Utumwa mpya ndani ya Kanisa

Mada nyingi huzungumzia ukristo na wakristo katika udhaifu wa kiimani, zaidi kwa walokole na ulokole. Hivi uislam, ukatoliki na dini zingine hazina udhaifu? Huko huko kunakoelekezewa shutuma wala waumini wake hawafundishwi kuamini mafuta, maji na chumvi kuwa vinaleta mafanikio, ni matapeli tu ndiyo yalijiingiza kwenye ulokole kwa kuwa walokole ni wapole hawezi kuchukua hatua kali kuwaadhibu hao matapeli yanayopumbaza watu. Mbona kwa uislam hawajaribu kujiingiza huko ingawa huko nako wameaza yaleyale ya mafuta ya upako taratibu watazoeana. Kwa kifupi matapeli yapo kila imani na dini
 
Yaani umpatie sadaka iliyonona na inayouuma (yaani kubwa karibu kuzidi uwezo wako), zaka, mavuno, malimbuko, matendo ya huruma kwa maana ya kuweka 'hazina mbinguni'. Kwa nini yeye aitumie hapa duniani badala ya mbinguni pia?
Yaani inashangaza mno hadi unajiuliza haya yanayoitwa makondoo yamelogwa?
 
Hujui tu ila ndiyo shina la kila kinachoendelea Duniani. Pole kwa kupungukiwa maarifa hayo
 
Umeandika kishabiki wala sio kwa nia ya kufundisha, bila shaka hata tone ni wewe ni moja ya wafuasi wa watoto wa Hajiri
Ukipenda kuweka hasi mbele uwezi kuelewa vingi!! Punguza kidogo mapenzi!! Wewe mtoto wa bibie Sarah
 
Uislam hauna udhaifu bali kuna "Waislam" wana udhaifu, hususan wale wasiofata Uislam ipasavyo.
 
wasabato muna tatizo gani na KATOLIKI?Ila sishangai sana hata YESU mulikuwa munamletea shida sana.
 
umenenea vema..

Alikua na yake moyoni sasa pakutolea alikua hana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…