habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,752
Hhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ndo nini hii
Hhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Si unakaa pembeni kuepusha hizo stress..................
Hahahah wewe bwana.
Kwa hiyo atabakia kuita warembo mashemeji?
Tusio na hela kazi tunayo.
Ndo nini hii
mwanaume pesa uume mbwembwe tu.
Si unakaa pembeni kuepusha hizo stress..................
wewe bibi karidhika hawa wanalia lia wanataka mambo makubwa wanayashindwa.Mekumiss sana wewe
Usilte ngonjeara hapa km huna hela kaa pembeni ww khaaaaa!!
Watu km ninyi mkiombwa pesa muna lalama hamfai kwa hii jamii ya sasa
Tuwe wakweli mwanamke akiwa rafu unaweza kumpenda eti kisa ana papuchi? wewe unamfuata kwa sababu ya urembo wake! na ili a-maintain urembo huo ulioupenda ni lazima ajirembe kama ulivyo mkuta, na urembo ni gharama jamani! kama ulitaka papuchi tu basi tafuta mwnamke anaye taka utamu wako tu na wewe utamu wake tu!
Unaingia mahusiano na mrembo lazima msaidiane kumentain kitu mnacho kipenda wote (ur common interest) sasa unataka aghalimike yeye tu huku na wewe unapenda awe hivyo? usikwepe majukumu yako ndio yalikuleta hapa duniani take easy sawa ndugu?
Kwa nini usitafute wa mithili yako? umelazimishwa? tafuta anaye taka kula,kulala na kuvaa basi! haendani na fashion wala hataki luxury needs!
Tunayataka wenyewe si utafute wa aina yako,load..., search.... hadi kijijini kwenu! tatizo tunapenda tendo la ndoa kabla ya ndoa yenyewe kama watu wote tunge kuwa tunasubiri ndoa tusinge kuja kulia hapa tunavunja miko wenyewe tukivunjiwa tunalia! tunataka tendo la ndoa majukumu mengine ya ndoa hatutaki!!!!!!
Waambie wenzio hao
Mambo umate umate bhana lazima nikutanulie walet wewe unanitanulia miguu. ... Patamu hapo...babe
Na kila mwanaume ni Mteja/Mnunuzi na wote tuseme Amiiin
Nomba nikutoe out weekend hii.................tumepokea leo.
halafu wewe una kesi ya kujibu