Thibitisha Mungu wako yupo kwa njia iliyo logically consistent na isiyoweza kuwa contradicted.
Uhakika wa kutokuwepo mungu ni kwasababu hathibitishiki kua yupo, chochote ambacho kimetungwa inform of imaginations hakiwezi kuwa proved nje ya hapo kwasababu hakipo nje ya kufikirika
Mungu wangu si kuthibitishwa maabara, maana yeye ni mkuu zaidi ya hiyo sayansi uchwara ya dunia, hekima zake na fahamu zake ni kubwa mno kiasi cha kuwashinda waelevu na wenye ujuzi wa dunia hii ingawa zaeleweka kwa wajinga waliosapole na wanyenyekevu.
Sina namna ya kukuthibitishia si kwasababu siwezi, ila natilia shaka uwezo wako wa reasoning maana tangia udai Kuthibitishiwa uwepo wa Mungu.
Kosa lako kubwa ni pale unalo mfikiria Mungu km binadamu, unahisi yupo km binadamu, sasa kwa taarifa yako Mungu HAFIKIRI na HANA UTASHI km wako.
Sikuhizi church kuna michango kibao, hadi kuna siku MABEYO CDF, alitoa ya moyoni.Nadhani unatafuta kichaka cha kuyaficha maudhui ya mada hii kuhusu ulaghai wa baadhi ya mitume na manabii wa kilokole, kwa kuliingiza Kanisa Katoliki ili ionekane nalo linafanya ulaghai. Hebu soma tena na tena, usilichafue RC Church, halina hizo habari za kutoza hela kwa ajili ya miujiza
Nilishaachana nanhabari za dini zilizoletwa na mitumbwi najifanyia AFRICAN WEATHERFORECAST MARA KWA MARA KWA KUTUMIA AFRICAN TECH MAMBO SAFI KBS nimeendankujifunza kwa babu mmoja huko ndani shulenya mwezi mmojaUkishaelewa Mungu hayupo, na habari za kuwepo kwake ni hadithi za watu tu, haya mengine hayawezi kukusumbua sana.
Hizi ni hoja za kitoto sasa basi hata maana ya kujadiliana hapa itakuwa haipo ,hoja yako ni Mungu kuzuia uwongo au kuna contradictions kwenye habari za Mungu? Kwanini usiseme kuwa habari za Magufuli zaweza kuwa na contradictions kwa sababu Magufuli hayupo?Hujajibu maswali yangu. Magufuli kwako ni Mungu useme kwamba habari za Magufuli zikiwa na contradictions ni sawa na habari za Mungu zikawa na contradictions?
Huelewi kwamba Magufuli habari zake zinaweza kuwa na contradictions kwa sababu yeye muongo tu, au hawezi kuzuia uongo kwenye habari zake.
Mungu wako muongo? Mungu wako hawezi kuzuia uongo kwenye habari zake?
Kwa nini husemi kwamba habari za rais Shekolokabangoshe wa Tanzania zinaweza kuwa na contradiction kwa sababu rais Shekolokabangoshe wa Tanzania hayupo?Hizi ni hoja za kitoto sasa basi hata maana ya kujadiliana hapa itakuwa haipo ,hoja yako ni Mungu kuzuia uwongo au kuna contradictions kwenye habari za Mungu? Kwanini usiseme kuwa habari za Magufuli zaweza kuwa na contradictions kwa sababu Magufuli hayupo?
Ndio maana nasema uthibitisho ni kichaga cha kuficha ujinga wenu,kwako wewe uthibitisho ndio unafanya jambo liwepo na kukosekana kwake huondoa uwepo wake.Uhakika wa kutokuwepo mungu ni kwasababu hathibitishiki kua yupo, chochote ambacho kimetungwa inform of imaginations hakiwezi kuwa proved nje ya hapo kwasababu hakipo nje ya kufikirika
Kitu kinaweza kisiwepo kiuhalisia na bado kikawa na maelezo yasio na contradictions.Kwa nini husemi kwamba habari za rais Shekolokabangoshe wa Tanzania zinaweza kuwa na contradiction kwa sababu rais Shekolokabangoshe wa Tanzania hayupo?
Kwa nini husemi habari za pembetatu ambayo pia ni duara zinaweza kuwa na contradiction kwa sababu pembetatu ambayo pia nibduara haipo?
Kwa nini husemi kwamba habari za square root ya 2 ambayo ni 10 zinaweza kuwa na contradiction kwa sababu square root ya 2 ambayo ni 10 haipo?
Na kitu kinaweza kuwa na maelezo yenye contradiction kwa sababu hakipo.Kitu kinaweza kisiwepo kiuhalisia na bado kikawa na maelezo yasio na contradictions.
Nadhani unatafuta kichaka cha kuyaficha maudhui ya mada hii kuhusu ulaghai wa baadhi ya mitume na manabii wa kilokole, kwa kuliingiza Kanisa Katoliki ili ionekane nalo linafanya ulaghai. Hebu soma tena na tena, usilichafue RC Church, halina hizo habari za kutoza hela kwa ajili ya miujiza
Kuwepo kwa mawazo hakuthibitishi kua mawazo hayo ni real. Unaweza ukawaza kua kuna maisha baada ya kifo ukafanya imagination kua kuna resurrection lakini kuwaza huko hakufanyi mawazo hayo yawe realScars Kuna namna unaweza kuthibitisha mawazo anayowaza mtu bila yeye mwenyewe kuyatoa..?? Na je, kutokuweza Kuya thibitisha mawazo ya mtu Kuna thibitisha kuwa hayo mawazo hayapo...??
Sitaki kuamini, nataka kujua.
Okay kumbe sio ndani ya makanisa! Asante
Na wewe unauza mafuta ya upako?Halihitaji kuchafuliwa kwani mafundisho yake tu yanalichafua automatically.Yesu ndiyo pekee Njia,Kweli na Uzima.Dini waachie wenye dini zao.
Unaona sasa unajichanganya,nimetoka kukwambia kuwa kitu kinaweza kisiwepo lakini kikawa hakina maelezo yenye contradiction sasa ajabu wewe unaniambia niondoe contradiction et ndio njia ya kuonesha kipo,sasa kinakuwepo vp hicho kitu kwa kuondoa tu maelezo yenye contradictions? Kwanza unachochanganya hapa ni uwepo /kutokuwepo kwa kitu na maelezo yenye contradiction kuhusu hicho kitu na ndiyo maana nikakwambia kunaweza kuwa na maelezo yenye contradictions kuhusu Mugufuli huyu huyu unayemjua ambaye yupo kiuhalisia.Na kitu kinaweza kuwa na maelezo yenye contradiction kwa sababu hakipo.
Njia moja ya kuonesha kipo ni kuondoa contradiction.
Ondoa contradiction.
Ukikataa kuondoa contradiction, na kukubali kuendelea na contradiction, utajikuta katika hatari ya kukataa unachokubali na kukubali unachokataa.
Si unakubali contradiction?
Maana yake, unaposema "Mungu yupo" unachomaanisha kwa kweli ni "Mungu hayupo".
Kwa sababu unakubali contradiction!
Bila ya logical consistency nothing makes sense, because anything is anything else.