Utumishi mtaniua kwa pressure

Utumishi mtaniua kwa pressure

Usikate tamaa ndugu,interview zitakuja nyingi,we jipange tu.
Mi nilifanya usaili,BOT kama mara 4 hivi,lakini sikupata kitu,wenzangu wakachukuliwa,
Hutakiwi kukata tamaa ndugu,ukikosa huko,tafuta pengine,
Asante Mkuu hizi interview nilijipanga mwezi wote tangu zimetangazwa yani
 
Wakuu nacharaza keyboard hapa na majonzi tele bado siamini amini kabisa kweli na kusoma miaka mitatu BAF kwa haya maswali ya written kwa Accountant
1.Accounting document proof (explain)
2.Examples of Asset ( na kujifanya Niko deep nikadefined nikaweka zile type zake ndo nikaweka na mifano zake kama zote lakini wapii)
3.types of Expenditure according on accounting purpose (explain)
4. Books of prime entry (explain)
Nipate 50% Kweeeeli ?? Utumishi mi nawaamini sana lakini kwa hili mmenidharirisha saaaaana, Labda yangekua ni maswali ya consolidation, Wahasibu wenzangu mtihani wa maswali hayo mtu kupata hivyo bora afukuzwe akasome marketing au vinginee, mtusamehe sana tuliopata hivyo. SOMETHING IS WRONG SOMEWHERE

Niwatakie kila la kheri mnaoenda kwenye oral, ila sisi wenzenu HATUJASHINDWA HAYO MASWALI ila leo ndo nimeamini matokeo yana mengi, kesho mapema tu nawahi ubungo nirudi kwetu Mwanza. Ahsante
japo sijui chochote kuhusu accountancy, ila inaonesha vitu unajua ila haujui kuwa 'specific'
Mfano unaulizwa examples za kitu fulani, wewe unaanza ku-define, nani kakuuliza ku-define!!?
maswali mepesi yanahitaji majibu mepesi, wewe ukijifanya uko deep lazima ufeli
 
Nimejifunza sasa
 
Wakuu nacharaza keyboard hapa na majonzi tele bado siamini amini kabisa kweli na kusoma miaka mitatu BAF kwa haya maswali ya written kwa Accountant
1.Accounting document proof (explain)
2.Examples of Asset ( na kujifanya Niko deep nikadefined nikaweka zile type zake ndo nikaweka na mifano zake kama zote lakini wapii)
3.types of Expenditure according on accounting purpose (explain)
4. Books of prime entry (explain)
Nipate 50% Kweeeeli ?? Utumishi mi nawaamini sana lakini kwa hili mmenidharirisha saaaaana, Labda yangekua ni maswali ya consolidation, Wahasibu wenzangu mtihani wa maswali hayo mtu kupata hivyo bora afukuzwe akasome marketing au vinginee, mtusamehe sana tuliopata hivyo. SOMETHING IS WRONG SOMEWHERE

Niwatakie kila la kheri mnaoenda kwenye oral, ila sisi wenzenu HATUJASHINDWA HAYO MASWALI ila leo ndo nimeamini matokeo yana mengi, kesho mapema tu nawahi ubungo nirudi kwetu Mwanza. Ahsante
Usijali we wa Mwanza utapata tu kazi,
Sisi wa Namtumbo ndo hatufikiriwi wala. Twafwa!
 
Jifunze kuwa specific na kuelewa swali..
Unaonekana unajua vitu sema hujui jinsi ya kujibu maswali na kujua aina gani ya watu watasahihisha....
Ukiulizwa define define....ukiambiwa toa mifano ,,,toa mifano usi define....
Bila sahaka umejifunza...... Jibu swali linacho hitaji usiandike usicho ulizwa hawana muda huo wa kuanza kutafuta majibu yako wapi.....
 
Pole sana kiongozi, kuna mlango mwingine unafunguka. Mimi binafsi sijawahi kuitwa kwenye interview hata moja
 
Jifunze kuwa specific na kuelewa swali..
Unaonekana unajua vitu sema hujui jinsi ya kujibu maswali na kujua aina gani ya watu watasahihisha....
Ukiulizwa define define....ukiambiwa toa mifano ,,,toa mifano usi define....
Bila sahaka umejifunza...... Jibu swali linacho hitaji usiandike usicho ulizwa hawana muda huo wa kuanza kutafuta majibu yako wapi.....

Ahsante nimeelewa sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom