Uume hausimami vizuri, naombeni msaada

Uume hausimami vizuri, naombeni msaada

Fanya mazoezi kula vizur , pata mda wa kupumzika , epuka stress hii itafanya kazi kwa mda wa mwaka mzima , pole sana master.
 
Jf tu au tuseme duniani kote?
Ngoja waje wahanga wa hicho kitu.

Wakati ule au huu tusema hata nikiwa na hamu siwezi ingiza kitu hata kidole kwenye mashine yangu,

Nikigusa kisimi tu huwa nakojoa hadi kurusha maji.

Oooh wewe mzee inakuwaje unakojoa, tena mniache mumeshasema sie wahanga, komaeni na hao vijana wenzenu ambao bado ni teketeke.

Anyways they took my mobile phone and replied not me.
 
ACHA PUNYETO INAMADHARA, MI YAMENIKUTA!

Habari ya asubuhi wakuu, naombeni msaada pia mtanisamehe kwa uandishi wangu.

Ipo hivi...... Mwaka 2014 nilibahatika kufanya mapenzi mara moja tu baada ya hapo nikawa mpiga nyeto hadi sasa!
Yaani toka 2014 hadi April 2023 mwaka huu nilikuwa napiga punyeto tu.

Sasa usiku wa kuamkia leo WEDNESDAY, 12 APRIL 2023, kwa mara pili tena nilibahatika kupata mbususu demu ni Bikira shida imeanzia pale nilipotaka kuingiza, kichakatio kimesimama legelege sana nikikandamiza hakiingii kinajiKunjaKunja tu.

Nimekuja kwenu wakuu mnisaidie ili niweze kuondokana na hili tatizo (kama kuna dawa za uhakika naomba mnielekeza), sijaja kufurahisha/kuchangamsha genge.
Nipo HAI, KILIMANJARO.
tafuta myegea/mkisha saga kunywa asubuh na jioni
 
Acha kupiga nyeto na ujitahidi kula vizuri Mazoezi na kacheki mzunguko wa damu uko sawa huna magonjwa ya presha. Mbali na hapo jitahidi kupunguza hiyo nyeto na kujipa muda mwingi wa kurelax na utaenjoy tendo
 
ACHA PUNYETO INAMADHARA, MI YAMENIKUTA!

Habari ya asubuhi wakuu, naombeni msaada pia mtanisamehe kwa uandishi wangu.

Ipo hivi...... Mwaka 2014 nilibahatika kufanya mapenzi mara moja tu baada ya hapo nikawa mpiga nyeto hadi sasa!
Yaani toka 2014 hadi April 2023 mwaka huu nilikuwa napiga punyeto tu.

Sasa usiku wa kuamkia leo WEDNESDAY, 12 APRIL 2023, kwa mara pili tena nilibahatika kupata mbususu demu ni Bikira shida imeanzia pale nilipotaka kuingiza, kichakatio kimesimama legelege sana nikikandamiza hakiingii kinajiKunjaKunja tu.

Nimekuja kwenu wakuu mnisaidie ili niweze kuondokana na hili tatizo (kama kuna dawa za uhakika naomba mnielekeza), sijaja kufurahisha/kuchangamsha genge.
Nipo HAI, KILIMANJARO.

ACHA PUNYETO INAMADHARA, MI YAMENIKUTA!

Habari ya asubuhi wakuu, naombeni msaada pia mtanisamehe kwa uandishi wangu.

Ipo hivi...... Mwaka 2014 nilibahatika kufanya mapenzi mara moja tu baada ya hapo nikawa mpiga nyeto hadi sasa!
Yaani toka 2014 hadi April 2023 mwaka huu nilikuwa napiga punyeto tu.

Sasa usiku wa kuamkia leo WEDNESDAY, 12 APRIL 2023, kwa mara pili tena nilibahatika kupata mbususu demu ni Bikira shida imeanzia pale nilipotaka kuingiza, kichakatio kimesimama legelege sana nikikandamiza hakiingii kinajiKunjaKunja tu.

Nimekuja kwenu wakuu mnisaidie ili niweze kuondokana na hili tatizo (kama kuna dawa za uhakika naomba mnielekeza), sijaja kufurahisha/kuchangamsha genge.
Nipo HAI, KILIMANJARO.
Subiri umri wake ufike atasimama nakutembea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom