Uuguzi ni fani inayodharaulika?

Uuguzi ni fani inayodharaulika?

Mbona kozi nzuri na ina fursa nyingi sana

Kimsingi fani zote za afya zina kapotential flani
 
Mwanaume Rijali Mwenye Ndevu Nyeusi, Misuli Ya John Cena, Na Vijimbi Vya Samatta Ukiwa Nurse Nakudharau Mno. Wanaume Manurse Mnivumilie Ni Mtazamo Wangu.
ni kweli mtazamo wako ila unatakiwa ujifikirie tena kabla ya kuandika
 
kazi ni kazi ilimradi iwe halali tu hayo mengine ni mbwembwe tu
 
Katika uchunguzi wangu nimegundua uuguzi ni moja ya fani za afya inayodharaulika na hii ilitokana na background history ya fani hii, fani hii mwanzoni ilikuwa watu kutoka darasa la saba na wakati mwingine wengine walitumia vyeti vya kidato cha nne vya ndugu zao.

Nimepata kuona baadhi ya jamaa waliomaliza uuguzi hasa kwa ngazi ya bachelor degree au diploma wanapomaliza hasa jinsia ya me huwa hawapendi kusema wamemaliza kusomea nini.

Na hii ni kwa sababu ya hali husika ya fani hii eneo la kazi any way tunapoelekea fani ya uuguzi yaweza kuwa nzuri kulingana na watu husika na wenye sifa stahili kusoma fani hii
kuna ka ukweli hasa kwa upande wa men c kumaliza tu chuo.hata wakiwa chuoni ukimuuliza unasomea nini utamsikia nasomea madawa(famasi) au utabibu(udaktari) hawezi sema nasomea uuguzi(nursing) japo wanawake wanaotoka labor wakihudumiwa na manesi wanaume wanafarijika sana na kuwasifia
 
Mie mwanaume hapa nasoma uuguzi na ukunga naipenda sana kozi hii Sasa ww mbn unasema kuwa tuna jibu tunasom pharmacy au medicine mie hapa sisomi hizo Sasa napiga nursing tu
 
Hakuna kozi tamu kama Nursing katika Afya japo sisomi Nursing..
 
Manesi huwa hawapo comfortable ila asikwambie mtu udaktari ni fani ya heshima sayari hii ikifuatia na uanajeshi.
Mungu awabariki hawa wataalamu kwa kulinda maisha ya watu.
mkuu..daktari,anasaidiwa..na..nesi.jiulize..katika..hospital..zetu..kuna..madaktari..wangapi,na..wanahudumia..vp..wagonjwa
relate..na..mchango,wa,,nesi..pia.
 
Mie mwanaume hapa nasoma uuguzi na ukunga naipenda sana kozi hii Sasa ww mbn unasema kuwa tuna jibu tunasom pharmacy au medicine mie hapa sisomi hizo Sasa napiga nursing tu
hongera..sana,mkuu
 
Kusoma nursing ni sawa na kusomea kindergarten unakuwa ni mtu wa kushika vitu vyenye kuleta kichefuchefu kila wakati
ikiwa,hivyo..kusingekuwa..na..maisha..tungeacha,watu..wafe.pia..mwalimu,wa..kindergaten..asingetoa..ujinga,kwako..though..ujinga,kwako..umebaki.
 
Manesi huwa hawapo comfortable ila asikwambie mtu udaktari ni fani ya heshima sayari hii ikifuatia na uanajeshi.
Mungu awabariki hawa wataalamu kwa kulinda maisha ya watu.
Fani ya heshima ni ile ya ushehe na upadri tu,We angalia anapokufa mtu na unapofika wakati wa maziko watu wa kiroho hupewa kipaumbele sana hata akifa nani
 
Ila ni Ujasiri mwanaume kujiita Nurse asee, Kuna mtu kasema Fani ya Heshima ni Udakatari na Jeshi amesahau Politicians ndio wanawaagiza na kuwapangia kazi hao Madokta na Wanajeshi
 
Nina kijana wangu wa kiume anataka kusomea udakitari, nimemshauri aangalie na nursing pia. Ukisoma na kufaulu vizuri ina market safi kabisa hapa nchini na nje. Kuna mahali niliwahi kusoma "Usidharau kazi yangu, kwani yako hainilishi". Pili ukipita level ya degree kuna muingiliano mkubwa sana kati ya nursing na udakitari kwenye fani za post-graduate-hivyo nursing inaweza kuwa njia nzuri ya kufikia huko. La msingi fanya ile kitu roho yako inapenda.
 
Fani ya heshima ni ile ya ushehe na upadri tu,We angalia anapokufa mtu na unapofika wakati wa maziko watu wa kiroho hupewa kipaumbele sana hata akifa nani
Bado huyo mtu anaepigania uhai wa mtu anapaswa kuheshimiwa sana
 
Bado huyo mtu anaepigania uhai wa mtu anapaswa kuheshimiwa sana
Na pia huyo anayemhudumia mgonjwa ambaye ni docta anapokuwa amefika mwisho wa matibabu yake mwisho wa siku anamtegemea mungu ,uwezo na akili ya mwanaadamu hapo inakuwa imefikia mwisho
 
Watu wamejijengea kuidharau ndo mana hata mimi niliikimbia na kwenda pharmacy ila ni nzuri sana mke wang mtarajiwa anapambana nayo sasa
 
Na pia huyo anayemhudumia mgonjwa ambaye ni docta anapokuwa amefika mwisho wa matibabu yake mwisho wa siku anamtegemea mungu ,uwezo na akili ya mwanaadamu hapo inakuwa imefikia mwisho
Ndio mkuu ila kiuhalisia vyote vyatoka kwa Mungu so Mungu ni wakushukuriwa zaidi.
 
Back
Top Bottom