The August
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,079
- 2,027
Dah
Waarabu wa watu,jinsi wanavyosakamwa na washiba tango pori
Chief
Kitendo cha kuingiliana kinyume na maumbile,haina maana Africa yetu ya watu weusi,hakikuwepo tokea hapo mwanzo(Kabla ya Biashara ya Utumwa)
Haina maana hiyo
Tendo hili baya la kulaaniwa,lilikuwepo tangu na tangu,vizazi na vizazi,japokuwa lilifanywa kwa vificho mno
Ila haifai kusema Fulani ndio wametuletea upuuzi huu
Huyu anayeelezwa kwamba alikuwa mtume wa Allah
Recalling Africa’s harrowing tale of its first slavers – The ArabsWapi alete ushahidi! Hata mimi nimemuomba kimyaa..mkuu hawa watabakia kuwa na chuki zao dhidi ya waarabu. Na hiyo hiyo chuki haitawatoka mpaka anaingia kaburini, na huko ndiyo anakutana na visago mammae!
Ni "kama" kumbe, hata Weusi wanaofanya kazi kwa weusi wenzao hapa Tanzania ni kama watumwa pia au hujui, husikilizi habari, au una kinyongo?
Sio ni kama watumwa" ni Watumwa completely na wananyanyaswa sana.
Hukumbuki yule binti akiyedondoshwa ghorofani juu mpaka chini na alikuwa akiwasaidia kazi za ndani?
Waarabu wana roho mbaya sana.
Sasa Kuna mambo ya ajabu Sana aliyafanya,naweza nikayahusisha na uislamu?Mohamed (S.A.W) alikua ni Muislam.
Sasa Kuna mambo ya ajabu Sana aliyafanya,naweza nikayahusisha na uislamu?
Hayo mambo inaelezwa kwamba alipewa maelekezo na huyo anayeitwa Allahhaiwezi kuwa sahihi
Inapofika mtu,kutamka ukweli inakuwa ngumu kwake
Basi fahamu,maisha yake ni mafupi mno
Chuki na Ubinafsi, ni ugonjwa Mbaya sana kuliko Ukimwi au Umauti
Mwenye chuki,huwa hana maendeleo ya kweli,na kama atakuwa nayo,Basi ni ya muda tu
Ukweli huokoa milele,hata kama utachukiwa na Dunia nzima
Bado pale pale, ukweli utabaki kuwa muokozi wa kweli
Ni wapi nimezungumzia dini?Mkuu weka dini pembeni Kwanza,ndo mjadala utakuwa mzuri
Kuna sehemu nimeandika kuwa Waarabu wanaweza wasiwe sehemu ya Afrika?Acheni kujishuku kama mmepigwa fumanizi.Nani alikudanganya kuwa Waarabu si Waafrika pia?
Hao Waarabu walifanya biashara ya utumwa au.lah?Hivi hawa wazungu wamekulisheni kitu gani mpaka Mkawaabudu namna hii?!!!!Siyo tu kusems walikunywa mchuzi tu ila nyama "hakunusa" hata!
Maana ukweli usiofichika
Hao ndio Mabwana wakubwa wa Biashara hii
Waarabu kama walikuwepo,Walikuwa ni wakati na kati
Wao walikuwa wakitumwa na hao Wazungu,kisha kuwapelekea
Sasa kwann tatizo hili baya na ovu
mnawatupia Waarabu tu?!!!
au kwa sababu ya Uislam tu?!
Unataka #Black Arabian# eti... Mwambie vzr atakuelewa...Mmh mbona black American hawapo uarabuni wapo ulaya na America na huko uzunguni kungine
Unataka #Black Arabian# eti... Mwambie vzr atakuelewa...
Hao Waarabu walifanya biashara ya utumwa au.lah?
Wazungu walifanya ipo waziUngetueleza kwanza
Hao Wazungu,walifanya Biashara ya Utumwa au La?!!
jawabu lake huenda likapatikana kwenye jibu lako au ukawa mwanzo wa kujibiwa swali lako in sha Allah
Du yaani unachozuia mwenzako kufanya wewe ndio unafanya.Ndugu,obsession yako ya kuwaondoa waarabu katika hii biashara kwa maana kuwa wako innocent haitakusaidia kabisa.Huko Arab Emirates kuna documentary kibao za manyanyaso ya watu weusi yanayofanywa na waarabu.Na hata ubalozi wa Tanzania ushatoa tamko kuhusu unyama wanaofanyiwa dada zetu na waarabu.Unataka niingie katika mtego wako wa chuki za kidini ambazo kwa namna yeyote ile hazitanifanya mimi niwe muislam(just because wamisionari walimiliki watumwa)Au wewe uwe mkristu(Just because waarabu including Muhammad)walimiliki watumwa.
Uzushi wa aina hiyo na inclination hzo towards other peoples' beliefs zinakufanya uwe na kinyongo(escaping your own shadow by incriminating others) Nakushauri ujikite zaidi kujifunza utu wema na si vijipropaganda mnavyopandikiziwa kwenye kile chuo chenu cha Ahsante Mukapa (Graduates wake wanaongoza kwa hasira na chuki Tanzania)
Enjoy life ndugu yangu maisha ni mafupi sana
Yaweke humu ili tuyajue wengi, ila uwe tayari kujibu maswali.Mkuu tusiharibu Uzi,njoo P.M nikuthibitishie madhaifu ya dini yako