Ni woga tu ndio unamsumbua huyu dogo.Mimi nina manzi yangu,nimepiga sana show za kibabe hadi inaomba niisamehe,tulikwazana mwezi mmoja umepita,tumerudiana juzi nimeshindwa kupiga ngoma imegoma kusimama,sikua na hofu,nikamwambia ni uchovu wa kazi,kalala usiku mzima haamini.Ila anajishitukia yeye anahisi amekua hanivutii maaana muziki wangu anaujua,leo kaja tena ngoma imesimama ila nimepiga show ya kitoto sana,ila mchepuko wangu ungine umekuja nimepiga show ya kibabe.Nadhani kwa wewe ni woga,jiamini utatoboa