Sijui waziri husika hajaliona hilo au vipi.
Vijana wetu wanaoomba ajira ni dhahili serikali haina huruma nao kabisa.
Sera za ajira siyo rafiki kwa wasaka ajira.
Leo hii unamuita kijana kwenye interview Dodoma, nafasi moja (one post) unaita watu 200 wakagombanie nafas moja kutoka mikoa ya mbali!
Gharama za nauli ni kubwa, mfano tuchukulie mtu anaetoka Dar to Dom au Kigoma/Mwanza to Dom kuja kufanya usahili!
Waliopitisha utaratibu huu huenda walifanya vikao na kujilipa posho per DM ya laki tano hadi million kupitisha utaratibu huo!
Hawakufikilia kabisa anaeomba hiyo ajira atalala wapi, siyo wote wana ndugu Dom.
Kibaya zaidi hata vijana wetu wapo hatarini kuwekwa unyumba kwa siku hizo ili kujikimu.
Serikali ilikuwa na uwezo wa kufanya Usahili kwa kanda ili kuepusha usumbufu kwa vijana.
Utumishi ilitakiwa wawe na mfumo wa kikanda ili wa kusini wafanyiwe usahili wkusini hukohuko na wa kaskazini wafanyiwe usahili huko huko halafu katika majumuisho ya maksi wachukue mshindi apewe kazi.
Au kama hilo ni gumu! Warudishe kazi ya kuajili kwa wakurugenzi wa wilaya! Ili watu waombe kwenye halimashauli kuondoa usumbufu!
Lakini utaratibu wa sasa ni wa hovyo sana labda kama wanafaidika wao na Posho per DM! lakini vijana wetu ndiyo wanaoumizwa.
Yanafanyika hayo waziri yupo!
Yanafanyika hayo katibu wa wizara yupo!
Sijui Hawaoni au hawajui?
Wasahili wenye mishahara wanaitwa kwa kupewa posho, nauli na Malazi LAKINI Wasahiliwa wanakuja kwa kuuza chakula na michango ya ndugu ili wakafanyiwe usahili!
Si ajabu kijana aliyetokea Dar kwenda Dom akafanyiwa usahili na Msahili aliyepanda nae Bus kutoka Dar!
WATAWALA SIJUI HUWA MNAAMUA HAYO KWA MASLAHI GANI
Updates
Hatimaye kilio chetu wana jamii forum kimesikika! Tunashukuru

- Nauli peke yake anatakiwa awe na 30000/= na Chakula 10,000/=
- Kulala guest 25000/= tangu siku ya kwanza hadi siku ya usahili wa mchujo,kusubili majibu ya mchujo siku 4-5, jumla 125000/= guest
- Kula na nauli kwa siku tano elfu 10000 kwa siku hivyo ni 50000/=
- Matokeo ya mchujo yanapotoka hayumo au yumo hupangiwa tarehe nyingine ya usahili wa mahojiano! Siku 10 au 14 mbele!
- Hivyo atatakiwa kurudi kwao Dar/Kigoma au mwanza nauli 30000 na kula 10000 jumla 40,000/=
- Halafu siku usahili wa mahojiano kuja tena 40000/= nyingine na kulala siku mbili jumla 50000 na kula 20000
- Na kurudi kwao mkoa 40000 nyingine kusubiri kama atapangiwa kituo cha kazi au Kukosa kazi!