Utumishi wameita watu 74 kwa ajili ya nafasi 2

BILGERT

JF-Expert Member
Feb 27, 2015
6,535
10,974
Ushwenu wakuu, akapige usaili ama apotezee? Maana yupo mkoani,inabidi asafiri kuja Dar, na chance ya kupata naona ni ndogo saana,Endapo wote 74 watahudhuria
 
Haya mambo hayatabiriki sometimes waweza sema usiende kabisa kuna muda unaona n heri ujaribu bahati yako kuliko kuacha kabisa, kama anao uwezo wa kuja aje afanye azidi kupata ujuzi wa hizo interview asichoke atafutaye hakati tamaa hatujui siku wala saa tuloandikiwa kupata tunajitahidi tu kupambana inapowezekana
 
Shukrani kwa ushauri wako mkuu
 
Iko hivi Mkuu kama una nauli na unaweza mudu gharama za hilo tukio nenda tena usijiulize maana UTUMISHI usiangalie hizo nafasi 2 kati ya 74 unachobidi hapo kuangalia ni kujiandaa vema ufaulu hiyo phase ya written uingie oral pia ufanye vizuri hata kama hukupata hizo nafasi 2 ila jina lako litabaki kwenye kitu kinaitwa DATABASE na hivo huwa kuna reallocation zinafanyika kwenye Taasisi mbalimbali za kiserikali na hazitangazwi wanachotwa watu humo na wengi wamepata kazi kupitia hiyo hivo forcus kumhuka kitu muhimu SAILI za UTUMISHI ni kujiandaa vizuri lasivyo kupata 0 ni kitu cha kawaida sana maana wanatoa DESA za chuo kabisa sasa mfano labda wewe una miaka 3 mtaani unatokaje ko unahitaji maandalizi mazuri kiukweli pia usimsahau Muumba wako.Ahsanteh
 
Ushwenu wakuu, akapige usaili ama apotezee? Maana yupo mkoani,inabidi asafiri kuja Dar, na chance ya kupata naona ni ndogo saana,Endapo wote 74 watahudhuria
Ahudhurie tu,wengi hawata hudhuria sababu ya mawazo kama hayo na wengine tayari wana kazi,anaweza kwenda wakajikuta wako hata 40
 
Ahudhurie tu,wengi hawata hudhuria sababu ya mawazo kama hayo na wengine tayari wana kazi,anaweza kwenda wakajikuta wako hata 40
yeah mkuu, hizi ajira zilitangazwa mwishoni mwa mwezi wa sita. kabla hata hizi za tamisemi na zile za wizara hazijatoka. mawazo yangu pia Wengi watakuwa wamesha pata zile za tamisemi ama wizara
 
Kuna nduguyangu alitoka tanga kwenda kufanya interview songea ya nafas 5 na akabahatika kupita japo walikua wengi
 
Back
Top Bottom