Samahani tui la Nazi nalipataje bila kuchuja na maji.....nimependa Maelezo yako
Hongera kwa kulisha chakula bora nywele zako.
Kwa vyakula vyote hivyo, hiyo nywele itakuwa na afya sana.Huwa sina formula ila nilishaacha kutumia shampoo, naosha nywele na sabuni ya kipande haswa jamaa.
Chakula nnachokilisha nywele zangu Kila ijumaa ni tui la nazi bila kulichanganya na maji. Siku nyingine ndizi mbivu na mtindi, siku nyingine parachichi na mtindi na olive oil, siku nyingine juice ya carrot na maji ya mchele, au maji ya mchele uliolowekwa kwa siku 5 au juisi ya kitunguu maji peke yake na siku nyingine nachanganya kitunguu maji na tangawizi nachuja juisi yake.
Vyote hivi sichanganyi na maji na nikipaka usiku nalala nimefunga nywele na kofia ya plastic asubuhi naziosha na kuzipaka hair butter na hair cream (Haya mafuta ya dukani) kisha naweka protective style mwenyewe ya wiki nzima.
Nshasahau kadhia za wasusi zaidi ya mwaka sasa na nywele zangu zinarefuka kila leo.
Pamoja na kurefuka wengi tuu wameshaniambia, Kasie una asili ya kisomali au kimanga wewe, hizi nywele zote ni zako mbona zina waves kama za kisomali wakati wewe ni mmatumbi wa kinyamwezi..... Basi Mie nacheka tuu hehehehee.
Kasie Manywele.
Kwa vyakula vyote hivyo, hiyo nywele itakuwa na afya sana.
Ndio maana mkinyeshewa mvua zinatoa harufu kama zizi la kondooHuwa sina formula ila nilishaacha kutumia shampoo, naosha nywele na sabuni ya kipande haswa jamaa.
Chakula nnachokilisha nywele zangu Kila ijumaa ni tui la nazi bila kulichanganya na maji. Siku nyingine ndizi mbivu na mtindi, siku nyingine parachichi na mtindi na olive oil, siku nyingine juice ya carrot na maji ya mchele, au maji ya mchele uliolowekwa kwa siku 5 au juisi ya kitunguu maji peke yake na siku nyingine nachanganya kitunguu maji na tangawizi nachuja juisi yake.
Vyote hivi sichanganyi na maji na nikipaka usiku nalala nimefunga nywele na kofia ya plastic asubuhi naziosha na kuzipaka hair butter na hair cream (Haya mafuta ya dukani) kisha naweka protective style mwenyewe ya wiki nzima.
Nshasahau kadhia za wasusi zaidi ya mwaka sasa na nywele zangu zinarefuka kila leo.
Pamoja na kurefuka wengi tuu wameshaniambia, Kasie una asili ya kisomali au kimanga wewe, hizi nywele zote ni zako mbona zina waves kama za kisomali wakati wewe ni mmatumbi wa kinyamwezi..... Basi Mie nacheka tuu hehehehee.
Kasie Manywele.
kassie nywele yako ni ya aje? Mimi Yangu ni nyepesi alafu ni chache sana kichwani ni nyeknd pia.... Naweza kufanya kama ww?Nnatumia nazi asilia, naikuna kwenye mbuzi kupata machicha ya nazi, kisha nachukua kitambaa laini au butter cloth au material kama stiff (kuna mifuko imetoka saa hizi iko kama kitamaa flani transparent) hiyo ndo natumia kuichuja. Naweka yale machicha ya nazi niliyoikuna kwenye hicho kitambaa kisha naikamua kwenye kibakuli, inatoka juisi ya nazi kama ilivyo bila kutia maji.
Laah yale machicha unaweza kuyachuja na mkono ila uwe makini machicha yasipite kwenye tui ili ukipaka kichwani machicha yasinate kwenye nywele.
kisha tui unaliweka kwenye kichupa cha kuspray na unaji spray kwenye nywele kisha unavaa kofia ya plastic na kufunga kilemba na kulala usiku mzima au kama umefanya hili zoezi asubuhi unaweza ukawa na shughuli zako kutwa nzima kisha mchana ukaziosha.
Mie napenda kufanya usiku sababu nasave muda wa kufanya mambo yangu mchana. Na usiku kama nikitokea nimepata mtoko, nafunga boonge la lemba hakuna atayejua kuwa ndani nimepaka mavitu kwenye nywele.
That's all.
Kasie umetishaNnatumia nazi asilia, naikuna kwenye mbuzi kupata machicha ya nazi, kisha nachukua kitambaa laini au butter cloth au material kama stiff (kuna mifuko imetoka saa hizi iko kama kitamaa flani transparent) hiyo ndo natumia kuichuja. Naweka yale machicha ya nazi niliyoikuna kwenye hicho kitambaa kisha naikamua kwenye kibakuli, inatoka juisi ya nazi kama ilivyo bila kutia maji.
Laah yale machicha unaweza kuyachuja na mkono ila uwe makini machicha yasipite kwenye tui ili ukipaka kichwani machicha yasinate kwenye nywele.
kisha tui unaliweka kwenye kichupa cha kuspray na unaji spray kwenye nywele kisha unavaa kofia ya plastic na kufunga kilemba na kulala usiku mzima au kama umefanya hili zoezi asubuhi unaweza ukawa na shughuli zako kutwa nzima kisha mchana ukaziosha.
Mie napenda kufanya usiku sababu nasave muda wa kufanya mambo yangu mchana. Na usiku kama nikitokea nimepata mtoko, nafunga boonge la lemba hakuna atayejua kuwa ndani nimepaka mavitu kwenye nywele.
That's all.
Ndio maana mkinyeshewa mvua zinatoa harufu kama zizi la kondoo
Mnaweka makitu mengi hivyo
Yan ktk vitu ninavyo penda katika mwili wangu ni nywele zangu, yaan nawekaga mavitu mengi,Namshukuru Mungu ziko vizuri tuu, hazijanikatisha tamaa juhudi niliyoweka ya kuzitunza.
...Utakuwa mganga wewe, sio bure.Huwa sina formula ila nilishaacha kutumia shampoo, naosha nywele na sabuni ya kipande haswa jamaa.
Chakula nnachokilisha nywele zangu Kila ijumaa ni tui la nazi bila kulichanganya na maji. Siku nyingine ndizi mbivu na mtindi, siku nyingine parachichi na mtindi na olive oil, siku nyingine juice ya carrot na maji ya mchele, au maji ya mchele uliolowekwa kwa siku 5 au juisi ya kitunguu maji peke yake na siku nyingine nachanganya kitunguu maji na tangawizi nachuja juisi yake.
Vyote hivi sichanganyi na maji na nikipaka usiku nalala nimefunga nywele na kofia ya plastic asubuhi naziosha na kuzipaka hair butter na hair cream (Haya mafuta ya dukani) kisha naweka protective style mwenyewe ya wiki nzima.
Nshasahau kadhia za wasusi zaidi ya mwaka sasa na nywele zangu zinarefuka kila leo.
Pamoja na kurefuka wengi tuu wameshaniambia, Kasie una asili ya kisomali au kimanga wewe, hizi nywele zote ni zako mbona zina waves kama za kisomali wakati wewe ni mmatumbi wa kinyamwezi..... Basi Mie nacheka tuu hehehehee.
Kasie Manywele.
...Utakuwa mganga wewe, sio bure.
kassie nywele yako ni ya aje? Mimi Yangu ni nyepesi alafu ni chache sana kichwani ni nyeknd pia.... Naweza kufanya kama ww?
Kasie,Huwa sina formula ila nilishaacha kutumia shampoo, naosha nywele na sabuni ya kipande haswa jamaa.
Chakula nnachokilisha nywele zangu Kila ijumaa ni tui la nazi bila kulichanganya na maji. Siku nyingine ndizi mbivu na mtindi, siku nyingine parachichi na mtindi na olive oil, siku nyingine juice ya carrot na maji ya mchele, au maji ya mchele uliolowekwa kwa siku 5 au juisi ya kitunguu maji peke yake na siku nyingine nachanganya kitunguu maji na tangawizi nachuja juisi yake.
Vyote hivi sichanganyi na maji na nikipaka usiku nalala nimefunga nywele na kofia ya plastic asubuhi naziosha na kuzipaka hair butter na hair cream (Haya mafuta ya dukani) kisha naweka protective style mwenyewe ya wiki nzima.
Nshasahau kadhia za wasusi zaidi ya mwaka sasa na nywele zangu zinarefuka kila leo.
Pamoja na kurefuka wengi tuu wameshaniambia, Kasie una asili ya kisomali au kimanga wewe, hizi nywele zote ni zako mbona zina waves kama za kisomali wakati wewe ni mmatumbi wa kinyamwezi..... Basi Mie nacheka tuu hehehehee.
Kasie Manywele.
Unatakiwa ujifunze style mbalimbali ambazo unajitengeneza mwenyewe na zinakaa wiki nzima.Yan ktk vitu ninavyo penda katika mwili wangu ni nywele zangu, yaan nawekaga mavitu mengi,
Kuna kitu nitaongezea na mimi, jaman nywele nzuri sana, na ukizitunza zinaitika
Ila nataman ningeweza kuweka style ya kukaa week nzima. Ila siwez kuniweka,
Kasie,
Kabla ya kutreat unaziosha kwanza au? Pia baada ya kutreat unaosha na sabuni au ni maji peke yake?
Thanks Sisy KasieHapana kabla sijazi treat sizioshi, na asubuhi yake naziosha na sabuni ya kipande na kupaka mafuta. Pia Kila asubuhi na jioni nazi spray maji kuziweka moist...
While day everyday my hair stays healthy and I smile for that.
K' Matata.