Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,397
- 19,323
Shemeji kazi imekupata...mpenzi wa mdogo wangu hajapata hedhi kwa siku husika ambayo anasema ilikua iwe tarehe 21... mpaka leo tarehe 27 hajaona.....almost siku 6 maana wamekuja kunitembelea wako na wanafanya research hapa halmashauri.....na dogo hayupo.....kaenda vijijini kutafuta data.....binti anaogopa kwao ikabidi tu leo aniambie.....nmemwambia akanunue HPT(HOME PREGNANCY TEST)....kapima napo inaonyesha negative..... nimempigia rafiki yangu mmoja dokta akasema tusubiri wiki ingine mbele apime tena.........
SWALI ..JE HII NI HALI YA KAWAIDA KWA WANAWAKE KUKOSA HEDHI ZAIDI YA SIKU 5 TANGU SIKU ULIPOTAKIWA KUANZA!!! KAMA NDIO NI NINI VISABABISHI....
Subiri utunze mtoto atakae zaliwa na siyo kungangania kutoa mimba! majukumu si lele mama!!
Ulikula Mali ya dogo siyo!
huwa inatokea kuvusha siku yes but ni mara chache sana
Hii ni kawaida tu ila kama ulidushe jiandae
kiruuuuu mdogo wako kiboko... ila stay calm tu anaweza akawa negative and pia u Better be ready for anythingok...... kavusha siku 6 ..... ndio hatari ilipo.... hapa tayari nna mtoto wake mwingine alizalisha binti akiwa mwaka wa kwanza......mimi wife wangu mjamzito ..... ndio naumiza kichwa ikiwa huyu binti nae sijui itakuwaje.....
Six Days Duuh..Embu Tusubiri Tuone Tena
Huwa inatokea mwanamke akibadilisha mazingira,mfano akihama mkoa,kile kipindi anaadapt mazingira hormones pia huwa zinafluctuate
Subirini one more week halafu apime tena
mpenzi wa mdogo wangu hajapata hedhi kwa siku husika ambayo anasema ilikua iwe tarehe 21... mpaka leo tarehe 27 hajaona.....almost siku 6 maana wamekuja kunitembelea wako na wanafanya research hapa halmashauri.....na dogo hayupo.....kaenda vijijini kutafuta data.....binti anaogopa kwao ikabidi tu leo aniambie.....nmemwambia akanunue HPT(HOME PREGNANCY TEST)....kapima napo inaonyesha negative..... nimempigia rafiki yangu mmoja dokta akasema tusubiri wiki ingine mbele apime tena.........
Mkuu mtoto wa nzi ni hali ya kawaida kabisa juzi tu hapa demu wangu alinipigia kuwa siku zake zimepitiliza nikamwambia asubiri ilipita wiki ndo akaona siku zake