Uuambiji

Pyepyepye

JF-Expert Member
Jan 6, 2017
1,940
3,825
Ukipewa fursa ya kuumba binadamu na ukaambiwa ubadili mkao wa maeneo ya mwili, mfano macho uyawe sehemu nyingine ya mwili, hips hali kadharika. Utambadilije?
 
Ningeacha kila kitu sehemu yake hivi hivi tu

Lakini ningeondoa kitu inayoitwa nyege
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom