Uume wangu hausimami vizuri, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
Tatizo la kisaikolojia, tuliza wenge, fanya na mtu unayemuamini, ambaye siyo bikra, iingize hata kama haijasimama vizuri, baada ya sknde chache itaanza kufanya kazi tena itagoma kupizi kwa lisaa na zaidi
 
mkuu nafikiri uoga wako tu. Unajua uume kusimama inategemeana na hali uliyonayo hasa hofu ya ugonjwa wa UKIMWI na pia jins mwanamke mwenyew alivyo. Kuna baadhi ya wanawake hawavutii kimapenz kbs hata akipita uchi mbele yako huwez kusimamisha kamwe. Pia huenda papuch ililkuwa hajisafishwa vizur huenda ilikuwa inatoa harufu
Hebu tafuta mwanamke mwingine mrembo halaf uje utupe mrejesho
 
shukran kwa mchango wako kaka
 
Anza kutafuta mchumba utume ujumbe kwa wazee wake wakikukubalia lipa mahari na ufunge NDOA naamini huto shindwa na jamaa atakuwa tayari kufanya kazi stahiki yake. Lile tendo linaitwa TENDO LA NDOA. sio MAPENZI
Hata Dini inakataza kuolewa na Asiye simamisha na ikitokea akaoa then ikakataa kusimama mke asipokuwa mvumilivu ndoa itavunjwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom