Utumwa wa Waarabu

Mkuu sio waarabu tu hata Watanganyika, kuna watu hawawezi kuoa watu fulani wa kanda ya Ziwa karibu na Uganda au Watu fulani wa Kanda ya kusini. Ubaguzi upo kuanzia chini ya nyayo zetu.
 
Kwa hiyo hitimisho lako kuwa Arabs hawakufanya biashara ya utumwa ni Walter Rodney? Have a coce and smile,boss!Hata mimi niliwahi kujijaza "hayo ya Rodney Walter" bila kujihurumia enzi hizo.Halafu yule alikuwa ni kinyume (anti)wazungu.Sasa unadhani angewaongeleaje aliowataka wawe safi ili aandike andiko?
 
Usiegemee kwa Walter Rodney kama total justification yako ushahidi wa kinmazingira upo unaonyesha alafu sijasema kuwa Arabs hawakupiga hii mishe nnachopinga ni kuwafanya wazungu kama innocents juu ya biashara ya utumwa
 
Sasa hapa unaingiza dimension nyingine ya dini.. Dini zote za watu weupe (Uislam na ukiristo in particular) zinaongelea na kutambua uwepo wa utumwa.. Nisingependa kuingia huko kwa maana ya kutokwaza imani za watu ila ukihitaji naweza kukupa vifungu dini zote hizo nilizotaja.utaona pia hawa watu weupe (wazungu na waarabu) walitumia dini zao kutuingia na kututawala wabantu
 
Embu tupe sylabus mkuu inayo “takatisha” udhalimu wa mzungu kwenye biashara ya utumwa na “kuwakandamiza” waarabu
Exactly! Nnachopinga ni kuwafanya wazungu ni innocents kwenye hili kuliko waarabu wakat wote walitufanyia huo unyama including na Sisi wenyewe waafrika
 
Usiegemee kwa Walter Rodney kama total justification yako ushahidi wa kinmazingira upo unaonyesha alafu sijasema kuwa Arabs hawakupiga hii mishe nnachopinga ni kuwafanya wazungu kama innocents juu ya biashara ya utumwa
Sijaandika Wazungu walikuwa/ni innocents, hapana!Unapenda usikwepe swali la msingi tuliloulizana:Kwa nini watu weusi waliochukuliwa utumwa kwenda Uarabuni ni wachache kuliko waliopo Uropa na America?
 
We ulisomea wapi mkuu
Tanganyika hii hii nikafundishwa mashamba ya miwa Cuba.. Brazil.. Mashamba ya pamba marekani ya Kaskazini… mashamba mengine visiwa vya carribean.. Mashamba makubwa ya koloni la Mwingereza India.. Mashamba makubwa ya mreno huko brazil… Kote huko ni Mzungu alikuwa anampeleka mtu mweusi… nikasoma wabantu walivyokufa kwenye meli za wazungu wakielekea nchi za mbali.. Nikasoma soko kubwa na sehemu ya kuondokea watumwa Afrika Magharibi kuelekea nchi za mbali za makoloni ya wazungu.. Vyote hivi nilisoma hapa Tanzania.. We mwenzangu umesoma shule ambazo hazisemi hivi vitu?
 
Watumwa 12m walipelekwa America na 1.5m walikufa na kubaki 10.5m
Wazungu ndio chimbuko la biashara ya utumwa.
Walipelekwa kulimishwa huko na ndio maana wapo wengi huko.
Kuhusu uarabuni wapo weusi ingawa sio wengi kwani hakuna kilimo huko na wafanya biashara wa kiarabu walikuwa wanauza watumwa kama biashara.

Biashara ilipopigwa marufuku wapo baadhi waliolewa na wafalme na kuzaa watoto na mwisho kuwa mfalme
Wengine wana kazi nzuri tu huko middle East
Ila kwa kweli biashara hii zamani ilikuwa wanasombwa kwa nguvu lakini siku hizi wanajipeleka wenyewe na akili zao, tena wakiona wenzao wanazama lakini wamo tu
 
Huoni kuwa nimekupa heshima mkuu,anyway tuachane na hayo naona unaleta collision zaidi ya discussion
Nimekuuliza swali unahitimisha kwa kuniita madam?Kwa hiyo umekwama kujibu maswali ukaona uniite "mama" ili ushushe hasira?Niigger please!Nakusamehe.Ila elewa,kumuita/kumpa mtu jinsi ambayo si yake ni sawa au zaidi ya kumtukana.
 
Huoni kuwa nimekupa heshima mkuu,anyway tuachane na hayo naona unaleta collision zaidi ya discussion
Weye si muungwana.Badala ya kunitaka radhi kwa ukosefu wa hishima,kuandika ndivyo sivyo na kuongozwa na avatar yangu negatively, unazidi kunilazimisha nipokee jinsi ambayo si yangu.Halafu,umeandika mimi naleta malumbano badala ya mjadala?Nii WAPI katika Uzi huu nimeenenda hivyo?Umeharibu majadiliano yangu na weye kwa kukosa adabu.Halafu leo nadhani nimekuwa mlokole!
 
Hapo sasa unaleta ucheshi wa Zembwela na Max.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…