Utumishi mtaniua kwa pressure

Utumishi mtaniua kwa pressure

Na sometimes kujua sana na kuonesha umesoma sana ndo kunakowafanya mshindwe mana umeulizwa example of assets tuu we unaweka mpaka types. Realy?
 
Ivi ukiweka tu kwamba non current na current ukaingiza na mifano yake tofauti kuna ubaya gani hapo mkuu
 
Ndugu usiwaze, mm nilifanya pwriren ya assistant internal Auditor nikapata ya SIDO lakini oral walieka wiki ijayo sikupata nafasi ya kurudi, na pia ilichangia na wao,
 
Ivi ukiweka tu kwamba non current na current ukaingiza na mifano yake tofauti kuna ubaya gani hapo mkuu
Hakuna icho kwenye kusoma, sana sana inakupotezea muda ww tu wakumaliza bta ukiongeza kitu ktk kujibu swali sio kosa kama ndani yake lile jibu limepatikana
 
Sasa si bora wewe unaishia written unalalamika jitahidi fanyia kazi unapoteleza mkuu huko oral ndo kunaumiza kichwa vibaya maana unakuta kila kitu unajibu sawa briefly and smart alafu unakosa maana account sikuzote haitaki mbwembwe mfano elements of F.S ni hizo utakazolist wewe na mimi ni hizo hakuna mbwembwe ila linakuja tokeo unakuta hola hapo ndo ungelia mkuu na unashangaa nafasi zinatangazwa 3 il wanaoitwa kazini 2 nafasi moja inayeyuka anyway usikate tamaa jiandae vizuri mimi mwenzio hii oral ya pili na naamini nafanya vizuri japo sijui wenzangu nao huwa wanajibu vipi ila chalii,nampango niende uliza huwa nakosea wapi labda na hata wanionyeshe marks zangu za oral zikoje au nimeshindwa kwa % ngapi.
 
Duuu kumbe, sasa tatizo nini bado
 
pole sana mkuu, Mungu ajaalie ufike mwanza salama BUT kumbuka mlango mmoja wa mafanikio ukifungwa mwingine hua unafunguka sema tuu hua tunapoteza muda kuendelea kuangalia ule uliofungwa. Good luck young man.
 
Asante sana Mkuu, Mungu atusaidie tu tutazamie milango mingine
 
pole sana mkuu, Mungu ajaalie ufike mwanza salama BUT kumbuka mlango mmoja wa mafanikio ukifungwa mwingine hua unafunguka sema tuu hua tunapoteza muda kuendelea kuangalia ule uliofungwa. Good luck young man.
Kauli yako imenifariji japo kuwa kesi yangu ni ya tofauti kidogo.
Nilifauli interview zote kwenye kampun moja hiv . Halaf wakaa kimya kama 3months hiv .. wakajanipigia simu kuwa wananihitaji 9 asubuhi dar.. wkt mm niko iringa by then nilikiwa nafanya kazi huko. Nikawaomba hata wanipe one day nifike dar maana tulishajadili hadi salary.
Wakasema sorry watachukua mtu mwingine sababu niko mbali. Niliumia sana
 
mkuu njia ya iringa ina magari mengi sana ulishindwa hata kupanda fuso....
 
Hujanielewa boss. Yaani walikuwa wananihitaji siku hiyo hiyo si kesho yake.

Mfano : ww uko kazini sahizi ,unapigiwa simu kawa unahitahika dar leo saa tano asubuhi.
Ww uko iringa.. unakwendaje kwendaje?
 
Wakuu nacharaza keyboard hapa na majonzi tele bado siamini amini kabisa kweli na kusoma miaka mitatu BAF kwa haya maswali ya written kwa Accountant
1.Accounting document proof (explain)
2.Examples of Asset ( na kujifanya Niko deep nikadefined nikaweka zile type zake ndo nikaweka na mifano zake kama zote lakini wapii)
3.types of Expenditure according on accounting purpose (explain)
4. Books of prime entry (explain)
Nipate 50% Kweeeeli ?? Utumishi mi nawaamini sana lakini kwa hili mmenidharirisha saaaaana, Labda yangekua ni maswali ya consolidation, Wahasibu wenzangu mtihani wa maswali hayo mtu kupata hivyo bora afukuzwe akasome marketing au vinginee, mtusamehe sana tuliopata hivyo. SOMETHING IS WRONG SOMEWHERE

Niwatakie kila la kheri mnaoenda kwenye oral, ila sisi wenzenu HATUJASHINDWA HAYO MASWALI ila leo ndo nimeamini matokeo yana mengi, kesho mapema tu nawahi ubungo nirudi kwetu Mwanza. Ahsante
Usikate tamaa ndugu,interview zitakuja nyingi,we jipange tu.
Mi nilifanya usaili,BOT kama mara 4 hivi,lakini sikupata kitu,wenzangu wakachukuliwa,
Hutakiwi kukata tamaa ndugu,ukikosa huko,tafuta pengine,
 
Hivi kwa oral inawezekana kwenda kuwauliza na wakakuonyesha marks zako ili ujue kwa kiasi gani ulishindwa mkuu?
thubutu hawakupi wengine huwa tunajitaidi tuingie kwenye data base lakini cha kushangaza mpaka miezi 3 unakuta hola
 
Oral ngapi dada umepiga?
Na ni post gani maana kuna post ngumu kutoboa hazitoki sana.
 
Wakuu nacharaza keyboard hapa na majonzi tele bado siamini amini kabisa kweli na kusoma miaka mitatu BAF kwa haya maswali ya written kwa Accountant
1.Accounting document proof (explain)
2.Examples of Asset ( na kujifanya Niko deep nikadefined nikaweka zile type zake ndo nikaweka na mifano zake kama zote lakini wapii)
3.types of Expenditure according on accounting purpose (explain)
4. Books of prime entry (explain)
Nipate 50% Kweeeeli ?? Utumishi mi nawaamini sana lakini kwa hili mmenidharirisha saaaaana, Labda yangekua ni maswali ya consolidation, Wahasibu wenzangu mtihani wa maswali hayo mtu kupata hivyo bora afukuzwe akasome marketing au vinginee, mtusamehe sana tuliopata hivyo. SOMETHING IS WRONG SOMEWHERE

Niwatakie kila la kheri mnaoenda kwenye oral, ila sisi wenzenu HATUJASHINDWA HAYO MASWALI ila leo ndo nimeamini matokeo yana mengi, kesho mapema tu nawahi ubungo nirudi kwetu Mwanza. Ahsante
Tafuta CPA mkuu
 
nilipiga ya sido assistant accountant hiyo ya TBA nimekosa
Tungoje Database bidada kuanzia jan to july pale hawatangazagi ajira mpya mala nyingi wanakuwa wanafanya kuchomoa kwenye database ikipita hapo basi Mungu ana njia yake nyingine amekuandalia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom