za waarabu dhidi ya Wayahudi!!
 
🚨Waziri Mkuu wa Israeli Netanyahu ameitaja Qatar hadharani kama nchi "yenye uadui".

Maoni yangu: Kauli hii inaashiria mabadiliko makubwa rasmi katika uundaji wa diplomasia. Qatar imekuwa mpatanishi muhimu katika mazungumzo ya kikanda kwa muda mrefu, kwa hivyo kuyaita kama uadui kunaashiria mabadiliko yanayowezekana katika njia za mawasiliano ya moja kwa moja na juhudi za upatanishi zinazoendelea. Ninafuatilia maendeleo haya ya kidiplomasia kwa karibu kwa ajili yenu nyote….
Israel inatakiwa iwashikishe adab mapema sana hawa magaidi wa Qatar
 
Back
Top Bottom