Utumishi wamwaga mamia ya kazi...

Utumishi wamwaga mamia ya kazi...

si bora ingekuwa laki nne kamili? Hiyo tgsd ikishakatwa take home ni 258,000/= sasa kazi kwako ni akili kichwani tu.

na kuongeza akili yako
by j. M kikwete
president of united republic of tanzania
 
Hilo pango la nyumba sio la "Mtamzania wa kawaida" bali la "Mtanzania asiye wa kawaida". Mtanzania wa kawaida anakaa chumba cha elfu 5-7 kwa mwezi ( piga hesabu nyumba ya aina hiyo yenye vyumba vitano ni kiasi gani kwa mwezi...lesi zani fifty k!!!. Zaidi ya hapo huyu mtanzania wa kawaida lazima awe mwizi.......... (Mawazo yangu tuuuu!)

Naamini kwa hiyo bei itakuwa ni banda lililojengwa kwa ajili ya kulinda kiwanja tena nje kabisa ya jiji la Dar na nauli kuja mjini itakugharimu 1,500/=
 
ninajaribu hii nami nipate ajira serikalini. lakini hiii salary hii jamani watoto watashiba kweli?

Msidanganyike na Mishahara mnayoona kwenye magazeti. Kuna allowencae zaidi nyingine zina range from 5,000 per day mpaka hata 10,000. na bado sometime kwenye msimu wa kazi maalum kwenye idara pia kuna mshiko bado hujaweka training za hapa na aple .

In short mshaara wa serikali unaoona in worst case ongeza nusu ya mshahara itakuwa ni marupu rupu . Je kwa mtu anayetoka chuoni au mwenye degree mungu akupe nini.

tatizo hata wafanyakazi wa serikali wenyewe hawawei wawazi ni kasi gani halisi wanakusanya mwisho wa mwezi.
 
Hizo za 5,000 - 7,000 zinapatikana wapi hapa Dar au ni huko kunakoitwa UNHABITAT maana kuna maeneo nasikia yanaitwa hivyo.
Njoo jangwani na Tandale kwa mtogole/kwa tumbo
 
Msidanganyike na Mishahara mnayoona kwenye magazeti. Kuna allowencae zaidi nyingine zina range from 5,000 per day mpaka hata 10,000. na bado sometime kwenye msimu wa kazi maalum kwenye idara pia kuna mshiko bado hujaweka training za hapa na aple .

In short mshaara wa serikali unaoona in worst case ongeza nusu ya mshahara itakuwa ni marupu rupu . Je kwa mtu anayetoka chuoni au mwenye degree mungu akupe nini.

tatizo hata wafanyakazi wa serikali wenyewe hawawei wawazi ni kasi gani halisi wanakusanya mwisho wa mwezi.

Tatizo wewe unaejjua haya pia huweki wazi, ndipo shida inapozidi kuongezeka.
Kwa mujibu wa TUCTA (kama sikukosea), budget ya mishahara ya serikali, ni 49.1% ndio huenda kwenye mishahara, ikiwa inamaana kuwa 50.9% huenda kwenye makandokando. Ila haya makandokando huliwa na wazito, ambao simu kwa mwezi ni lk 2, intetainment alawansi kama lk 1, usafiri laki kadhaa, nyumba n.k n.k. Katika hizi walioko huko juu ndio wanaozifaidi kwani zimewekwa kama stahili.
 
Mmh hii ni katika kukamilisha ile ahadi ya bwana mkubwa ya ajira milioni 2? :target:
 
Mhh,,hii mishahara ni ya kweli au macho yangu? Ofisi kuuubwa wizara ya mambo ya nje, title ya ukweli alafu kumbe mshahara laki 4?? Ngoja nijibanze huku huku aise serikali samahanini sana ntakuja nikiteuliwa mjumbe wa bubge la katiba lijalo
 
Mhh,,hii mishahara ni ya kweli au macho yangu? Ofisi kuuubwa wizara ya mambo ya nje, title ya ukweli alafu kumbe mshahara laki 4?? Ngoja nijibanze huku huku aise serikali samahanini sana ntakuja nikiteuliwa mjumbe wa bunge la katiba lijalo
 
Hii ndio tanzania bwana ,yule anayelipa kodi anamlipa mshahara yule asiye lipa kodi.
 
Kama kawaida ya serikalini,kazi hadi ushikwe mkono!Tutafika?!Surely,kutangaza ni formality tuh!

Sio kweli ndugi yangu sio wote wanashikwa mkono kwa Tamisemi wanajitahidi kuwa fair me bro wangu kapata tena wizarani bila kushikwa mkono na hakuna hata kigogo mmoja wakumshika mkono na hivi tumetoka Sitimbi huko mjini tumjue nani.
 
Aaaw....so encouraging.....:thumbup::thumbup:
 
Serikalini ukitaka uone kazi nzuri fanya kwenye vile vitengo vya safarisafari ndo utaona raha kula zile per diem ila mhasibu mwenzangu utasota na hizo laki nne nne mpk utajuta labda uibe za vifungu na dili lazima mcheze na Chief Accountant other wise utasugua benchi tu huko labda kuwa auditor angalau.
 
Sehemu kama wizara ya afya kuna hivyo vitu...hususani kitengo cha preventive? Au ndio unakomaa na laki nne tu?
 
Aaaw....so encouraging.....:thumbup::thumbup:

Honestly wameni inspire namm na sio mmoja hata huyo mkubwa alipata pia though ilikuwa zamani kidogo. Yani sitakaa nisikilize maneno ya watu humu they are always negative ukikosa sehemu siyokuwa wenzako wote waliopata wameshikwa mkono..

Though niko private nilikopata bila hata kumjua mtu na hata kujua ofisi ilipo mpk siku ya interview I believe juhudi zako binafsi pia zitakusaidia sio kila sehemu kuna kujuana.
 
You are very right. Mi sehemu niliyokua nafanya kazi nilipata bila kumjua mtu na tulikuwa wemgi Sana.

I believe Kama you are confident na pia unajua kujieleza vizuri unapata tu kazi.

Frankly speaking nimeapply kazi za utumishi mara mbili tu...Mara ya kwanza mwaka juzi na Mara ya pili last month ndio nasubir shortlisting.

Was very negative until one of my friends alipopaya bila hata ya kushikwa mkono.
 
Sehemu kama wizara ya afya kuna hivyo vitu...hususani kitengo cha preventive? Au ndio unakomaa na laki nne tu?

Ile wizara ndi inaongoza kwa semina na safari ili wapate posho hadi hospitali za wilaya na mikoa zilizo chini ya halmashaur safari nje nje yani kule nahisi hata messenger anatrip za per diem lol!
 
Back
Top Bottom