tangu uchumba mpaka ndoa....tumetafuta mpaka tukaenda kwa dokta.... mbegu zipo....mayai kwa wife hayana tatizo....huu mwaka wa 4 ndio IMEPATIKANA..... MUNGU NI WA WOTE....JITAHIDINI MTAPATA TU NDUGU.....NB; sio hii ya dogo namaanisha yangu....[/QUOTE
Hakika Mungu ni muweza, atatenda siku moja