Uume unasimama legelege na nikikutana na mwanamke dakika 2 umelala wakati mwingne wakati wa maandalizi unasimama kisha unalala

Kua mpole tu maana usha chapiwa tayari ndani ya uo mda wote kwenye ndoa

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 

Mkuu ngoja nianzie hapo ktk mazoezi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya ndoa nimepiga punyeto mara tano ila picha cha ponigraf nimeangalia sana nina miaka10 niache kuangalia picha ngono


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, tatizo lako lipo hapo! Utashauriwa mengi sana na watu, Lakini mimi kama mtu ambaye nimepata kushuhudia jambo kama hili lako, Nasema hivi mzizi wa tatizo lako ni ponografia! Na bila shaka zungumza na nafsi yako utagundua upo addicted na ponografia! Utajuaje upo addicted? Ni pale ambapo huna control, unajukuta Tu umefungua pono hata bila kufikiria.

Utapata ushauri mwingi lkn tatizo lako amini nakwambia chanzo chake namba moja ni ponografia. Unaweza kunieleza ni mara ngapi kwa wiki unatizama?

Kabla sijakupa ushauri wowote ule, kwa wakati huu nashauri usitumie dawa yoyote ile ya kuongeza nguvu za kiume, la sivyo utauwa kabisa nguvu zako na tatizo lako likawa complex

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu nna miaka zaid ya kumi siangalii picha ngono hata kwakujiiba siangalii


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee pole sana,hebu anza mazoezi mepesi ya mwili,Fanya mazoezi ya mshipa wa kegeli,zingatia lishe bora,fanya mfululizo wiki mbili kisha nipe mrejesho ili nikupe hatua itakayofuata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Mkuu punguza pressure na believe in your self tumia asali, mdalasini na vitunguu swaumu bila kusahau boresha Mlo inachukua muda kuwa na uvumilivu tu pia jifunze namna bora ya kutumia hizo vitu
 
Mazoezi

Maji mengi

Matunda

Vitunguu swaumu

Asali, tangawizi, mdalasini

Forever Multimaca.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…