Utupaji masalia ya makaa ya mawe (coal ash) katika Barabara za mitaa kwenye makazi ya watu maeneo ya Kunduchi Salasala

Family Soap. Kipo eneo hilo la Salasala na chini ya himaya ya Mwenyekiti huyo wa Serikali ya Mtaa.
Huyo Mwenyekiti ni lazina alichaguliwa kwenye uleee uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika kabla ya uchaguzi mkuu.
Muacheni achape pesa za kiwanda...majungu yenu hayasaidii kitu kwani atasifia.
 
Yaani NEMC hawaliwezi hili ?

Sasa wewe utataka kumwambia waziri gani ? Wa Ulinzi ?
NEMC si ni serikali mkuu, inalishindwaje hili ?

MEMC imelalamikiwa sana kushindwa kutekeleza majukumu yake, kule Morogoro kuna viwanda vinatiririsha maji machafu na yenye sumu kwenye mto unaokwenda kuungana na Ruvu, NEMC wanalijua hilo for many years lakini ni toothless
 
Nitumie hizo namba ili wachukue hatua haraka.

Taka hizi zina masalia ya kemikali mbalimbali ambazo zikiachwa kusambaa katika eneo hilo ambalo maji hujaa na kutuwama KWA kipindi kirefu, ni hatari KWA afya na maisha ya wakazi wa eneo hilo lililopo Salasala nyuma ya KANISA LA NABII FLORA.

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa ndiye anaratibu uhalifu huu.
Aah kumbe nyuma ya kanisa la Nabii Flora! Mjulishe Nabii yote hayo yatakwisha kama Korona.
 
Back
Top Bottom