Mwizukulu jilala
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 1,094
- 942
Katika uchunguzi wangu nimegundua uuguzi ni moja ya fani za afya inayodharaulika na hii ilitokana na background history ya fani hii, fani hii mwanzoni ilikuwa watu kutoka darasa la saba na wakati mwingine wengine walitumia vyeti vya kidato cha nne vya ndugu zao.
Nimepata kuona baadhi ya jamaa waliomaliza uuguzi hasa kwa ngazi ya bachelor degree au diploma wanapomaliza hasa jinsia ya me huwa hawapendi kusema wamemaliza kusomea nini.
Na hii ni kwa sababu ya hali husika ya fani hii eneo la kazi any way tunapoelekea fani ya uuguzi yaweza kuwa nzuri kulingana na watu husika na wenye sifa stahili kusoma fani hii