Shukrani kwa ushauri wako mkuuHaya mambo hayatabiriki sometimes waweza sema usiende kabisa kuna muda unaona n heri ujaribu bahati yako kuliko kuacha kabisa, kama anao uwezo wa kuja aje afanye azidi kupata ujuzi wa hizo interview asichoke atafutaye hakati tamaa hatujui siku wala saa tuloandikiwa kupata tunajitahidi tu kupambana inapowezekana
Karib sanaShukrani kwa ushauri wako mkuu
Hii zaidi ya ku bet mkuu ka una kimavi utapata tabu sanaHicho ndicho kipimo sahihi cha bahati achana na BIKO.
Unatusuaje mmi nimeshakimbia bongo hapo .. Tz bwana ni MiyeyushoHahaa ulitusua?
Ahudhurie tu,wengi hawata hudhuria sababu ya mawazo kama hayo na wengine tayari wana kazi,anaweza kwenda wakajikuta wako hata 40Ushwenu wakuu, akapige usaili ama apotezee? Maana yupo mkoani,inabidi asafiri kuja Dar, na chance ya kupata naona ni ndogo saana,Endapo wote 74 watahudhuria
yeah mkuu, hizi ajira zilitangazwa mwishoni mwa mwezi wa sita. kabla hata hizi za tamisemi na zile za wizara hazijatoka. mawazo yangu pia Wengi watakuwa wamesha pata zile za tamisemi ama wizaraAhudhurie tu,wengi hawata hudhuria sababu ya mawazo kama hayo na wengine tayari wana kazi,anaweza kwenda wakajikuta wako hata 40