Ahsante sana my dearUsikate mpendwa hata Mimi nilikuwa naweka dawa na nimeacha kuweka tangu mwaka Jana,sasa nimebaki na natural hair pekee.
Na nywele zangu ni ngumu kama katani,mwanzo nilidhani haiwezekani,fata hatua hizi utanipa mrejesho
1-endelea kusuka nywele za mkono,zenye dawa zitakuwa zinakatika zenyewe unapochana,zinabaki natural hair
2-uwe una osha saluni unawaambia naosha na kuxinyoosha au hata nyumbani kama una dryer La mkono unaweza nyoosha kwa kuchana huku unakausha,ukimaliza unasuka
3-pendelea kusuka nywele za mkono(twende kilioni),unasuka kubwa ukifumua unasuka ndogo ndogo unakuwa unapishanisha kwa mfumo huo
4-nenda maduka ta urembo nunua mafuta kwa ajili ya nywele natural au tumia ya Nazi,Castro oil mafuta asili.
Ukipata nafasi kila wiki Fanya steaming nyumbani ya yai,parachichi,kitunguu saumu n.k.
Katibu tena mpendwa.Ahsante sana my dear
Niliwahi kusikiaga bia,na sijafanya hivyo leo nasikia soda duh, soda gani hiyo?Ogea soda
Kwan hata ukijifunga mfuko wa plastiki ukakaa nao lisaa Limoja au zaidi haujaboresha au stima ndio Bora zaidiHabarini??
Natumaini mu wazima,
Leo ngoja tujadili kidogo steaming asilia ambayo unaitengeneza mwenyewe na kuboresha afya na muonekano Wa nywele zako
Mahitaji;-
parachichi
yai la kuku Wa kienyeji
Asali (Ukikosa tumia mafuta ya nazi au olive)
Hatua;-
i/;- chukua parachichi lako likate toa ile nyama ya ndani weka kwenye chombo ili utengeneze mchanganyiko wako
ii/;- chukua yai lako pasua chukua kiini tu cha yai lako changanya na parachichi
iii/;-chukua asali yako pima vijiko viwili au vitatu vikubwa changanya kwenye ule mchanganyiko koroga Hadi vyote vichanganyike vizuri
# Unaweza kutumia blenda kusaga vitu vyote hivi kwa pamoja kupata uji mzito na laini.
Baada ya hapo osha nywele zako pakaa huo mchanganyiko na ukae kwenye steamer muda kadhaa na baadae uzioshe hapo utakuwa umeboresha nywele zako kiasili zaidi ni hayo tu!!!
Mm natumia kofia ya plastic. Inakaa vzr tu, ingawa ya madam sijatumiaKwan hata ukijifunga mfuko wa plastiki ukakaa nao lisaa Limoja au zaidi haujaboresha au stima ndio Bora zaidi
Hongera Sana najifunza kutoka kwako. Naamini nywele ya kiafrica hata kama ni kipilipili inakua vizuri kabisa.Huwa sina formula ila nilishaacha kutumia shampoo, naosha nywele na sabuni ya kipande haswa jamaa.
Chakula nnachokilisha nywele zangu Kila ijumaa ni tui la nazi bila kulichanganya na maji. Siku nyingine ndizi mbivu na mtindi, siku nyingine parachichi na mtindi na olive oil, siku nyingine juice ya carrot na maji ya mchele, au maji ya mchele uliolowekwa kwa siku 5 au juisi ya kitunguu maji peke yake na siku nyingine nachanganya kitunguu maji na tangawizi nachuja juisi yake.
Vyote hivi sichanganyi na maji na nikipaka usiku nalala nimefunga nywele na kofia ya plastic asubuhi naziosha na kuzipaka hair butter na hair cream (Haya mafuta ya dukani) kisha naweka protective style mwenyewe ya wiki nzima.
Nshasahau kadhia za wasusi zaidi ya mwaka sasa na nywele zangu zinarefuka kila leo.
Pamoja na kurefuka wengi tuu wameshaniambia, Kasie una asili ya kisomali au kimanga wewe, hizi nywele zote ni zako mbona zina waves kama za kisomali wakati wewe ni mmatumbi wa kinyamwezi..... Basi Mie nacheka tuu hehehehee.
Kasie Manywele.
[emoji7][emoji7][emoji7]Huwa sina formula ila nilishaacha kutumia shampoo, naosha nywele na sabuni ya kipande haswa jamaa.
Chakula nnachokilisha nywele zangu Kila ijumaa ni tui la nazi bila kulichanganya na maji. Siku nyingine ndizi mbivu na mtindi, siku nyingine parachichi na mtindi na olive oil, siku nyingine juice ya carrot na maji ya mchele, au maji ya mchele uliolowekwa kwa siku 5 au juisi ya kitunguu maji peke yake na siku nyingine nachanganya kitunguu maji na tangawizi nachuja juisi yake.
Vyote hivi sichanganyi na maji na nikipaka usiku nalala nimefunga nywele na kofia ya plastic asubuhi naziosha na kuzipaka hair butter na hair cream (Haya mafuta ya dukani) kisha naweka protective style mwenyewe ya wiki nzima.
Nshasahau kadhia za wasusi zaidi ya mwaka sasa na nywele zangu zinarefuka kila leo.
Pamoja na kurefuka wengi tuu wameshaniambia, Kasie una asili ya kisomali au kimanga wewe, hizi nywele zote ni zako mbona zina waves kama za kisomali wakati wewe ni mmatumbi wa kinyamwezi..... Basi Mie nacheka tuu hehehehee.
Kasie Manywele.
Napenda Sana nywele yangu ikiwa natural,[emoji7][emoji7][emoji7]
Unazidi kunifanya nijione sikukosea kuchagua Health hair.
Napenda Sana nywele yangu ikiwa natural,
Samahani tui la Nazi nalipataje bila kuchuja na maji.....nimependa Maelezo yakoHuwa sina formula ila nilishaacha kutumia shampoo, naosha nywele na sabuni ya kipande haswa jamaa.
Chakula nnachokilisha nywele zangu Kila ijumaa ni tui la nazi bila kulichanganya na maji. Siku nyingine ndizi mbivu na mtindi, siku nyingine parachichi na mtindi na olive oil, siku nyingine juice ya carrot na maji ya mchele, au maji ya mchele uliolowekwa kwa siku 5 au juisi ya kitunguu maji peke yake na siku nyingine nachanganya kitunguu maji na tangawizi nachuja juisi yake.
Vyote hivi sichanganyi na maji na nikipaka usiku nalala nimefunga nywele na kofia ya plastic asubuhi naziosha na kuzipaka hair butter na hair cream (Haya mafuta ya dukani) kisha naweka protective style mwenyewe ya wiki nzima.
Nshasahau kadhia za wasusi zaidi ya mwaka sasa na nywele zangu zinarefuka kila leo.
Pamoja na kurefuka wengi tuu wameshaniambia, Kasie una asili ya kisomali au kimanga wewe, hizi nywele zote ni zako mbona zina waves kama za kisomali wakati wewe ni mmatumbi wa kinyamwezi..... Basi Mie nacheka tuu hehehehee.
Kasie Manywele.
Hongera kwa kulisha chakula bora nywele zako.Huwa sina formula ila nilishaacha kutumia shampoo, naosha nywele na sabuni ya kipande haswa jamaa.