Utumishi mtaniua kwa pressure

multiple

JF-Expert Member
Feb 14, 2016
389
627
Wakuu nacharaza keyboard hapa na majonzi tele bado siamini amini kabisa kweli na kusoma miaka mitatu A/C kwa haya maswali ya written kwa Accountant
1.Accounting document proof (explain)
2.Examples of Asset ( na kujifanya Niko deep nikadefined nikaweka zile type zake ndo nikaweka na mifano zake kama zote lakini wapii)
3.types of Expenditure according on accounting purpose (explain)
4. Books of prime entry (explain)
Nipate 50% Kweeeeli ?? Utumishi mi nawaamini sana lakini kwa hili mmenidharirisha saaaaana, Labda yangekua ni maswali ya consolidation, Wahasibu wenzangu mtihani wa maswali hayo mtu kupata hivyo bora afukuzwe akasome marketing au vinginee, mtusamehe sana tuliopata hivyo. SOMETHING IS WRONG SOMEWHERE

Niwatakie kila la kheri mnaoenda kwenye oral, ila sisi wenzenu HATUJASHINDWA HAYO MASWALI ila leo ndo nimeamini matokeo yana mengi, kesho mapema tu nawahi ubungo nirudi kwetu Mwanza. Ahsante
 
Kama wenzio wanapata af ww unashindwa hujioni kama una shida???. Kama mtihani ni mgumu basi mngefeli wote
Wakuu nacharaza keyboard hapa na majonzi tele bado siamini amini kabisa kweli na kusoma miaka mitatu BAF kwa haya maswali ya written kwa Accountant

Back
Top Bottom